wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa kitaifa

    Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa wa kitaifa Sisi wanajamii, kwa huzuni kubwa na moyo mzitotunatambua matukio ya kusikitisha yaliyojitokeza Tanzania, ambapo mauaji ya kikatili yamepoteza maisha ya watu 3000 wasiokuwa na hatia. Tunatangaza kuwa sisi wanajamii tutakuwa na siku 3 za...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  3. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hivi Wananchi hawawezi kuunda serikali mbadala ya kitaifa?

    Embu tufundishane sheria zinasemaje. Ikitokea wananchi wakasema wanaunda "serikali mbadala" ya kitaifa yenye ngazi kuanzia Mwenyekiti au Rais hadi ngazi ya mtaa. Wakatafutwa viongozi wa kuunda serikali hiyo kwa njia watakayoona inafaa kwa ajili ya kuwaletea maendeleo yao. Hata vyama vya siasa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29

    Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta Kwa hali hii...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaokota Risasi huko mtaani zilizochukua uhai wa mamia ya Watanzania

    Wananchi wanaokota Risasi huko mtaani zilizochukua uhai wa mamia ya Watanzania
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali: Kuanzia kesho Novemba 4, 2025 Wananchi waendelee na shughuli zao za kawaida

    Serikali kupitia msemaji wake, Gerson Msigwa, imethibitisha kuwa kuanzia kesho Novemba 4, 2025, Watanzania wataendelea na shughuli zao kama kawaida.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Day 4: Wananchi Geita waendelea na maandamano

    Hii ni jioni ya leo, Novemba 01, 2025. Pamoja na matokeo kutangazwa, wananchi hawaonekani kuridhika
  8. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Bunda wameandamana kupinga utekaji, kudai tume huru n.k

    Huko Bunda? Mkoani Mara; wananchi hawakuwa nyuma.
  9. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maji ya DAWASCO yanatiwa sumu kudhoofisha afya ya wananchi Dsm

    Kuna tetesi za kuwawekea sumu wananchi kupitia mabomba ya maji kuanzia kesho, Nimepokea hii taarifa kutoka kwa ndugu zangu walio Magomeni. Na watu wengine wanne tofauti, kwakuwa ni jambo linalohusiana na afya ya watu Tunaomba liangaliwe kwa upana zaidi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Arusha wakichoma kituo kikuu cha majumuisho ya kura

  11. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Arusha wazichoma ofisi za CCM Mianzini

    Ikumbukwe, MADAI YA WAANDAMANAJI ni: 1. Uchaguzi 2025 ufutwe 2. Katiba Mpya 3. Tume Huru ya Uchaguzi 4. Waliotekwa waachiliwe huru 4. Kesi za kubambikia watu zifutwe
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Day 3: Hatimaye Polisi Mafinga watii Amri ya Wananchi, Waachilia wote waliokamatwa kwenye maandamano

    Polisi wa Mafinga wameamliwa kutii amri ya raia kutoa watu wote walioshikiliwa kwasababu ya Maandamano watolewe na wamewatoa wote. MADAI YA WAANDAMANAJI. 1. Uchaguzi ufutwe, 2. Tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi 3. Waliotekwa waachiliwe huru, 4. Kesi za mchongo zifutwe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Mafinga (Iringa) waandamana kupinga kinachoendelea nchini

    Hali iko hivi huko Mafinga. Wananchi wamejitokeza kushiriki maandamano
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kosa watalolifanya wakuu wa Jeshi la Wananchi

    Wakuu habari. Nimewaza na kuona kuwa kosa atakalo fanya kwanza CDF na wakuu wengine wa jeshi la wananchi ni kutotumia nafasi hii kuwakomboa watanzania kutoka kwenye uongozi usiofata sheria na wenye wizi wa kura nk. Kwani tujikumbushe jinsi Mkuu wetu MABEYO alivyosimama kuhakikisha Samia anakuwa...
  15. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Mkunda ametuita wananchi “waharifu”: Hii si sawa

    Busara ingetumika na kuchagua maneno ya kutumia hapa. Kuwaita wananchi wanaodai haki zao za msingi ati ni waharifu wakati huo huo wamekuwa wakitekwa na kufanyiwa unyama mbaya sana. Hii si kauli ya kutoka kwa kiongozi mkubwa namna hii.
  16. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 CDF Mkunda: Wanaofanya vitendo vya kihalifu waache mara moja na wananchi endeleeni kuwa watulivu

    Ametoa agizo kupitia TBC, ITV. Video:
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Kigamboni wameungana na Wananchi wa Kimara kuwatia moyo

    Salaam, Nimefarijika sana.. Maandamano ya leo yalijaa wana wa Jeshi. Sio Polisi wote wabaya. Wanne wametoka Kigamboni, Askari Magereza Wawili wametoka Mbezi beach, Wanajeshi Watatu wametoka Goba. Tumekinukisha balaa. Leo baada ya night shift, tutahakikisha tunaenda maandamano yalipo...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Dodoma tumeni salamu hapo Bungeni na Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Wananchi wa Dodoma, ccm wamelitumia sana hilo jengo kupitisha sheria mbovu za kidhalimu zilizotukandamiza wananchi vibaya sana. Tunawaomba mliopo Dodoma, katumeni salamu hapo Bungeni na kwenye jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi. Jeshi likichukua nchi tutawaomba tangazo la kwanza liwe ccm ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sirari, Musoma: Wananchi waendelea na maandamano (Oktoba 30, 2025)

    Hali ipo hivi mpakani mwa Tanzania na Kenya (Sirari)
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kyela: Wananchi wavunja stoo ya TRA na kuchukua mali zao zilizokuwa zimechukuliwa

    Wananchi Kyela wamevunjaa stoo ya TRA na kuchukua mali zao kuna pikipiki zilikamatwa sasa wanatoa tu mali wanatembea nazo.
Back
Top Bottom