wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Habari! Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100% Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu. Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima...
  2. JamiiForums Tanzania Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

    Nipo zangu eneo langu la biashara... Ni kasoko flani hivi kalikochangamka kwahiyo nikaona niwe na kastationary pale kakuzugia, mambo yote ya photocopy, printing, scanning, binding na kuchapa chapa material nini unapata na huduma ya passport size zile za fasta dakika 3 pia zipo fresh tu. Mwezi...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume mnakera sana

    Wanaume mnakera sana. Yani mtu anajua kabisa mwezi huu hajatuma hela ya matumizi Alaf anajikausha, unamkumbusha kwenye text mkiwa mnachat yeye anajibu sms nyingine hiyo anajifanya hajaiona unamtumia tena as a reminder anajibu oh I remember I will send . Anajikausha mpaka siku inaisha. Ivi mna...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume ni bidhaa adimu, wanaume wapo wanawake ndiyo hakuna

    Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanamke mwenzenu, huyu mama kaongea kwa uchungu sana maana ndiyo ukweli wenyewe wa kinachoendelea kwa sasa. Dada na wadogo zetu wa kike msipoamka kutoka kwenye huo usingizi mzito basi miaka 20 ijayo jamii itakuwa na kizazi cha ajabu sana, na msidhani...
  5. JamiiForums Tanzania Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

    Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
  6. JamiiForums Tanzania Swali kwenu wanawake na wasichana. Hivi na nyie huwa mnapata WET DREAMS kama ilivyo kwa wanaume?

    Swali la mada hii linajieleza. Naamini kila mtu anauelewa na wet dreams (ndoto nyevu) ni nini. Uzi tayari.
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

    Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada? Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada? Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wamegeuza mahusiano kuwa biashara na wanaume mitaji yao

    Ndugu zangu Ukituliza akili na kuyatafakari kwa kina mahusiano ya sasa utagundua wanawake walio wengi wameyageuza ni biashara ya kuuziwa bidhaa ambayo hubakiwi nayo huku sisi wanaume tukifanywa ndiyo mitaji yao Utagundua kabisa katika hii biashara wanawake hawana cha kupoteza zaidi ya sisi...
  9. JamiiForums Tanzania Kisa cha maiti ya Anna Fritz na vifo vya wanaume waliombaka

    Wakati wewe ukienda kuhani msiba unaogopa hata kuaga maiti kwa kuitazama au basi ukiaga unaanza kutusumbua wiki nzima kwamba marehemu anakutokea kwenye kona, basi jua kwa hawa mabwana hali ni tofauti. Kila mnyonge na mnyonge wake. Wao hawakuishia kuiona maiti, bali waliisasambua kabisa mpaka...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume tunaokwenda kujitambulisha ukweni hivi karibuni njooni tupeane mbinu za kurahisisha jambo

    Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo. 1. Sitolala ukweni. 2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu. 3. Ntavaa simple sana( shati yangu ya mikono mirefu, suruali na balaghashehe kichwani) na kiatu changu cheusi 4. Nitaongea kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu fanyeni mazoezi acheni kula chips yai

    Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo). Hivyo vitambi waachieni wake zenu. Mazoezi kwa afya bora.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nauza accesories zote kwa ajiri ya urembo kwa wanawake na wanaume

    Habari zenu mabibi na na mabwana! Sisi ni lj adornments store tunauza saa(kike & kiume),cheni(kike & kiume),bracelets(kike & kiume),hereni,smartwatch na vingine vingi. Bidhaa zetu zimezingatia sana ubora hazipauki,hazichuji na wala haziwashi na ni imara sana. Tunapatikana kigamboni na...
  13. JamiiForums Tanzania Tusiseme wana wa kike wa siku hizi wanapend pesa, ukweli ni wanawake wameumbwa ili waishi maisha mazuri ten yenye usalama.

    Mwanamke alipoumbwa, alikuta Mungu ameshaandaa sehemu bora safi ya kustarehehesha yaani Eden. Maana ya neno Eden ni Sehemu ya kustarehesha inayolindwa. ( Protected place of Pleasure). Hata baada ya kufukuzwa Eden. Bado mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho ili matumizi ya matokeo ya hilo jasho...
  14. JamiiForums Tanzania Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    Ndugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako. Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni. Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi. Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wana wapenda wanaume wenye tabia hizi?

    1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini. 2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope. 3. Wanaume wakorofi (sio wakali) hawa pia wana miliki na kupendwa na vyuma vya hatari kivyede yani...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wako hivi?

    Mnasex wote, mnaambiana sex ikileta shida mpo wote ngoja upate mimba hadi mtu anahama hadi mtaa na unamblock mtu. Why mpo hivi?
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume Mtetezi wenu huyu hapa. Kataa Ndoa msipite hapa

    Nadhani kawawakilisha vizuri?.
  18. JamiiForums Tanzania KWELI Uvutaji wa Sigara huchangia ugumba kwa wanaume

    Matumizi ya tumbaku ni moja ya maafa ya afya ya umma yanayojulikana sana. Licha ya ripoti nyingi kuhusu afya ya umma, matumizi ya tumbaku yanazidi kuongezeka katika nchi zinazoendelea na zilizoendelea. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), takriban watu Bilioni 1.3 duniani wanavuta...
  19. JamiiForums Tanzania Humu hata wanaume ni wapweke

    Humu jf wanaume nao ni wapweke kuna makundi mengi ya wanaume wapweke. 1. Wanandoa Humu wengi wanaume waliooa ni wapweke , na ndoa za humu asilimia kubwa ni changamoto , so wao wanaishi kiupweke na sonona sasa wakifanikisha kupata mtu au watu wanampiga nakitu kizito wanakuja kulia humu ndani...
  20. JamiiForums Tanzania Shehena ya Zawadi kutoka kwa Wamarekani ikiwafanya Wanaume watakaoitumia wasipende 'Kubong'oa' hovyo nami nitakuwa naitumia Kunakotukuka

    Na nasikia majaribio yake yanaanza kwa Wakazi wa Dar es Salaam na ninachoshukuru hasa GENTAMYCINE kuwa tayari nimeshahama Dar es Salaam tokea tarehe 18 Februari, 2024 na sasa nakula zangu tu Kipupwe cha Mapinga nikiwa na Makomandoo wa Kiharaka hivyo hiyo Shehena ya wasiwasi kwa Team Kuzalisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…