wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    GE2025 Hamisi Kigwangalla abebwa juu juu na wananchi wa Nzega vijijini

    Kupitia ukurasa wa akaunti yake ya Instagram mtia nia wa jimbo la Nzega vijijini ameandika haya "Kupitia Kazi Inayoongea! “kuna watu mtakuja mtasema maneno mengi sana Kwa sababu zenu mbali mbali; lakini muwe na uhakika pia kujua na kusema kuwa si rahisi kufikia hapa, I put in the work in this...
  2. DuaZaMama

    GE2025 Makoyi azomewa na wananchi wa kata ya Mabogini

    Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri anayemaliza Muda wake Morris Makoyi amejikuta akizomewa na wananchi wa Kata ya Mabogini katika zoezi la Kujinadi lililomalizika jana Jioni Chanzo: Bongo 5
  3. W

    GE2025 David Komba: Wananchi wa Isimani tumpeleke mzee watu akapumzike

    Mtia nia Ubunge wa Jimbo la Isimani mkoani Iringa David Komba amesema toka amezaliwa mpaka amemaliza kusoma Mbunge wa Jimbo hilo amekuwa ni mmoja tu ambapo amesema umefika wakati wa kufanya mabadiliko na kumpumzisha Mbunge huyo.
  4. McLaren

    GE2025 Video: Kisesa kumenoga! Wananchi wajikusanya kupinga Mpina kutoteuliwa nafasi ya Ubunge ya CCM

    Wakuu, Hawa wananchi wamejikusanya kupinga kitendo cha CCM kumkata jina aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kisesa kukatwa na chama hicho kwenyew mchakato wa Ubunge. Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025
  5. McLaren

    GE2025 Video: Wananchi wambeba juu juu Kigwangala alipofika jimboni kwake. Hizi kama sio drama ni nini?

    Wakuu, Hivi ni lini sasa wanasiasa wa Kibongo watafahamu kwamba hizi drama zao tunazijua na kwamba zimeshapitwa na wakati Mimi binafsi sijawahi kuona nchi zilizoendelea kama Marekani mwanasiasa anabebwa kama hivi. Kwanini hizi drama za wanasiasa kutaka kuonekana wanapendwa zinakuwa huku kwa...
  6. K

    GE2025 Kazi za Lukuvi Jimboni zambeba Wananchi wa Ismani, wasema "Wanatiki Kwa William Lukuvi ”

    Wananchi wa Jimbo la Ismani mkoani Iringa wameonesha wazi imani yao kwa aliyekuwa mbunge wao kwa miaka kadhaa, William Vangimembe Lukuvi, wakisema kuwa licha ya kuwepo kwa wagombea wengine waliopitishwa katika mchakato wa kura za maoni, bado chaguo lao linaelekea kwa Lukuvi kutokana na kazi...
  7. R

    GE2025 Baba Levo: Ukilitaja Jina la Rais Samia wananchi wa Kigoma Mjini wanafurahia, wanajisikia raha sana

    Mtia nia nafasi ya Ubenge Kigoma Mjini kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando almaarufu kama Baba Levo amesema wananchi wa Kigoma Mjini wanajisikia raha sana linapotajwa jina la Rais Samia kwani kuna vitu vingi amewafanyia wananchi hao na kusema kuwa yupo tayari kumsemea kwa mambo...
  8. Wasomba

    Serikali irudishe baadhi ya maeneo ya bonde la mto Kilombero kwa wananchi kuwanasuru wananchi hao na wimbi la umasikini.

    Hali ilivyo katika maeneo mengi ya bonde la Kilombero ni ya kusikitisha sana. Maeneo karibia yote yaliyokuwa yakitumika kwa shughuli za kilimo yamechukuliwa na serikali kwa kigezo cha kuhifadhi ardhi oevu na pia kuhakikisha mradi wa umeme wa bwawa la mwalimiu Nyerere una sustainability...
  9. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Eng. Godwin Kamala aja na vipaumbele vitatu kwa wananchi wa jimbo la Kawe, Dar es salaam

    ENG. GODWIN KAMALA AJA NA VIPAUMBELE VITATU KWA WANANCHI WA JIMBO LA KAWE, DAR ES SALAAM Mhandisi Godwin John Kamala ambaye aliteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwa Mgombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam ameendelea kunadi sera zake kwa Wajumbe wa Kata Aidha...
  10. T

    MWAUWASA Mnamuangusha rais – wananchi wa Mwanza tunasema imetosha!

    Baada ya Mheshimiwa Rais kuzindua mradi mkubwa wa maji jijini Mwanza, wananchi tuliamini kuwa adha ya maji ilikuwa imefikia mwisho. Lakini hali ya sasa ni aibu kwa taifa na mateso kwa wananchi. UKWELI TUNAUJUA NA TUNAUISHI: Maji hakuna kabisa katika maeneo kama Nyegezi, Buhongwa, Butimba...
  11. DuaZaMama

    GE2025 Wananchi Kongwa wameendelea kumbana aliyewahi kuwa spika Job Ndugai

    Wananchi wa jimbo la Kongwa mkoani dodoma wameendelea kumbada kwa maswali mazito, Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, ambaye ni Mtia Nia wa Ubunge jimbo la Kongwa mkoani Dodoma akijinadi mbele ya Wajumbe kuomba kura. Chanzo: Jambo Tv
  12. Just Pray

    GE2025 Mwenyekiti INEC: Si kweli kwamba wananchi hawaiamini tume ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jacobs Mwambegele, amepinga madai kuwa wananchi na vyama vya siasa hawana imani na tume hiyo, akisisitiza kuwa wadau wote muhimu wanashirikishwa kikamilifu katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Akijibu swali la mwandishi...
  13. McLaren

    GE2025 Video: Wananchi wa Butiama wamzomea Jumanne Sagini wakati anaomba kura za maoni. Hawataki hata kumsikia

    Wakuu, Yaani wananchi hawana mchezo sasa hivi wanaruka na kila mtu. Leo wameruka na Sagini Haijalishi wewe ni Waziri au Mbunge lakini wanaruka na wewe na hapa ni kwenye kura za maoni tu tunasubiri kuona kwenye kampeni itakuwaje.
  14. R

    Nchi zinazolipa wananchi kuzaa watoto

    Serikali ya China hivi karibuni ilizindua mpango mpya wa kutoa malipo ya kifedha kwa familia zinazojifungua watoto, ikiwa ni jitihada za kupambana na kupungua kwa kasi kwa viwango vya uzazi. Kupitia mpango huo, familia zitapokea takribani dola 500 kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka...
  15. Pdidy

    Mliolipwa kipunguni msidanganyike kulipa wakili yoyote

    Hongereni mliolipwa kipunguni Mda ukifika na nyie mliobakia endeleen kumwamini Mungu Kifupi tu kumezuka fomu za ajabu ajabu zikisambazwa na Wajumbe mtoee 1.3mil kila anaelipwa Naomba kuwajulisha msijibu huo upuuzi wala kujadiliana nao n utapeli cheni yake n ndefu kwa wajinga mtajaa kwa...
  16. Just Pray

    GE2025 Wananchi wa Muze, Sumbawanga wazuia msafara wa CCM kupinga uteuzi wa mgombea

    Wananchi wa Kijiji cha Muze, Kata ya Muze, katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Vijijini mkoani Rukwa, wamezuia msafara wa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa wilaya hiyo wakilalamikia mchakato wa uteuzi wa majina ya wagombea wa udiwani katika kata hiyo. Tukio hilo limetokea baada ya...
  17. Pfizer

    Wizara: Tanzania ipo tayari Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde

    Tanzania imesesema ipo tayari kwa ajili ya Kuwezesha Wananchi kunufaika na fursa za akili unde ikiwemo kuwa na mifumo ,pamoja na miundombinu itakayo linda faragha na usalama wa taarifa binafsi wakati wa matumizi ya akili unde. Akizungumza kwa niaba ya serikali ya tanzania katika jukwaa la...
  18. cacutee

    GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

    Mwazahumua wedi wagosi wa JF wabwanga na watate? Mwahumuaze wandee wose na va mame? Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima. ✍️ ooh tatenaneee wabwanga tushikamane Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja. Tutaona mengi huu mwaka Ndio kwanza...
  19. M

    GE2025 Chato: Wananchi wafurahia jina la Dotto James Ngosha kukatwa. Colnell Magembe apigiwa chapuo

    Ndoshi, alena kishimbhe, alena thuja Kila kona wamefurahi kuanzia stendi ya zamani mpaka vijijini huko Bukamila Ilemela na kwingine kote. Alipokuwa katibu wizara ya Fedha alidharau sana watu Colnell Magembe huenda akawa Mbunge wa Chato. Source: Phone caller
  20. R

    Watendaji waaswa kutatua kero za Wananchi

    Katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma stahiki, Serikali imewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanasimamia ipasavyo mapato ya ndani na kushughulikia changamoto za wananchi katika maeneo yao Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro,Kiseo Yusuph...
Back
Top Bottom