wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake huvutiwa na wanaume wenye vipara

    Upara mara nyingi huleta hisia kali ya kujiamini. Wanaume wanaonyoa upara wao huonekana kuwa na ujasiri na salama katika sura zao, sifa ambazo wanawake wengi huona zikiwavutia. Zaidi ya hayo, upara unaweza kusisitiza sifa za kijadi za kiume, na kuongeza mvuto wa jumla wa mtu. Sababu nyingine...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dokta Mwaka: Wanawake kufungua Miguu tu pekee haitoshi, jiulizeni na nyie mmewafanyia nini Wanaume? Acheni kutaka kufanyiwa kila Kitu

    "Na isitoshe pamoja na kufanyiwa kila Kitu na Wanaume ikiwemo hadi Kuridhishwa maradufu bado tena Wanaume hao hao Wanawajibika katika Kuwatunzeni lakini pamoja na yote haya utakuta Wanawake wao hawarudishi Uwajibikaji huo kwa Wanaume na wanadhani Kufungua Kwao Miguu kila Siku ndiyo Upendo wa...
  3. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Tusifumbue macho hii kauli "Wanaume wameisha" inatweza utu wa Wanaume

    Inasikitisha kwa Mwanamke mwenye Kaka, Baba na Babu kutamka Wanaume wameisha hii ni disrespectful ya kiwango cha umeme wa grid ya Taifa.. Hili ni zaidi ya tusi Mwanamke anayeweza kutamka haya maneno inaonesha ukuaji wake ulijaa changomoto inawezekana vipi udisrepect baba na kaka zako
  4. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume huu ndio ukweli ambao hamjawahi kuambiwa

    Unataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe Najua nimewachanganya kidogo au sio Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu na kukusikiliza lakini wakati huo huo nawe haumu onyeshi mapenzi,kwasababu wanawake wanahitaji...
  5. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane tu mambo machache tunapochagua mke wa ndoa

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa. Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa. Iko hivi, unapotaka kuoa kwanza usijifikirie wewe tu, ni kweli chagua mwanamke ambaye anakuvutia lakini ukumbuke hujichagulii...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaofanya kazi hizi huufurahia sana uumbaji wa mola. Wanafaidi mema ya nchi

    Nimefanya utafiti wa kutosha. Hivyo nina 100% na kile ninachokizungumza (a) Fundi Simu (b) Chipser (Mkaanga Chips) (c) Bodaboda (Afisa Usafirishaji) (d) Wasusi wa kiume na wapaka rangi kucha (e) ?
  7. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DHARURA: Naitisha kikao cha wanaume usiku huu tujadili bei elekezi ya mahali kwa mchumba

    Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka kufanana na nilichokiona humu jf Sikutegemea nilichokikuta ukweni Dogo kaenda kule wamemwambia mahali...
  8. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyakati hizi, wadada wanatongoza sana wanaume

    Siku moja niliamua kutembelea akaunti yangu moja ya mtandao wa kijamii, baada ya kuingia 'inbox' nikakutana na sms (jumbe) nyingi za wadada na wamama mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali za Afrika; nyingi zilikuwa zinasema, 'mambo', 'hallow' n.k Wengine wakiomba urafiki n.k; nikawa najiuliza kwa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hukaa kimya wanapofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia?

    Wanaume wanakutana na Unyanyasaji wa kijinsia ila kuripoti na kupata msaada wamekuwa wagumu, Nini kinasababisha Wanaume kukaa kimya? Weka maoni yako!
  10. Ma Mshuza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

    Awe na Tako awe na kiuno awe na bastola. Hutaki kajisaidie....mi nshakutana na wanaume wanasema napenda mwanamke namba moja.... Nyooooh...namba moja my ass. Wengi ambao ni vibamia wanaogopa kuyafakamia matinginya sababu hawafiki ndani au hawajui style mujarabu. Unabisha aangalia insta...
  11. Ma Mshuza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

    Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde. Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanaweza kuhudumia wanawake hata watano, wazazi na watoto na bado wakawa sawa lakini wanawake wanashindwa?

    Kuna siri kubwa imejificha kuhusu pesa. Haiwezekani wanaume tuweze kuhudumia wapenzi wetu mpaka michepuko, tuhudumie watoto, tuhudumie wazazi, tuhudumie wakwe na mashemeji na bado tukawa sawa lakini kwa wanawake washindwe? Kama kufanya kazi hata wanawake nao wanafanya tena mnaweza hata mkawa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sikujua kuwa kumbe hata Zama hizi za Sasa bado kuna Wanaume 'Hopeless' kabisa kama huyu

    Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye. Chanzo: mwananchi_official Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mabinti wenye umri kati ya miaka 18 -22 ni tiba Mujarab kabisa ya tatizo la msongo wa mawazo kwa wanaume

    Kama wewe ni mwanaume wa age 30+ umeoa au umezaa na mwanamke/wanawake na wanakupa stress za mapenzi kama vile unahisi wana flirt na michepuko au mmeachana na ex wako ame move on, etc, halafu kwa sababu hiyo eti umepatwa na msongo wa mawazo basi Mimi NINAKUTUKANIZIA MAMA AKO MZAZI. Kosa lako...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi viwango na uthibitishaji wa dawa za kuongeza maumbile mamlaka zinazingatia nini?

    Habari Wakuu, Kumekuwa na Ofisi mbalimbali zilizopewa vibali vya kuuza madawa ya kuongeza maumbile (Uume kwa Wanaume) na Shepu kwa wanawake. Ofisi hizo zimekuwa huru na zinajitangaza hadharani sambamba na kusifia huduma zao. Nimewauliza wataalamu wa Afya kadhaa wanadai hakuna dawa...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wanaume Ukraine waacha kwenda masokoni,mikahawani,shughulini na sehemu za ibada kuogopa kukamatwa kupelekwa mstari wa mbele

    Kaka Serhiy na dada Tania walikatisha kufanya harusi yao ufukweni mwa bahari wakihofia hali mbaya ya hewa.Hata walipoingia kwenye ukumbi walikoalkwa wageni kushuhudia harusi yao bado waligundua hali isiyo rafiki kwa furaha yao.Viti zaidi ya nusu vilikuwa ni vitupu ikiwa na maana waliohudhuria ni...
  17. Bata batani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  18. Shammy-

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume Black🥰🥰🥰

    Halafu awe ✓Tall🥰 ✓Mwembamba kiasi🥰 Nyiee acheniii 🤗 Sitamani Jumanne ifike🤸 BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko tarehe ya ndoa ni 13 July 2024. I can't wait for shoooo😁😁 Play song for us Mr piano man😁🎵 KARIBUNI ♥️♥️♥️
  19. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua nibadilishe type za wanaume

    Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂 Sasa hivi my preference is 1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini 2. Amesoma kwa shida sana 3. Kapitia changamoto za maisha nyingi 4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha 5. Awe na hofu ya Mungu na awe...
  20. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yalionikuta sina hamu na nyie wanaume

    Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine. Cha...
Back
Top Bottom