Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.
Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa.
Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta.
Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au...
Nawashauri katika kubalance shobo na mambo mambo kwenye mahusiano.
Ikitokea mwanaume ameomba papuchi nawe lipiza omba mjiti/skinned pipe. Hapo hutasikia mwanaume akilalamika kuwa una tabia za hovyo au unajiuza.
Na mwanaume pia ukiombwa pesa nawe omba pesa. Ili mtu ajifunze kutoomba kitu...
1: Utawakuta wengi wao wanapenda shughuli shughuli na katika shughuli zao lazima wawashirikishe mchicha mwiba kutia shamsham na kuwapa sapoti mapapai ili na wao wajione watu wa maana
2: Utawakuta watoto wao wa kiume ni mayai mayai na mapapai ya baadae hakuna wanachoelewa kuhusu uanaume kutokana...
Habari za wakati huu wana Jf i hope mko salama kabisa na poleni kwa harakati za kila siku za utafutaji..
Wanaume wezangu hebu tuweke kambi kidogo kwenye uzi huu..
Hivi mchepuko unampa pesa,gari na kumjengea nyumba alafu yeye anakupa mapenzi tu....wazee hii biashara kichaa isiokuwa na faida ni...
Kuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
Mara nyingi watu huchanganya kati ya masimp na ma’gentlemen kwasababu ya ufahamu finyu wa hawa watu wanawakilisha haiba gani. Simps na gentlemen ni viumbe wawili tofauti ambao hawafanani hata kidogo katika nature ya matendo yao.
Zifuatazo ni tofauti kati ya simp na gentlemen na ni vema...
Hii imenishangaza sana, wanawake ndiyo wamekuwa wanapambana na CCM hadharani kwa njia mbali mbali kuliko wanaume.
Wanaume kinyume chake ndiyo wanaoongoza kuwatisha watu kuwa wakiipinga CCM watatekwa, watalawitiwa au kuuawa.
Nini kinaendelea kwenye hizi harakati za kuipinga CCM hadi wanaume...
Ndugu zangu.
Mahari iliwekwa kwaajili ya kulipia wasichana na siyo kulipia wanawake pindi unapotaka kuoa. Ila cha kushangaza utakuta wanaume wengi wa kikristo wanakomaa kulipia wanawake mahari badala ya kulipia wasicha(binti) huku wazazi wa wanawake hao wanakaza kichwa na kutamka mapesa makubwa...
Preamble: For the sake of humility and a long, healthy life, ni busara ndoa zikaangaliwa kwa pande mbili. Moja as perfect intimacy na mbili as disaster against humanity. Ukipata mwenza sahihi, heaven itahamia chini ya dari lenu. Ukikosea kupata mwenza sahihi hakika kuzimu itawafurahia sana na...
Brother, Umeoa mwanamke muwe team ya kuweza kuunganisha nguvu pamoja kutatua changamoto ikiwemo za kiuchumi, hivyo inabidi na yeye aweze kutengeneza thamani (Vaue creation)
Kuna baadhi ya wanaume bado wanaishi zama za kale, hawapendi kuona wake zao wamewachapa gepu kwenye maendeleo.
WHY ?
📖 Mathayo 5:27–28
"Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtamaniye mwanamke kwa kumtazama, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."
Swali langu, kwani wanawake wao hawatamani ??
Msinigombanie kama Mpira wa Kona sijasema Mimi na ukitaka kujua waliosema nenda Mtandao wa Bongo Mjini usikie.
Hivi mnadhani akina GENTAMYCINE ambao Kutwa tunachukia kutoka Vitambi kama vyenu hatujui kile tunachokiepuka?
Nakumbuka kuna demu niliwahi kuwa nae nilikuwaga namkubali sana nikijisemea hapa nimefika
katika kuishi nae sikuwa na mazoea ya kupekua wala kutumia simu yake ila niliwahi kuijua password yake, basi kuna siku alikuwa ameenda kuoga nikaifungua.
Aiseee !! Yule mwanamke ni kiungo mshambuliaji wa...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU),
Kyara, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anarejesha heshima ya wanaume ambayo imeonekana kupotea, kutokana na ukweli kwamba wengi wao siku hizi wanakwepa majukumu na kutegemea wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.