Wanaume leo nawafundisha kanuni rahisi ya kutunza hela

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Usikute hata ule msemo " wanaume hatujui kutunza pesa" ulianzishwa na bushman kama GENTAMYCINE

But don't just take it seriously. Ni uongo kama porn site inayo kwambia kuna demu mrembo anataka kukazwa jirani na mtaa unaoishi.

Hata mimi zamani nilikuwa kama wewe.

Nilikuwa siwezi kutunza pesa kama wewe.

Ila baada ya kuigundua siri hii mwaka 2014 nimefanikiwa kufanya vitu vingi sana..

KOSA LINALO FANYWA NA WANAUME WENGI.

Ni kujaribu kutunza asilimia themanini HADI tisini ya pesa anayo ingiza.

kwa mfano akiingiza laki moja anataka eti atunze elfu themanini halafu ishirini ndio ai spend. Hell no ! Ukiamini hili linawezekana basi unaweza amini hata Maneno ya Wema Sepetu au Lulu Diva anapo kwambia " I love You Too".

Unacho kifanya hapo ni sawa na mbongo kununua soda na matunda/ beer/wine aweke kwenye fridge halafu awe ana tumia kidogo kidogo kika siku..

Hata kama ni budget ya kukaa kwenye fridge kwa Mwezi mzima mbongo ataimaliza chini ya wiki.

Utapata tatizo kidogo utaishia kuitumia hiyo hela uliyo itunza halafu mwisho wa siku uta give up the project, miaka itakuwa inaenda na kurudi bila wewe kutimiza malengo.

TUFANYE NINI BASI EEH RABBI

Kanuni bora na ya uhakika ya kutunza pesa ni kutunza asilimia kumi HADI ishirini ya pesa uliyo/ unayo itengeneza.

kwa mfano kama kwenye biashara yako unaingiza shilingi laki moja. Tunza sh elfu ishirini, elfu themanini tumia kwenye mambo mengine... Ukufanya hivyo baada ya miaka miwili au mitatu utakapo enda kutazama ki piggy bank chako utajikuta umetunza kiasi kikubwa tu cha pesa ambacho unaweza kufanya kitu kikubwa cha maana.

KWA UFUPI: ILI UWEZE KUFANIKIWA KUTUNZA PESA KWA UHAKIKA, UNATAKIWA KUHIFADHI ASILIMIA KUMI HADI ISHIRINI YA PESA AMBAYO UME I INGIZA NA SIO KINYUME CHAKE
 
To me 40% inakaa vizuri kabisa.
 
Umetunza wee siku unavunja kibubu ndo unasikia huko kijijini bibi kameza chemli!

KWA kufuata kanuni yangu kibubu hakiwezi kuathiriwa kwa sababu Utakuwa na hela zako nyingine ambazo unaweza kuzitumia kusolve ishu zako zote.

Hiyo ya kwenye kibubu ni asilimi kidogo ya kipato chako. KWA mfano umepiga dili umepata milioni , kwenye kibubu unatia elfu hamsini. Umepata elfu hamsini kwenye kibubu unatia elfu tano. Unakuwa kama umeisahahu vile. So hata unapo fika wakati wa kuvunja kibubu unakuwa na mkwanja wako mwingine kwenye mizunguko yako mingine. Hii ya kwenye kibubu inakuwa ni side cash
 
Wazo zuri nikiwa sijavurugwa lakini nikivurugwa kibubu nakifanya kuwa kiongeaji.
 
Njia bora ya kutunza pesa ni kumuomba sana Mungu atuepushe na changamoto za dunia hii. Mkuu, mambo yakiwa magumu, hata ghorofa watu wanauza ili mgonjwa apone.
Buhahaha. But mkuu theory yangu inasema kwenye kibubu unaweka kiasi kidogo sana ambacho huwezi kukiwaza. Yani kama umepata laki moja basi kwenye kibubu unatia elfu kumi..
 
Watu mkisogs
Usikute hata ule msemo " wanaume hatujui kutunza pesa" ulianzishwa na bushman kama GENTAMYCINE

But don't just take it seriously. Ni uongo kama porn site inayo kwambia kuna demu mrembo anataka kukazwa jirani na mtaa unaoishi.

Hata mimi zamani nilikuwa kama wewe.

Nilikuwa siwezi kutunza pesa kama wewe.

Ila baada ya kuigundua siri hii mwaka 2014 nimefanikiwa kufanya vitu vingi sana..

KOSA LINALO FANYWA NA WANAUME WENGI.

Ni kujaribu kutunza asilimia themanini HADI tisini ya pesa anayo ingiza.

kwa mfano akiingiza laki moja anataka eti atunze elfu themanini halafu ishirini ndio ai spend. Hell no ! Ukiamini hili linawezekana basi unaweza amini hata Maneno ya Wema Sepetu au Lulu Diva anapo kwambia " I love You Too".

Unacho kifanya hapo ni sawa na mbongo kununua soda na matunda/ beer/wine aweke kwenye fridge halafu awe ana tumia kidogo kidogo kika siku..

Hata kama ni budget ya kukaa kwenye fridge kwa Mwezi mzima mbongo ataimaliza chini ya wiki.

Utapata tatizo kidogo utaishia kuitumia hiyo hela uliyo itunza halafu mwisho wa siku uta give up the project, miaka itakuwa inaenda na kurudi bila wewe kutimiza malengo.

TUFANYE NINI BASI EEH RABBI

Kanuni bora na ya uhakika ya kutunza pesa ni kutunza asilimia kumi HADI ishirini ya pesa uliyo/ unayo itengeneza.

kwa mfano kama kwenye biashara yako unaingiza shilingi laki moja. Tunza sh elfu ishirini, elfu themanini tumia kwenye mambo mengine... Ukufanya hivyo baada ya miaka miwili au mitatu utakapo enda kutazama ki piggy bank chako utajikuta umetunza kiasi kikubwa tu cha pesa ambacho unaweza kufanya kitu kikubwa cha maana.

KWA UFUPI: ILI UWEZE KUFANIKIWA KUTUNZA PESA KWA UHAKIKA, UNATAKIWA KUHIFADHI ASILIMIA KUMI HADI ISHIRINI YA PESA AMBAYO UME I INGIZA NA SIO KINYUME CHAKE
Watu mkishasomaga vijitabu mnajifanya wajuvi kwelikweli.

By the way hongera Kwa kusoma "THE RICHEST MAN IN BABYLON"
 
Wazo zuri nikiwa sijavurugwa lakini nikivurugwa kibubu nakifanya kuwa kiongeaji.
It is mathematically impossible. Kwa sababu kwa mfano umepata laki tano halafu kwenye kibubu umetia sh elfu saba.. Nina uhakika kabla hiyo laki tano haijaisha lazima Utakuwa umepata hela nyingine ambayo nayo utatoa elfu chache kadhaa na kutia kwenye kibubu.

Ukiamua inawezekana
 
Nilitengeneza kibubu cha chuma,siku ya siku nikawa nina uhitajiwa lakii nne,nikakumbuka kibubu wakati mudA ni saa nne usiku,kuchokonoa naziona noti ila kuzitoa kasheshe..hazitoki mzee!!!nilikesha na wife kukiponda ponda hadi kufikia saa nane nishatoa 1.8m,sikuamini kwani nilijisahaulisha kila ninapotumbukiza hela,...
 
Mimi nafikiri inategemea na unafanya shughuki gani..kuna jamaa yangu alishawahi tunza mpunga cash ukafika mpaka 60m...na kutumia anatumia akipata 800,000 anatoa 200,000..inayobaki anaweka kwenye kibubu...5.3m tshs 300,000 anatumia...discipline inategemea na akili yako wewe..mwenyewe
 
Duu kweli discipline
 
Nilitengeneza kibubu cha chuma,siku ya siku nikawa nina uhitajiwa lakii nne,nikakumbuka kibubu wakati mudA ni saa nne usiku,kuchokonoa naziona noti ila kuzitoa kasheshe..hazitoki mzee!!!nilikesha na wife kukiponda ponda hadi kufikia saa nane nishatoa 1.8m,sikuamini kwani nilijisahaulisha kila ninapotumbukiza hela,...
This is what am talking about. Ulisahau probably kwa sababu ulikuwa unaweka hela ndogo ndogo.

Kama ungekuwa unaweka hela nyingi kuliko unayo baki nayo akili yako yote ingekuwa kwenye kibubu na probably ungesha kivunja wiki ya KWANZA au pili tangu uanze kuweka
 
Back
Top Bottom