wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wanaume Embu Tuongee kltu

    Habari za wakati huu wana Jf i hope mko salama kabisa na poleni kwa harakati za kila siku za utafutaji.. Wanaume wezangu hebu tuweke kambi kidogo kwenye uzi huu.. Hivi mchepuko unampa pesa,gari na kumjengea nyumba alafu yeye anakupa mapenzi tu....wazee hii biashara kichaa isiokuwa na faida ni...
  2. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanamoyo mgumu , hivi unaoje mwanamke kakuzidi urefu

    Kuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
  3. Stability

    JamiiForums Tanzania Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio JF ilipofikia 2025, wanaume kuambiwa wavae sketi.

  5. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Gentlemen na simp huchanganywa ila ni watu wawili tofauti

    Mara nyingi watu huchanganya kati ya masimp na ma’gentlemen kwasababu ya ufahamu finyu wa hawa watu wanawakilisha haiba gani. Simps na gentlemen ni viumbe wawili tofauti ambao hawafanani hata kidogo katika nature ya matendo yao. Zifuatazo ni tofauti kati ya simp na gentlemen na ni vema...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanapambana zaidi hadharani na CCM kuliko wanaume!

    Hii imenishangaza sana, wanawake ndiyo wamekuwa wanapambana na CCM hadharani kwa njia mbali mbali kuliko wanaume. Wanaume kinyume chake ndiyo wanaoongoza kuwatisha watu kuwa wakiipinga CCM watatekwa, watalawitiwa au kuuawa. Nini kinaendelea kwenye hizi harakati za kuipinga CCM hadi wanaume...
  7. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kikristo walipieni wasichana mahari na siyo kuwalipia wanawake mahari kama mnavyofanya sasa

    Ndugu zangu. Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mapito mawili magumu kwa wanaume ndani ya ndoa

    Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na...
  9. haszu

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: mwanaume mwenzio akipitiwa na usingizi kwenye usafiri akakuegemea begani, utamuacha?

    Najua wanaume wengi hutulia hata kufurahia wakiegemewa na mwanamke kwenye usafiri wa umma, ila je ikiwa ni mwanaume mwenzio, utamuacha?
  10. Area 56

    JamiiForums Tanzania Hivi vinywaji vina-trend siku hizi, hivi wanaume wanaruhusiwa kunywa?

    Ukienda viwanja, naona wadada wanavifakamia kweli, wanaume wanaruhusiwa kweli?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo linaloshangaza sana kuona baadhi ya wanaume wanakasirika au kuharibu mipango wanapoona wake zao wanapata maendeleo kuwazidi wao

    Brother, Umeoa mwanamke muwe team ya kuweza kuunganisha nguvu pamoja kutatua changamoto ikiwemo za kiuchumi, hivyo inabidi na yeye aweze kutengeneza thamani (Vaue creation) Kuna baadhi ya wanaume bado wanaishi zama za kale, hawapendi kuona wake zao wamewachapa gepu kwenye maendeleo. WHY ?
  12. Think2

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi kwenye hii amri ya Mungu hatutoboi

    📖 Mathayo 5:27–28 "Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtamaniye mwanamke kwa kumtazama, amekwisha kuzini naye moyoni mwake." Swali langu, kwani wanawake wao hawatamani ??
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake watema Cheche: Wanaume wenye Vitambi 'Wananuka' kiukweli Wanawake wengi hatupendi Kuolewa nao

    Msinigombanie kama Mpira wa Kona sijasema Mimi na ukitaka kujua waliosema nenda Mtandao wa Bongo Mjini usikie. Hivi mnadhani akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tunachukia kutoka Vitambi kama vyenu hatujui kile tunachokiepuka?
  14. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanavua utu wao kuwa machawa

    Yani mi nikisikia mwanaume anasema Oktoba Tunatiki naanza kuwa na mashaka naye 🏳️‍🌈 https://www.facebook.com/share/r/1ALAR12WMq/
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi tunakaa mbali na simu za wanawake kwasababu ndio njia pekee ya kudumisha mahusiano, Insecurities ni visingizio tu !

    Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa nae nilikuwaga namkubali sana nikijisemea hapa nimefika katika kuishi nae sikuwa na mazoea ya kupekua wala kutumia simu yake ila niliwahi kuijua password yake, basi kuna siku alikuwa ameenda kuoga nikaifungua. Aiseee !! Yule mwanamke ni kiungo mshambuliaji wa...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kyara: SAU Tukishinda Urais tutapunguza Bei ya umeme, Kupunguza makali ya maisha

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Kyara, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anarejesha heshima ya wanaume ambayo imeonekana kupotea, kutokana na ukweli kwamba wengi wao siku hizi wanakwepa majukumu na kutegemea wanawake...
  17. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni wivu jitumeni

    Mnawivu sana na ni wachawi sana hadi kero . Kila kitu mmejawa na wivu sana .
  18. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Wanaume, huwa mnaharakia nini?

    No reforms, no election. Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani? Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini? Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti? Wanaume wenye hii...
  19. The silent smile

    JamiiForums Tanzania Sisi wanaume ni waaminifu sana

    Mwanaume ni kiumbe muaminifu mnoo, na Wanawake wanatujua na kutuamini kwa uaminifu na uadilifu wetu.😇 Imagine, Mtu unaachiwa kuanzia kiuno kushuka chini, halafu mwenye navyo kalalia zake mto na kakuamini kabisaa kukuachia huko nyuma ujisevie mwenyewe, yaan tumeachiwa mashimo yote mawili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yawezekana ndoa ni muhimu ndoa maana tumeumbwa wanawake na wanaume? Je kuna madhara yoyote kuishi bila ndoa?

    Kwenye dini ya kiislamu ndoa ni suna siyo lazima ila ni ile sunna ambayo imekokotezwa kwa maana ni suna ambayo inakaribia kwenye faradhi hivyo hivyo kwenye dini nyingine yawezekana akawa ni muhimu pia je nauliza hiyo ndiyo sababu ya kuumbwa jinsia mbili kati ya kiume na ya kike? Na je kama ni...
Back
Top Bottom