wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaovujisha wanawake Video za Uchi, Nani Kawaroga?

    Hivi wanaume nyie ni nani kawaroga? Mimi kama mwanamke nimeumizwa sana na nitaendelea kuumizwa kila nikiona wanaume wanavujisha video clip za wanawake wenzangu wakiwa watupu chumbani wamelala. Hivi mwanaume lijali unayepiga paipu papuchi na ikapigika kisawasawa haswa huo muda wa kumrekodi...
  2. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tena wanaume tutafute pesa

    Wakuu tuache mbamba Mademu wazuri kuwala ni pesa sasa usijifanye unalia lia tu hapa wakati kinachotakiwa ni pesa. Pesa pesa pesa pesa pesa pesa Shauri yako kama unatafuta vipesa unahonga. Wewe tafuta pesa wao watakuja wenyewe acha pesa iongee mzee na siyo wewe uongee au kunyanyua kinywa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Ili swala la Hakimi lime-trend duniani kote ukiingia nairaland, JamiiForums.com, etc wanaume wanampongeza Hakimi, najiuliza ina maana wanaume wote hao wameshawahi pigwa na vitu vizito kwenye mahusiano yao na wanawake?? Ina maana kati ya wanaume wanaompongeza Hakimi, kuna walioliwa nauli,, kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wa leo tutimize majukumu yetu ipasavyo..

    Salaam wakuu! Mimi kama mwanaume natoa haya.... Wanaume wa siku hizi baadhi yao ni kwamba tunafail sana yaani, Ona hizi kero. Wanaume wengi ndani ya ndoa hawatoi mahitaji, wanaachia wakina mama kila kitu afu wanataka wasikilizwe hilo haliwezekani. Mwanaume ukiombwa pesa na mwanamke unavunga...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa kuchapiwa kunasababishwa na wanaume wenyewe

    Kila kitu huwa kina hatua, baya huwa haliwi tu baya bali huwa linanza na zuri lenye kasoro, maana yake ni kwamba ndoa mbaya huwa ni matokeo ya ndoa nzuri yenye kasoro. kuchapiwa kwa sisi wanaume huwa kunaanza na hatua zifuatazo. Miaka miwili ya wanandoa kuwa pamoja, huwa ni yenye furaha sana...
  6. JamiiForums Tanzania Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

    Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe. Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume tuliopo chuo, wenye sura mbaya na hatuna hela CHAPUTA ni mkombozi wetu

    😅😅💯
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke asiye na muda na wanaume ni mraibu wa kujichua?

    Hii imekaa vipi? Hasa kwa mwanamke asiye bikra, ambaye hana muda na wanaume, tena ambaye hajishughulishi kana kwamba kuna jambo linamkeep busy, hapana. Anayeendekeza chuki dhidi ya wanaume. Kuna ukweli ndani yake kuwa wanawake wa namna hii ni waraibu wakubwa wa punyeto?
  9. JamiiForums Tanzania Nina gundu, wanaume hawanitongozi

    Wazima jamani Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado...
  10. JamiiForums Tanzania Tafiti: Ugumba kwa wanaume unakua kwa kasi sana

    Imegundulika kua katika kipindi cha takribani miaka 50 nyuma kufikia sasa, kumekua na upungufu wa zaidi ya 50% ya manii(sperm) kwa wanaume wote duniani, na kusababisha kukua kwa kasi, kwa tatizo la ugumba kwa wanaume. mbaya zaidi, upungufu huu umeonekana kua mkubwa zaidi kwa wanaume wakiafrika...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wenzangu hua mnawezaje

    Yaani nashindwa kuelewa wenzangu hua mnawezaje umemtongoza mwanamke kakukubalia mnapanga siku ya game for the first time mnakaa kwanza baa mle mnywe ndo mkafanye yenu, huwa mnafanyaje Kwa sababu Mimi ukinambia game kesho duu napotezaga network hata kazini akili haikai vzr nikifikiria huo mchezo...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lakamata watuhumiwa 44 kati yao wanaume ni 41 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata watuhumiwa 44 kati yao Wanaume ni 41 na Wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, utapeli, wizi wa mifugo na kupatikana na dawa za kulevya na pombe haramu ya Moshi 'Gongo'. Kamanda wa Jeshi...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume huwa tunasema hatuongozwi na hisia tunafata logic, sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi?

    Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia. Sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi? Maumivu hayo si ni matokeo ya hisia? Pisi kali ikikupiga tukio...
  14. JamiiForums Tanzania Makosa yanayofanywa na wanaume wengi kwenye kumvutia mwanamke

    Kuamini kuwa na mwanamke anavutiwa sana na mwonekano tu Kwa sisi wanaume tunavutiwa na mvuto zaidi, lakini mwanamke anavutiwa nawe kutokana na vile anavyojisikia akiwa nawe. Akijisikia amani, usalama kujiachia kwako basi unampata/ kumtunza kirahisi. Lakini usipomfanya mwanamke ajisikie usalama...
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya wanawake na wanaume nani wanaongoza kutangaza madhaifu ya wenzao?

    Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo! Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe. Au wewe...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

    Sijui nyie mmeumbwaje jamani! Khaaaaa! Hivi aliyewapa kibali wakati wa sex kutupiga makofi makalio yetu ni nani? Aliyewaambia wakati wa sex ni wakati wa kupigana makofi nani? Unakuta jitu hata kukufikisha halikufikishi kazi kukupiga makofi tu makalioni ili lionekane linaweza mambo kumbe hamna...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

    Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri? Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu. Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar mnapenda kunywa pombe laini.

    Kuna bar hapa mbezi nimekuja na jamaa angu,kila mwanaume ninaemuona kashikilia savanna,Flying fish au Serengeti light. Acheni kunywa pombe za wadada bana
  19. JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Wanaume mnaopigwa na Wake zenu acheni Kudanganya kuwa mmepata Ajali ili mpate PF3

    "Unamuona kabisa kuwa huyu Mwanaume hajaumia kwa Ajali bali kachezea mno Kichapo cha Mkewe Nyumbani na unataka kumsaidia halafu anakataa na kuzidi Kukudanganya. Wanaume mkipigwa na Wake zenu kuweni Huru kuja Polisi au kwenda katika Madawati ya Kijinsia na mtapata Msaada" amesema RPC Kamanda...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanafanikiwa kupitia migongo ya Wanawake

    Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara yake, wakati huo nilikua afisa mikopo. Alinielezea kuhusu Biashara yake, plan zake na namna alivyoanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…