This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma stahiki, Serikali imewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanasimamia ipasavyo mapato ya ndani na kushughulikia changamoto za wananchi katika maeneo yao
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro,Kiseo Yusuph...
Akizungumza Julai 26, 2025 katika hafla ya kuongoza dua maalum kwa ajili ya kumuombea heri na ulinzi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu,aliyeko rumande kwa tuhuma za uhaini na uchochezi, Sheikh Kaniki alieleza kile wanachokisimamia CHADEMA ni ridhaa kutoka kwa wananchi.
Alisema "Chadema...
Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao.
Pia ameeleza kuwa ajenda ya kikao hicho ni Marekebisho ya Katiba ya Chama hicho ila najiuliza kama...
Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba hatuna akili za kupambanua nani anafaa kutuongoza. Hivi kwanini kura yangu – kura yako – iwe treated...
Mikopo ya 10% 👇🏽
Chini ya Rais Samia Mikopo ya 10% kwa vijana, wanawake na walemavu Arusha imeongezeka kutoka TZS 3.08bn (2021) hadi TZS 13.55bn (2025), ikinufaisha zaidi ya vikundi 1,380 na kuinua maisha yao kiuchumi.
Arusha OKTOBA Tunatiki ✅
Wakuu mpo vizuri?
Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi.
Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
Jina la Alex Mwita Msama halihitaji utambulisho wa makelele mengi.
Alex Msama ameweka alama na nembo isiyofutika katika jamii ya Watanzania. Ameibua , kukuza na kuendeleza vipaji vya wengi kupitia muziki wa Injili.
Kwa miaka mingi, Alex Msama amekuwa kielelezo na mfano hai katika kumtumikia...
Makalla: Mashinikizo ya watia nia kupitishwa, chama kitafanya uteuzi na wanachama watapewa taarifa. Mpaka sasa hakuna aliyekatwa au kufyekwa.
"Kwamba kila kata waje waamke waseme tunamtaka mtu fulani, tunamtaka mtu fulani, tunamtaka mtu fulani. Ndiyo maana wakati ule wa kuchukua fomu tulisema...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
act
haki
haki ya kupiga kura
kupiga
kupiga kura
kura
maalum
mpango
tume
tume ya uchaguzi
tume ya uchaguzi zanzibar
uchaguzi
uchaguzi zanzibar
wananchi
wengi
zanzibar
Ni kweli nataka kuanza na sisi wananchi, njoo mtaani uone reaction ya watu kuhusu utekaji , wanadhani watu wa usalama wapo Kila kona mtaani , hivyo raia wengi wamekuwa waoga kuongea ,na ukiuliza chochote watatuambia Mimi sitaki kuongea kitu unataka nitekwe, maofisini pia watu wamekuwa waoga...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji-28 kufanya kazi Usiku na Mchana ndani ya Kipindi cha Mwezi Julai na Agosti, akiagiza wananchi wa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge mkoani Tabora kuanza kupata huduma ya Maji Mwezi Oktoba mwaka huu.
Wakati wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wakati alipokuwa Bungeni mishahara ya Wabunge ilikuwa Tsh. Milioni 4 (take home) na nyongeza ya Posho ya Jimbo Tsh. Milioni 8 kwa mwezi lakini kwasasa jumla Mbunge analipwa zaidi ya Tsh. Milioni 18 kila mwezi na ndio maana hawataki kuweka wazi...
Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
jamiicheck
kufanya maamuzi
serikali za mitaa
serikali za mitaa 2024
taarifa potoshi
taarifa sahihi
uchaguzi
upotoshaji
upotoshaji 2024
vyama vya upinzani
wananchi
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria.
Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe.
Watanzania tujipongeze sana. Lazima CCM watambue sisi sio mafala tena.
No Reform No Election ✊️ ✌️
Licha ya Sheria ya Mazingira, 2004 kukataza upigaji wa kelele unaosababisha kero kwa Wananchi, bado suala hilo limekuwa kero katika maeneo mbalimbali nchini.
Sheria hiyo kifungu cha 3 inatafsiri kuwa kelele ni kila uchafu zi usababishwao na sauti ambayo kwa asili inakataliwa au ile iwezayo...
Tumeona mara kadhaa Rais akikataa Wabunge fulani fulani wasipitishwe, kauli maarufu ni hile ya msiniletee Magwajima.
Wananchi hawana tena uamuzi kwa kuchagua kiongozi wanayemtaka zaidi ya mamlaka kupanga nani awe mbunge, serikali kuu inaingilia maamuzi ya muimili mwingine ambao ni bunge...
Hilo ni jukumu ambalo wananchi kutoka kata na majimbo yote wameikabidhi CCM kuhakikisha kuwa viongozi wenye tija,weledi,hofu ya Mungu na kaliba inayofanania wanapitishwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi huu wa 2025.
Tuwape haki hii!!Tunajionea wanavyojitokeza kusema!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.