This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi
Afrika
1. Mali (2020, 2021) – Wananchi walipinga ufisadi na ukosefu wa usalama, wizi wa mali za Umma...
Je,
Chadema walikurupuka kuwatimua hazina hiyo muhimu ya viongozi wa wanawake wanaokubalika zaidi kwa wananchi na kuwaita wasaliti?
Maana iko wazi kwamba, wote waliojiunga na chama tawala na kupewa fursa ya kugombea nafasi ya ubunge, wanakubalika zaidi, wanaaminika zaidi kwa wananchi, na...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya 'Selfie' na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Agosti 30, 2025.
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6...
Mwanamke mmoja anayedhaniwa kuwa ni msukule amekamatwa mkoani Arusha, ndani ya duka la dada mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe
Mwanamke huyo alikutwa akiiba vitu mbalimbali, ikiwemo viatu na nguo, kitendo kilichowashangaza wateja na majirani waliokuwa karibu na eneo hilo
Mashuhuda wa...
Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama.
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka "...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameonya na kukemea tabia ya Watumishi na maafisa wa Serikali kuwafokea na kuwatokea kauli mbaya Wananchi pindi wanapohitaji huduma, huku akisema kuwa kufanya hivyo ni utovu wa Nidhamu na kwenda kinyume cha Misingi, taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma...
Wakuu!
Tupo kwenye joto la uchaguzi mkuu hapa nchini, na tumeona baadhi ya wagombea wakionyesha maisha ya kawaida kwa wananchi ni kama kujishusha na kuishi maisha ya hadhi ya chini.
Hata hivyo, je, wananchi wanawezaje kutofautisha kitendo halisi cha unyenyekevu cha mgombea na propaganda...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Namtumbo Dkt. Juma Zuberi HOMERA, Tarehe 26 Agosti, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025...
Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS
Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
Akizungumza leo Agosti 25,2025 kwa njia ya mtandao mbunge wa zamani wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Amesema, Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida.
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Kumekuwa na wimbi kubwa la washauri na wakosoaji wa masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali jambo ambalo linaloteteresha utangamano wa Kitaifa.
Tumeshuhudia Wazee ambao kwa kweli ushauri wao ni muhimu wakishauri kwa kukosoa au wakishauri vijana kukosoa pale wanapoona kuna ukakasi...
Kwa sasa wananchi hawana haki kwa jambo lolote kwenye siasa za Tanzania, hawana haki ya kujichagulia wawakilishi wanao wataka maana zoezi hilo lipo mikononi mwa watawala nadhani sasa hakuna haja ya kuleta majina huku ni kutupotezea muda na matumizi mabaya ya fedha muwe mnamaliza wenyewe huko...
Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi!
Kama serikali inafanya uhaini dhidi ya wananchi, kwanini wananchi nao wasifanye uhaini dhidi ya serikali ambayo...
Kwa mfumo wao wa NIDA asee unaweza usifike kituo cha kupiga kura lkn mfumo ukatick umepiga kura tena umechagua CCM kabisa
Yaani kura inajipiga automatically wewe ukiwa om afu utasikia 30 millon wamemchagua Samia then hiyo 7 million ni CHAUMMA na matawi mengine
Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote.
Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa...
Habari wakuu
Kuna suala la wananchi kukutana na kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali yanayotokea katika nchi upande wa siasa, jamii na uchumi.
Kwa wenzetu nchi jirani, wananchi wana maeneo maalum yametengwa maalum kwaajili ya shughuli ya kutoa maoni na ushauri ,mfano pale Nairobi (Jacaranda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.