Haijulikani wanataka nini?

Haijulikani wanataka nini?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,061
Reaction score
7,742
Wapo waliowapa pesa Kisha wakawapakia mkongo na kayembe shentemba mpaka kufia kwenye vinena vyao na bado wakalizwa.

Wapo waliowahonga magari ,pesa kedekede na mauno ya lokasa ya mbongo na bado wakaachwa!.

Wapo waliochagua kuishi nao kwa akili km yasemavyo maandiko lakini mwisho wa Siku Wakawa vichaa wao..!!

Ni kwa huruma Yao pekee ndio unaweza kupata utulivu toka kwao na sio kwa fikra au ujanja wako..Usishindane na uliko toka , acha kabisa kupambana na mbunye!!
 
Wapi huko mkuu?!
 
The wealthy ask:
"How will this affect my grandchildren?"

Most people ask:
"What are we doing this weekend?"

Your future is shaped by the questions you ask yourself.
 
Ukisikia wuuwiii elewa nyundo ya utosi ishatua. Usishindane na mbunye mzee
 
Back
Top Bottom