wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Wananchi wachukua maamuzi magumu kuvunja chungu waliopora kibabe watoa Siku 7 wajisalimishe

    https://www.youtube.com/watch?v=F3Hn_d8HLas
  2. Roving Journalist

    Waziri Jumaa Aweso awataka Wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame. Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
  3. D

    KERO Tanzania ya sasa barabara ni mbovu hadi wananchi tunaogopa kusafiri

    Yani hii Tanzania sio kabisa ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tunateleza tu hutaamini barabara ni mbovu sana. Watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali ikibadilika, safari ya siku 3 itakuwa ya week. This is shameful, hatuna highway hata moja nzima, ni potholes...
  4. Nipe Maji

    PreGE2025 Ujenzi wa daraja la kipanda lawanufaisha wananchi wa vijiji vya namsinde na mfuto wilayani Momba

    Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya kata hiyo Myunga wilayani Momba mkoani Songwe. Akizungumza katika...
  5. D

    KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

    Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi, Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi...
  6. Mwanadiplomasia Mahiri

    Ni hatima ya askofu aliye upande wa wananchi dhidi ya utawala?

    Watu sisi ni mashahidi. Tunajua kinachoendelea. Askofu amegoma kuwa mnyonge. Ameamua kuendelea kuwa upande wa wananchi. Kwa vyovyote vile Utawala haujafurahishwa na hotuba ya leo pale kanisani. Nini hatma ya mzozo huu? Utawala utakubali kukaa kimya?
  7. ELI COHEN

    Wananchi wa Gaza ni ngumu kuiona nuru kwa maana wamezungukwa na watu wenye nguvu wenye kuwataka kuwaona wakiendelea kutaabika.

    Ukiwa mwepesi wa mihemuko na mbusu pete ya msimamo wa itikadi kali jibu lako litakuwa ni USA na ISRAEL ila kiukweli maudui wakuu wa Gaza ni: Qatar Iran Yemen Jordan Maana hawa ndio wanaofadika na misaada wanayopewa palestina huku wakitaka kuonesha dunia tabu ya palestina kwa kumchokoza...
  8. C

    Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM, hivyo wanaipenda kwa hofu na unafiki. Haipo mioyoni mwao kabisa na kupingana nayo ni kutafuta mauti

    Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Spika Tulia: Wabunge wamempa Rais Samia tuzo kwa niaba ya wananchi

    Wakuu Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii? "Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani" "Wabunge hawa...
  10. Just Pray

    PreGE2025 Wananchi kuutokea kijiwe cha Mwembe Yanga walalama 'Tuna matatizo mengi, wabunge wapo kimya, wabunge wa sasa wote waondoke'

    Wakuu Kutokea kijiwe cha Mwembe Yanga, Temeke - Dar es Salaam :- BanduBaba mdau kutokea kijiwe cha Mwenye Yanga akitoa mazito kuhusu viongozi walivyo sahau changamoto za wananchi
  11. Mhaya

    PreGE2025 Yani bado kwa Karne hii Mbunge Babu Tale Anagwa Vitenge Vya CCM Jimboni Kwake, Hii ni kukosa Sera za Kushawishi Wananchi

    Wananchi Wahoji Kama Karne hii Bado Watu Wanaongwa Vitenge Na Khanga Tazama video hii wananchi wakipewe Vitenge huko jimboni na babu TALE
  12. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
  13. M

    Kuna Baadhi wametumwa kuja kuangalia msimamo na mawazo ya wananchi, wala tusiwabeze, ndo kazi inayowaweka mjini.

    Mko salama wanajamvi? Niende moja kwa moja kwenye mada Kuna ndugu zetu humu, tunaweza kuwa tunawabeza, kuwatukana, kumbe maskini wa Mungu wametumwa kuangalia comments za wananchi. Ndo maana ukifatilia mada zao ni kuponda upande wa pili na kusifia tu CCM. Hata kama watu wanauwawa, wanatekwa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Chilo awasaidia wananchi wake Kukuna nazi na Kupeta Mchele

    Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu! Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
  15. Crocodiletooth

    Wananchi wanawajibu wa kuhudhuria mikutano ya vyama kwa ujumla wake!

    Ipo kauli ilitolewa na bw. Lema akitaka watanzania wasiende kuhudhuria mikutano ya baadhi ya vyama, napinga kauli ya bw. Lema kwa nguvu zote, watanzania wanao wajibu wa kuhudhuria mikutano yote ya vyama kwa wingi kabisa, ili waweze kubaini ni yupi au chama gani kitawafaa kwa sababu kura ni siri...
  16. GenuineMan

    Sisi Wananchi Wa Tanzania Tumeamua

    SEhemu ya maneno ya UTANGULIZI wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Inasema.... KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya UHURU, HAKI UDUGU na AMANIi: NA KWA KUWA misingi hiyo yaweza tu...
  17. chiembe

    Itakuwa tukio la kukumbukwa pale ma-captain wa vivuko vya Kigongo Busisi watakapopanga foleni kuwaaga wananchi waliowahudumia kwa miaka zaidi ya 50

    Moja kati ya matukio muhimu ambalo nataraji litapewa nafasi, ni kwa hawa manahodha wa vivuko kuandaa kama ki-parade hivi, wakiwa na mavazi yao meupe, kofia zao, huku wakipunga bendera ya taifa kuashiria kwamba wamekamilisha kazi yao ya kishujaa kwa uaminifu na uzalendo mkubwa, na sasa wanawaaga...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Ado Shaibu: Sitaacha kuhamasisha wezi wa kura washughulikiwe na wananchi

    Wakuu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa ataendelea kuhamasisha bila hofu wananchi wawashughulikie wezi wa kura kama wanavyowashughulikia wezi wengine kwenye jamii ili haki ya wananchi kuchagua viongozi wanaowataka iheshimiwe.
  19. Mzee wa Code

    PreGE2025 Tulia Ackson awaruka wabunge, asema baadhi ya kauli zilizotolewa kwenye Mjadala wa Wizara ya Mambo ya Ndani si msimamo wa Bunge

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson, amesema kuwa maoni yaliyotolewa na baadhi ya wabunge wakati wa mjadala wa bajeti za Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, hayawakilishi msimamo rasmi wa BUNGE Aidha, Spika Tulia amesema maoni hayo yalionesha viashiria vya ukiukwaji wa Kanuni za...
Back
Top Bottom