Swali langu, kwani wanawake wao hawatamani ??
Nyie mnatamani hela tu.Wanawake nao ni binadamu...wanatamani
Wanatamani kupelekewa moto au?🤣🤣
Ina maana hata wanawake nao huwa hawatutamani?📖 Mathayo 5:27–28
"Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtamaniye mwanamke kwa kumtazama, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."
Swali langu, kwani wanawake wao hawatamani ??
Yesu Kristo alisurubiwa kwa ajili ya nini ?Ndio
Hapo sasaKwani wanaume huwa wanatamani nini?
Ni maneno ya midomo yako ndio yanakupa msamahaDhambi za wanadamu, km nkutubu itkuwa kila siku mkuu
1. Uzinzi ni kitendo cha mwanandoa kufanya ngono na mtu asiye mke/mume wake.Tofauti ya uzinzi, uasherati na ukahaba ni ipi?
😀😀😀nakazia saaaanaHumu hata id mshazini nazo, peponi mtapasikia tu....