wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Duniani kote kipindi cha uchaguzi wanasiasa huwa wanatafuta Booster za Viongozi wa dini /wasanii na wafanyabiashara

    Sio tu Tanzania Duniani kote huwa kikifika kipindi cha uchaguzi wanasiasa wanatafuta ukaribu sana na wasanii na viongozi wa kidini maana ni makundi yenye ushawishi kwenye Jamii. Wafanyabishara huwa wanatumika kama Donors ku sponsor kampeni za kisiasa kuongeza nguvu ya fedha , matajiri huwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Odero amesema ile kura moja aliyoipata ni ya mpiga kura, hata yeye hakujipigia Kura Uchaguzi CHADEMA

    Wakuu Mwanachama na aliyekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA, Odero Charles Odero amesema ile kura moja aliyoipata katika uchaguzi huo ni ya mpiga kura sio yake. Kwa maana hiyo hata yeye mwenyewe alishindwa kujipigia kura Soma, Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu...
  3. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Ahadi zinazotolewa hapa hata wanasiasa wakasome!

    Ebu tiririka uongo unaondondoshwa hapo! 😄😀
  4. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo mchafu, kuwa makini na wanasiasa

    Salamu JamiiForums Juzi wakati timu yangu pendwa ya Arsenal na Aston villa zikitoka Sare ya bao 2 Kwa 2 nikaona bora nihame sehemu ile na kwenda sehemu nyingine nikazugezuge na habari za siasa . Haswa ukizingatia chama cha Demokrasia na maendeleo kimechukua headlines nyingi Kwa kipindi hiki...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi wanasiasa wa CHADEMA wakihamia CHAUMMA leo, sheria inawaruhusu kuwa wagombea kupitia CHAUMMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Habari wadau! Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sheria ya uchaguzi ilifanyiwa mabadiliko enzi za Mwendazake lengo ni kudhibiti watu kuhamia vyama vingine uchaguzi unapokaribia. Kwa kumbukumbu zangu, kuna mdau ambao mwanachama anatakiwa awe mwanachama wa chama husika Kama kigezo cha kuruhusiwa...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wanapenda Ubuyu wa Kisiasa. Wanasiasa wanatumia udhaifu huo kuwanyonya

    Tumeingia kwenye mfumo wa 4-4-2. Vyama vyote ni mali ya serikali, serikali ni mali ya CCM.
  7. milele amina

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii

    Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii. Utangulizi: Hapa kuna ufafanuzi wa maswali yako: 1. Wanasiasa walisomea wapi kazi ya nishati safi? Wanasiasa wengi hawana ujuzi wa kitaaluma katika nishati safi, lakini...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wanasiasa wengine wana mengi ya kujifunza kutoka wa Dosa Azizi

    Nimeona mh Mbowe akitaja fadhila ambazo amemfadhili mh Tundu Lissu tangu walipokutana mwaka 1995 na kuamua kushirikiana naye katika harakati za kisiasa nchini. Wahenga wanasema, "tenda wema uende zako" na sio kusubiri fadhila. Mwl Nyerere aliwahi kupewa nyumba ya kuishi na marehemu Dosa Azizi...
  9. Logikos

    JamiiForums Tanzania Ni Heri wazungumziao Mipira kila siku (wanajadili wanachokijua) kuliko kufanya uchambuzi wa Mapatishi ya Wanasiasa...

    Kumekuwa na Kasumba ya watu kulalamika watanzania kila kukicha ni Kuongelea Mipira..., Tuwe wakweli sio Tanzania sehemu nyingi duniani hakuna watu kitaa wanaojadili Ideas..., kilichobaki ni kujadili Matukio..., Sasa hayo matukio ni Matukio gani tuyajadili? Blah blah zinazotemwa na wanasiasa...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kupanda Mlima Kilimanjaro mpaka kileleni Uhuru Peak

    Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini! Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025 Kwa maelezo zaidi nicheki...
  11. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Afrika kama bara tulishashindwa kujikomboa. Wanasiasa wanakimbilia mali na madaraka tu

    Ukweli ndio huo. Kama bara Africa ilishajifia. Viongozi wengi wa Africa wameishia kuwa madalali wa mali za Africa kuzipeleka kwa wazungu. Ni nadra kukuta kiongozi wa Africa mzalendo anayewazia nchi yake kufika mbali. Kwenye makaratasi wana hotuba tamu kuliko asali. Kwenye utekelezaji ni...
  12. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania wanaongeleaga kuhusu viwanda ila sijawahi wasikia wakiongelea na inteligensia ya kuvilinda viwanda

    Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na mikoa mingine kama Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Tanga na Morogoro, utakutana na similar story. Kwa...
  13. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Kenya na Kilimo wana inspirw sana ukiweka Siasa pembeni.Hawa wetu hadi wastafu ndio tuanze kuwaona shamba

    Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima. Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya. Kuna wakati Ruto alikuwa ana unda Balaza lake la kwanza la mwaziri sasa wakawa wanafanyiwa Vetting Bungeni kwa...
  14. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasiasa, Wananchi wanamtaka Rais Ruto kukemea na kukomesha Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Wakosoaji wake

    Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa watz wana uwezo mdogo sana huwa nashangaa mnapowakuza na kukubali wawe ndo decision makers wenu!

    Nchi zilizoendelea huwa zinakuaga na thinkers wao na wanalipwa kwa ajili ya hiyo Kazi. Ni Tanzania pekee utakuta vilaza waliofeli shule na walisoma masomo ya arts ya kukariri ndo wanafanya maamuzi ya nchi This is bullshit Sifikirii watu Leo wanawaza nani bora Kati ya mmoja aliyepa zero...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanganyika ni tamaa ya madaraka na wanakosa subra tofauti na Zanzibar

    Tamaa ya vyeo, mfuragano nakukosa subra ktk vyama vya siasa 1. NCCR 2. TLP 3. CUF bara 4. Hivi sasa chadema Siasa wanaona mchakato wa siku 1 , 2 au 3
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini wa wanasiasa bora 2024

    Mwisho wa mwaka huo unaelekea ukingoni. Leo tutaangalia baadhi ya wanasiasa waliojitahidi kuzingatia miiko ya siasa kwa kutanguliza maslahi ya raia (wananchi) mbele bila kuzingatia maslahi yao binafsi kwanza. Nchi ya Tanzania ina viongozi wengi wa siasa ila ni maskitiko makubwa kwamba wengi wao...
  18. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Nitajiie baahi ya Maneno ya wanasiasa yanayokukera!

    Aiseee....Mimi nachukizwa na neno kwa sasa tupo katika mchakato,au hili neno Vijana inabidi mkajiajiri msisubiri ajira serikalini!! Haya ni maneno yanayoumiza moyo wangu kwani ni maneno yasiyokuwa na akiba ya huruma kwa vijana pia kwa wapiga kura!Ongezea na wewe!
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa karibia wote ni wachawi. Makonda asibagazwe kwa kauli yake kuwa mama anarogwa sana.

    1. Zitto Zubery Kabwe alitamka bungeni kuwa atawageuza kuwa Nyenyere wale wote watakaothubutu kumfuata tuata. Hansard ipo mkasome. ZittoZubery Kabwe, mpk leo anaogopwa kama ukoma. 2. Propesa (siyo profesa) Maji Marefu (RIP) alitamka bungeni kuwa asilimia kubwa ya wabunge amewashika makalio...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa wanasiasa wakongwe Erythrocyte na Salary Slip wazua gumzo.

    Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani. Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao. Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja...
Back
Top Bottom