wanasiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

    CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lengo la maandamano liwe kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa viongozi wabovu na mafisadi siyo kubadili wanasiasa

    Watanzania huu siyo wakati wa kufanya maandamano ili kuuuweka upinzani madarakani ila ni kuondoa uongozi mbovu na wa kifisadi unaosababaisha maisha magumu kwa wananchi huku hao wachache wakifaidi keki ya nchi hii. Katiba na mengineyo itakuja baada ya nchi hii kuwa ktk mikono salama sivyo hata...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa tu atatunza amani ili Wanasiasa, Viongozi na familia zao waishi maisha ya ukwasi kwa Ufisadi wa pesa za Umma

    Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi. Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hoja: Mapambano kati ya kizazi cha zamani cha wanasiasa na kizazi kipya

    Wana JF, Kuna jambo linanitesa kichwani siku hizi: mapambano yasiyo rasmi kati ya kizazi cha zamani cha wanasiasa na kizazi kipya. Tukiri ukweli: Kizazi cha zamani cha wanasiasa (waliobeba urithi wa siasa za chama kimoja, mapinduzi, na siasa za ujamaa) kimejikita kwenye mfumo wa heshima...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa umma, wanasiasa na watendaji wa serikali wawabane watoto wao kutopost mali wanazomiliki

    Hawa vijana wadogo wanachofanya ni upuuzi. Wazazi wao wasiwachekee. Mtoto wa kiongozi wa umma kupost kabeba maburungutu ya pesa nyumbani sio sawa. Inaleta maswali mengi sana hasa nyakati hizi za uchaguzi. Tunajua viongozi sio maskini ila hili la watoto wao kupost mali na pesa hovyohovyo lina...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini idadi ya wanasiasa na wachumia tumbo watumiao dini imeongezeka?

    Kwanini tuna wachungaji, mashehe, wanasiasa na matapeli wengine kama hao barani Afrika kuliko mabara yaliyoendelea kiuchumi? Je, wingi wa makundi haya unatufundisha au kututahadharisha na nini? Kwanini Afrika ina makanisa mengi sambamba na watu maskini wengi? Kwanini nchi zilizoendelea zina...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wazalendo tumewajua uchaguzi huu!

    Wanasiasa wazalendo tumewajua uchaguzi huu! Wale wote wanaofanya vitu bila kijinufaisha wenyewe kama wakina Sugu, Popepole, Dr Gwajima, Lema, Lissu, Heche, Warioba na wengine wengi ambao wanapigania nchi na sio nafasi ndiyo wazalendo wa kweli kwa mawazo yangu. Lakini wale wote wanaonyanyasa...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Ahadi za Uongo za Wanasiasa kuelekea October 2025

    Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege anaelekea Ulaya, zile za utotoni? Mgombea Ubunge Moshi- Nitafufua viwanda vyote vilivyofilisiwa na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kupanda majukwaa ya kisiasa ni vita kama vita zingine, tuwaombee wanasiasa

    Salaam! Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia. Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Coaster Kibonde: Polepole anatuita wanasiasa uchwara kisa nimesema nitampa kazi Rais Samia

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde katika uzinduzi wa kampeni za kitaifa za chama hicho uliofanyika Septemba leo 02, 2025 Manzese Jijini Dar es Salaam amvaa vikali Humphrey Polepole kisa kauli yake ya akishinda Urais atampa kazi Rais...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Rost tamu anaweza kutangulizwa ili wanasiasa wa kundi lake wabaki salama. Lengo asije kutumika kuwataja siku moja huko mbeleni

    Huyu mtu ameshachafuka sana na ni hatari kwa kundi zima kwani kuna siku anaweza kutakiwa kuwataja wenzake katika kundi. Kwa msingi huo, mimi naona yuko hatarini kwasababu wanasiasa anaoshirikiananao wanaweza kumtanguliza ili kupoteza ushahidi kwani yeye kwa sasa ndio main suspect. Kama ana...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Simiyu; Wanasiasa wanaoeneza chuki kuchukuliwa hatua

    Serikali ya Mkoa wa Simiyu, imetoa onyo kwa wanasiasa wanaotumia majukwaa ya kampeni kutoa lugha za kichochezi, kueneza chuki na kuwagawa wananchi kwa misingi ya itikadi, kabila au dini, ikisisitiza kuwa haitasita kuchukua hatua kwa yeyote atakayevuruga amani ya mkoa huo na kwamba wananchi...
  13. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania wanasiasa wengi ni mabilionea wana ukwasi ambao hata Bakhressa na Mo wafanye biashara miaka miamoja hawawezi kuwafikia

    Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki . Ila wamechagua njia ya Ku-play low key . Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao. Hakikisha October Una-tiki√
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Miaka ijayo, watu maarufu watakua wanasiasa tu

    Social media zimeleta utaratibu mpya wa trending, trend yako ikiisha, umaaruf umeisha. Leo unaweza kua unajulikana mtaani kweny tu, kesho Tanzania nzima wakawa wanakuzungumzia. Jana zamu ya Piere liquid, asubuhi misomisondo, jioni dogo pattern. Nyimbo nazo hazidumu, ni ku trend kisha zinapotea...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini skendo za ufisadi tunawatupia wanasiasa pekee ila WATUMISHI na watendaji wa serikali tumewakalia kimya

    Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
  16. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nani katudanganya lazima nchi iongozwe na wanasiasa kwa mfumo wa vyama au wafalme au ma-chief?

    Kwa hasira sana natafakari ni kwanini tume block uwezo wetu wa kufikiri. Kwanini tuna kariri ni lazima tuwe na ma-vyama ya kichawa- chawa na wanasiasa- waongo waongo ndiyo watuongozee nchi yetu Sehemu nyingine wanakua na familia fulani inawatawala bila ukomo, ata kama hao watu ni ma-kenge au...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa eleweni I Adam na Eva walipokula tunda wakajikuta wako Uchi, siyo Uchi wa mnyama bali wa Kiroho ( dhamira)

    Hivi sasa Wanasiasa wetu walio wengi wamejikuta wako uchi mfano wapinzani imethibitika kuwa siyo Wapinzani ni kwamba wako uchi Covid 19 wanagombea kupitia ccm maana yake wamejikuta wako uchi kidhamira Nini kifanyike? Toba Sno muhimu sana Ahsanteni sana
  18. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ni akili za kijinga hao wanasiasa mnaowapigania wanaishi maisha makubwa , familia za zipo ulaya ila wewe unajitoa sadaka na kuacha watoto wako wadogo

    Niliwahi kuwaambia kuwa Chadema na Ccm hivi Vyama having uadui wowote Ila vina utofauti wa kimtazamo. Hawa sio maadui na hawajawahi kuwa maadui . Kitendo cha MTU kukubali kuuliwa ,kuteswa kisa CCM au chadema ni ukosefu wa akili. Mkija kuuelwa huu mchezo mtakuwa mshapoteza muda mrefu Sana ...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna siasa wala wanasiasa Tanzania wote ni mazuzu!!

    Kila mtu anapuyanga na upepo wake kama unavyoamka na bendera kufuata upepo,leo wako kwa polepole kesho kwa lisu mwisho wake maiti tu za kisiasa.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Wengi humu ni wanasiasa wa majitaka na chuki kwa watu kama Babalevo

    WaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu haya msiemtaka kaletwawa. Mjifunze kubakiza maneno wakati mwingine,Babalevo ni bora kuliko wote...
Back
Top Bottom