wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu

    Kuanzia #D9 Wananchi tunapaswa kugoma kulipa kodi hatuwezi kufadhili wauwaji na mafisadi wanunue siraha kutuuwa kwa kodi zetu. Tunalipaje kodi ili zituletee maendeleo kama mnauwa watu. Kataa wahuni !
  2. JamiiForums Tanzania POTOSHI Golugwa amesema wananchi wamepiga kelele wanataka waruhusiwe kulima bangi?

  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mumeweka PM anayejitetea mwenyewe badala ya Wananchi? Hadi sasa hatuelewi yuko kwa ajili ya nini

    PM - Waziri mkuu ndio dila ya serikali, ndie anasimamia shughuli zote za serikali. Tunachokiona huku uraiani ni kwamba, kuchomwa moto kwa Ester kumemvuruga sana, Japo yeye ameyakana PM anajitetea sana kuliko uharisia. Wananchi hatujui nani wa kututoa hapa tulipo. Sisi wananchi hatujui dila ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu 125 wana utajiri wa wananchi milioni 42

    Almost half of Kenya’s population lives in extreme poverty – on less than Ksh.130 per day – a new Oxfam Kenya report reveals. The report also shows that Kenya’s richest 125 people own more wealth than 42.6 million people, amidst deepening poverty levels. A report named Kenya’s Inequality...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali na wananchi tunapataje kupona ? Kutoka tena kwenye umwagaji damu na majanga yote

    Kwa ufupi serikali na watu wote inabidi waishi kwa upendo na amani na kubwa zaid wajue sasa hivi kuna mamlaka kubwa kuliko mamlaka zote duniani mfalme wa wafalme Serikali ya Tanzania ina ubalozi wake nigeria kwa kujua hilo mbona mnashindwa kwenda kupata suluhisho ya haya kwa mamlaka kuuu...
  6. 4

    JamiiForums Tanzania Serikali ambao mmejiapisha jua wananchi hamjamalizana nao

    Hizi jitiahada zenu ,za kutaka kufanya biashara iwe ya kila siku kwamba maumivu ya tz yatakua ya siku zote ,this time haiwezekani wakuu, mwafaa alisema JPM . The only solution nikiwa na serikari ya mpito isiyo zidi mwaka mmoja na iwe chini ya aliekuwa waziri mkuu , Mzee Warioba ,nyie wana...
  7. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kumpa kura za kishindo?

    Miaka yote tumezoea kuona Rais anayeshinda kiti cha urais akizunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura za ushindi. Safari hii, licha ya Rais Samia kushinda kwa kishindo (98%) na kujinyakulia karibu viti vyote vya ubunge, amekuwa mzito sana kuwazungukia wananchi na kuwashukuru kwa...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii propaganda ya Watu wanalipwa kuharibu amani ya nchi ni Kuwafanya wananchi kwamba Hawajui haki zao, ni mazuzu?

    Ukiacha hii Propaganda za watu wanalipwa kuaribu amani ya nchi ni propaganda ambayo sasa imezoleka kwa wananchi ambayo utumiwa na viongozi ukwepa kuwajibika au kuwajibishwa kwenye makosa yao...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi jeshi ni la CCM au la wananchi ?

    Kuna video fulani nimeona uko instagram limenipa maswali kweli Mwanajeshi ana simama kuimba nyimbo ya kumsifia rais na kumfurahisha kweli 🤣🤣🤣 hizi ni dharau hata jeshi la Burundi haliwezi kufanya upumbavu wa namna hii Katika nchi hii tunahitaji revolution kwa aina yeyote ile kuondoa hawa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi pekee wananchi hupenda kuwaona watoto wa marais hawaendelei

    Huwezi amini kuna mahala nipo sasa hivi naambiwa waziri mstaafu wa kilimo kwa KUSHRIKIANA na Mtoto pendwa Abdul wananunua CHOROKO🤣😂 NAKUMBUKA enzi za Jakaya tuliambiwa Rizi ndo mmiliki wa masheli mengi Tanzania nakumbuka mpaka alijitokeza kukanusha. Sasa tunaambiwa masheli yamehamia kwa Abdul...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Msigwa, Serikali inaumizwa na CNN kuweka HABARI za Mauaji, ila Serikali Haiumizwi na Mauaji iliyoyafanya Kwa Wananchi

    Mnaendelea kutupa sababu za Maandamano DEC 9 , tutatoka!!
  15. JamiiForums Tanzania G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

    Naomba tuijadili hii mada bila mihemuko wala uchawa. Tumeona maelfu ya wananchi wameuwa, na inasemekana kuna hadi wanajeshi wameuawa na polisi, hii yote ni kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu. Sasa swali la msingi ni hili; hivi jeshi lipo kwa ajili ya kumlinda rais au wananchi.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyotokana na ridhaa ya wananchi ni hatari kwa Usalama wa Taifa

    Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia madaraka bila ridhaa ya wananchi. Idadi ya walipiga kura ni feki, idadi ya kura zilizotangazwa ni feki...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi umepita, tujikite kwenye hoja za kusaidia wananchi

    Hakuna mwanasiasa anayesapoti mauaji na wala hatotokea ,wote watakana kuhusika ...it is done! Kamwe usijiingize kwenye vurugu na kamwe usifikiri kutumia nguvu kufanikisha jambo lako unless una nguvu ya ziada. sasa tujenge Taifa na tukutane 2030
  19. JamiiForums Tanzania Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

    Jeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9 msiogope tutashinda hii vita.
  20. JamiiForums Tanzania Jumuiya za kimataifa haziwezi kufanya chochote dhidi ya serikali dhalimu zaidi ya matamko na vikwazo ambavyo madhara yanarudi kwa Wananchi

    Moja kwa moja. Kiuhalisia umoja wa mataifa na Jumuiya nyingine za kimataifa hakuna la maana wanalofanya katika kuwasaidia Wananchi wa kawaida katika mateso na manyanyaso kutoka kwa serikali zao na viongozi dhalimu . Mifano ipo mingi sana ila nimeweka michache hapo chini 👇⬇️ 1. Iraq chini ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…