wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Billie

    JamiiForums Tanzania Makosa ambayo wanaume tunakatazwa kuyafanya kwa wanawake wetu na kutugharimu

    Kosa kubwa utakalofanya mwanaume kwenye mahusiano yoyote na mwanamke katika mapenzi 1.Kufanya kila njia hili kutimiza mahitaji yake na shida zake 2.Kusema ndio kwa kila kitu anachokihitaji. 3.Kumfanya kama nguzo yako katika mahusiano yenu 4.Kumuonesha kuwa unaogopa kumpoteza kwenye maisha...
  2. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake mnaoendesha magari machafu mmelaaniwa hakika mjitathimini upya

    Ndugu zangu natumaini mnaendelea salama kwa wale wenye changamoto ya kiafya na kiuchumi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi . Amina Bila ya kupepesa macho huu ni ukweli usiopingika kwamba mnao endesha magari machafu mnalaana za uchafu uliokithiri kupita kiasi. Hakika mmelaaniwa Ndugu zangu...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake Njooni hapa Sharti na kuoa au kuolewa. Tahadhari muisome

    Imekuwa desturi ama mila ama utamaduni kuhusu kuoa ama kuolewa. Lakini kuna mambo ya misingi ambayo katika ngazi familia, koo, jamii, kanisani,, misikitini, shuleni, na vyuoni yapaswa kuwa sehemu ya mafundisho. Kumwandaa Mume, Mke, Baba, na Mama ni wajibu wa msingi katika jamii na Taifa...
  4. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba

    1.Simiyu 2.Geita 3.Shinyanga 4.Mwanza 5.Mbeya 6.Iringa 7.Njombe 8.Ruvuma 9.Lindi 10.Mtwara 11.Manyara 12.Singida 13.Rukwa. 14.Songwe 15.Dodoma
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyewadanganyeni Wanaume kuwa Wanawake wanataka tu Hela Kwenu nani? Kudadadeki zenu wanataka Hela na 'Mfurunduano' wa uhakika kama hivi asemavyo Diva

    Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi.... Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema acheni mchezo mume wangu ana macho mazur nyie, akicheka sasa aaaah!. Kijana ana hela, ana jua...
  6. Mtuache

    JamiiForums Tanzania Naomba sifa za Wanaume wenye muonekano kama huu

    Kichwa Cha Habari kinajieleza. Tiririka, povu sitaki
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

    Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu. Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua...
  8. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanaume kama unajua akikupa huwezi kuichapa ni mara mia uache kuwasumbua wanawake

    Ndugu zangu Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake. Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
  9. aise

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ujumbe kwetu wanaume

    Jamaa kaongea yote hapa!
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wema na Watiifu katika Mahusiano yao ndiyo huteswa zaidi Kimapenzi na Wanawake

    Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya Mwanasaikolojia mmoja ambaye huwepo sana katika Kipindi huko Channel Ten ambapo huwa anazungumza na kuchambua Mambo mbalimbali ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kimahusiano. Ngojea GENTAMYCINE niendelee hivi hivi tu kuwa Mkorofi mbele ya Wanawake ili...
  11. Fundi manyumba 01

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wenye akili wanapenda girls with nyash!

    Why smart boy with high IQ most of them like girl with Nyash...? Answers.... Solution According to simple manipulation Let say Brain = A Nyash = B But Brain phenotypically resemble with Nyash So Nyash ~~ Brain Mathematical Nyash = K Brain. (K is beuty costant) So A = KB Biologically...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaopeleka moto kwenye shoo wengi hatuko romantic na tunabadlisha sana wapenzi

    Ndivyo unavyoweza kuweka baya kuwa sisi Wanaume amabao tuko vizuri kwenye angle ya kupeleka moto, kasoro yetu kubwa hatuko romantic na mahusiano yetu mbali na kigezo cha pesa huwa hayadumu. Asilimia kubwa wapenzi wetu hawakosi vibeten wa kuboresha amani na hisia zao . Tuendelee kujibrand vema...
  13. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mambo wasiyoyapenda wanaume ndani ya ndoa

    1. MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima. 2. MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au anaduwaa; ujue hana jibu au anajisikia vibaya kuhusu jibu ambalo...
  14. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanapata maumivu pia

    Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka mingi kujua kwamba wanaume wanalia pia. Nilimchukulia mume wangu kama mtu wa ajabu. Namwona akiondoka nyumbani kila siku na kurudi akituletea riziki. Siku moja nilipokuwa nimeondoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka kwamba nilihitaji...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume kitu gani kinawafanya muogope mnapokua kwenye mahusiano Na mwanamke aliyekuzidi kipato

    Hello JF, Wanaume kwanini mnakuwa hamjiamini ukiwa kwenye mahusiano Na mwanamke au ukioa mke aliyekuzidi kipato ingawa unakuta anakuheshim vizurii. inferiority inampelekea mpaka mwanaume kuanza kumnyanyasa mwanamke kimwili,kiakili Na kihisia....why ebu mtusanue
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani kuna haja ya kuwa na Chama cha kutetea haki za wanaume

    Kwa hali ilivyo wanaume tutaendelea kuondoka mapema sana , tunaumia ndani na kufa kimya kimya huku wenzetu wanatetewa kila mahali Ukatili na unyanyasaji upo sana dhidi ya wanaume Kiwepo chama imara cha kulinda haki za wanaume Nawasilisha
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni wengi kuliko wanaume, ila idadi ya wanaume wenye matatizo ya akili ni maradufu zaidi ya ile ya wanawake

    Saikolojia? Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni. Mihadarati? Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe wa kupindukia zaidi ya wafanyavyo wanawake. Uchawi? 1: Kwamba mwanaume...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanapotaka kuoa hawatumii akili zao vizuri, huishia kuangukia mikononi mwa makahaba. Mwisho huishia kulizwa

    Hello shalom Wanaume bora katika jamii wapo, pia wanawake bora katika jamii wapo. Ni vyema wahuni waoane wenyewe kwa wenyewe ili kupunguza hizi kelele za kutuhumiana usailiti, kuuana na kusambaratisha familia. Yes, hakuna mwenye haki ya kufanya cheating ndani ya ndoa ila nature inaonyesha...
  19. J C

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunazingua sana

    Habari za muda wadau. Kuna kitu nime note. Kama mwanaume usipopenda ndugu zako na kuwathamini pindi uwapo ndoani usidhani mkeo atawathamini. Ukiwatupa naye atawatupa akiwauwa kiheahiniwa tai shingoni huku yeye akiwathamini ndugu zake. Unaweza mtembelea kaka Yako usithaminiwe Wala kiheshimiwa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mwafrika wa Kwanza kushinda Medali ya Dhahabu Mbio za 200 kwa Wanaume Olympics 2024

    Letsile Tebogo (21) kutoka Botswana amekuwa Mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu mbio za mita 200 kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki Agosti 8, 2024. Amefanikiwa kuvunja rekodi ya Kenny Bednarek na Noah Tyles na kutajwa kama “Mwanaume mwenye kasi zaidi duniani” Alifanikiwa kushinda...
Back
Top Bottom