Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Hali ni mbaya sana. Wanaume wengi wa Kigoma wamekuwa wakiishi katika ndoa zao katika hali ya mateso na manyanyaso makubwa toka kwa wake zao.
Wengi wamekuwa wakipokea vipigo mara kwa mara na kulazimika kunyamaa ili kuepusha hali ya sintofahamu katika jamii.hata hivyo waswahili walisema "mwenda tezi na omo marejeo ngamani"
Wanaume hao wameamua kuililia serikali kuhusu suala hilo wakiomba msaada. Wamezungumza suala hili la kuonewa na wake zao wakitaka serikali isimamie haki zao za msingi na ndoa zao.
Wadau wengi hasa wa kutoka Dar es salaam wakichangia wamesema hii ni athari ya wanaume hao kujipiga mabomba sehemu zao haja kubwa kwa leo la kujisafisha tumbo n.k na hivyo kupelekea kuwa na mlegeo katika nguvu.