wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Wanawake Njooni Tuongee:- Nini kimezikumbuka ndoa zenu, mbona mnaua wanaume zenu hivi?

    Twende "direct" kwenye mada. Chekini haya mateso ya ndoa. Maana nikiwaambia msioa mnashupaza shingo. Hebu chekini hizi comments. Acheni kuoa MTAKUFA. #YNWA YANGA_BINGWA
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Kitanzania huwa hawajiamini wanapokua kwenye mahusiano na sisi wanaume Mabrothermen?

    Kwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc...
  3. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Wanaume tu: Hivi wanaume lita 1000 za mafuta zinakuwa zinatumika kwenye kitu gani wakati wa tendo la ndoa?

    To be honest Mpaka sahivi nawaza zile chupa 1000 nusu lita ya mafuta yaani lita 5000 za p.diddy Yani imenifanya kichwa kigande Mpaka nikitembea barabarani nikikutana na mwanaume mweusi naona sura ya Pdiddy Me simcheki P.diddy kabisa, wanaume wengi kwenye ndoa wanageuzana toka zamani mpaka...
  4. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Viungo vitatu vinavyoharibu maisha ya wanaume wengi

    Karibu... 1. MDOMO Jifunze ku-control mdomo wako, mdomo unaharibu mdomo unatengeneza, unatakiwa ujue kutofautisha kati ya muda sahihi wa kuongea na muda wa kunyamaza na kusikiliza wengine. Usijiongelee mambo mabaya hata kama mnataniana na washkaji, jifunze kuwatamkia watu mema na kuwaambia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya wanaume kununua dada poa imeongezeka miaka ya hivi karibuni

    Habarini, Nlikuwa mahali kwenye sehemu wanapopatikana maafisa utamu, ndani ya Moja ya majiji makubwa yanayopatikana hapa nchini, nikizuga napata kilaji aloo, kwenye gesti wanazojiuza madada poa wanatoka watu wazima na vijana ambao kwa muonekano wa nje hawafananii kabisa, ukiwaangalia utasema ni...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi sasa hivi wanavutiwa na wanawake wenye vipato

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wengi siku hizi hutafuta mabinti weñye kazi au kujishughulisha na mambo ya kiuchumi. Mabinti wasio na kazi wamejikuta katika hali ngumu sana. Tena binti awe hana kazi alafu awe maskini au atoke familia maskini hakuna rangi àmbayo ataacha kuiona. Hata...
  7. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Sheria 6 za dhahabu kwa nyie wanaume

    1. Unapokutana na msichana, usifikirie ngono kwanza; usiombe ngono. Hata kama una una mihemko kiasi gani, jifanye kuwa wewe ni mtawa kwa muda. acha kuonja kila msichana anayekuja kwa sababu kila ngono lazima ina nasaba ya hatma yako ya baadae. 2. Usiende kutafuta bikira, ikiwa wewe mwenyewe...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Je, tutatarajia maandamano kufanywa na wanaume wa Dar na Pwani?

    Kesho itakuwa tarehe 23 Sept 2024. Siku ambayo chadema wamepanga kufanya maandamano ya amani kuishinikiza serikali kuwarudisha makada wote wa chadema waliotekwa na wasiojulikana lakini pia kuomba haki itendeke kwa waliouawa. Serikali kupitia jeshi la polisi imepiga marufuku maandamano haya kwa...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

    Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hawa 'Mabodigadi' na 'Mabaunsa' waliowapokea Klabu hii ya Libya ni Wanaume Wenzetu kweli ni 'Wapiga Miluzi' Tukuka?

    Halafu ninasikia 99.9% ni Mashabiki wa Walioko wa Wataalam wa Kuwapigia Miluzi Wenzao Pwani ya Afrika Mashariki!!!
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ni ajira gani ambazo wanaume wanalipwa zaidi ya wanawake?

    Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Septemba, ni siku muhimu inayolenga kuibua uelewa kuhusu tatizo la pengo la malipo kati ya wanaume na wanawake. Hii ni fursa ya kushinikiza malipo sawa kwa kazi yenye thamani sawa bila kujali jinsia, hali inayosalia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwamaliza kinyama sana wanaume wanaojifanya wanawajua wanawake

    Familia zenu zipo salama? Toka zamani till now, wale wanaume wanaojifanya ni 'maromantiki' mno na kujifanya wanatufundisha sisi wanaume wengine jinsi ya ku care wanawake, huadhibiwa kikatili sana na wanawake. Mwisho huishia kwenye fedheha na aibu. Huwezi kutafuta cheap popolarity kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chris Mauki elimu yake ya saikolojia ni against wanaume tu?

    Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano. Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote anazozitoa anazitoa kwa muamvuli wa taaluma ya psychology lakini kiuhalisia MENGI NI MAONI YAKE...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke akigundua kakaa vibaya kwenye public na watu wameona hukosa tena confidence ila kwa wanaume wao hawajali kitu?

    Kuna mahala nilikuwa katika Kikao kidogo ndani ya Ukumbi na kuna Dada kwa kutokujua kuwa alikuwa anatuonyesha Video ya bure ya kilichopo katikati ya Miguu yake (ila Kimefunikwa) na alipojulishwa na Mwenzake akakaa vizuri na kutunyima Uhondo wazee wa Chabo na ghafla Confidence yake ikashuka na...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

    Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha...
  16. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

    Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani. Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshiriki meza ya Bwana Kanisa Wasabato salasala, wanaume wamewaosha miguu wake zao!, kawaida jinsia moja hutawadhana kama alivyofanya Bwana Yesu

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeshiriki meza ya Bwana (Lords Supper) kama ilivyoagizwa na Bwana wetu Yesu Kristo kama njia ya kumkumbuka. Hata hivyo nimeshuhudia utaratibu mpya kwenye zoezi la kutawadhana/ kuoshana miguu ambao sijawahi kushuhudia hata siku moja ndani ya Kanisa Kawaida watu...
  18. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

    Mwanaume ni ujasiri wa kupokea majukumu na mara nyingi kipimo cha uanaume ni ndoa ikiwa huna ndoa wewe ni mvulana tu, vijana mnapenda kuchovyachovya lakini ukiingia kwenye ndoa unakutana na mke wako any time, majukumu ya utafutaji yanakuandama, kitanda plus ada za watoto zinakusubiri. Lakini...
  19. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huchepuka?

    Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu. Kwa nini wanaume huchepuka?
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ndugu Covax ninawajua wanaume wengi waliopewa mitaji na wake zao lakini wakashindwa Kufanya biashara. Hiyo dhana yako sio sahihi

    Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika. Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa asilimia 99%. Soma pia: Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara...
Back
Top Bottom