wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Nyegezi, Mwanza wananchi wanalia na mgo wa maji! Ndugu zangu Afrika ni laana

    Hivi kipaumbele cha nchi ni kipi? ni Afya? ni Elimu? ni nini hasa? Mwanza unashuka kwenye Feli kutoka ziwa viktoria tayari upo katikati ya jjiji! Mwanza wanalia mgao wa maji? Sio siri jamani sisiemu nchi imewashinda mkubali tuu
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi wanayo haki ya kumpindua samia wanapo kunyima kazi unatakiwa hujiuzuru hii ni nchi ya kidemokrasia wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho

    Wananchi wanayo haki ya kumpindua samia wanapo kunyima kazi unatakiwa hujiuzuru hii ni nchi ya kidemokrasia wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho. Wananchi ndio wanauwezo wa kumpa kazi mtu yoyote awe rais na ndio wana uwezo wa kutengua raisi sasa kama wakimkataa ataongoza wakina nani ? D25...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Maelezo Yaliyotolewa na Malisa Ni Ya Uongo Na Uzushi Mkubwa. Wananchi Puuzeni Taarifa Hizo. Hali ya Usalama ni Shwari Kabisa

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  4. JamiiForums Tanzania Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
  5. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Fedha si za serikali ni za wananchi

    "Duniani kote hakuna fedha inayoitwa ya serikali; serikali ni mratibu tu. Miundombinu yote inayojengwa ni fedha yenu [wananchi], iwe imekusanywa siku hiyo hiyo au iwe ya mkopo." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mkoa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndio akili za wananchi wanaotaka mabadiliko?

    Hapo si kujichotea tuu aisee, ni kama tuu shamba la urithi ukiishiwa unakata kipande 20*20 unauza, ndugu hawana noma.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Thomas Sankara: Rasilimali za nchi zinapaswa kuwanufaisha wananchi wote, si kuwatajirisha wachache

    Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi na Rais wa Burkina Faso kutoka 1983 hadi 1987, alitoa kauli hii kama sehemu ya maono yake ya taifa linalojitegemea na lenye usawa. Serikali yake ilitekeleza sera nyingi zinazolenga kupambana na ufisadi, kukuza ustawi wa jamii, na kuhakikisha kuwa...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyojali matatizo ya wananchi wake, isitegemee kulipwa Uzalendo. Hiyo ni principle asili ya maisha

    Wananchi zaidi ya elfu 10 wamekufa serikali kama mzazi ilitakiwa kuwa karibu na wananchi wake angalau kuwafariji hata kinafiki tu, badala yake inawakejeri na kuwafungulia kesi za uhaini. OK, if that is the case, hatutaki kusia vilio na wala kuwalaumu wananchi kuwa sio wazalendo, pindi...
  9. JamiiForums Tanzania Ndani ya siku sita hivi kuna taarifa nzuri wananchi watapata ,ila itakuwa kilio upande wa pili, japo kilio cha kinafki.

    Sina maneno mengi. Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6. Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi waTanganyika hasa mitandaoni wanawaona JWTZ kama WASALITI?

    Utaona hilo kwenye comments walizotoa kwenye picha zilizopostiwa jana wakati rais Samia anazungumza na wakuu wa Kamandi na viongozi wengine wa jeshi. Why? Je, wananchi wamepoteza imani na jeshi lao lililokuwa tegemeo kwenye maandamano ya Mo29 au D9?
  11. JamiiForums Tanzania Umeingiza Mercenaries kuua Wananchi, umewazika kwenye makabuli ya halaiki halafu unajificha kwenye kichaka eti Jeshi lisishawishiwe kisiasa?

    Siku chache zilizopita akiwa anahojiwa na Waandishi wa Habari, Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema wazi kuwa kutokana na mwenendo mbovu wa Viongozi wa kisiasa barani Afrika hatoshangaa Mapinduzi ya kijeshi kuendelea kutokea katika Nchi za kiafrika. Jana akiwa anahutubia Makamanda wa JWTZ, Samia...
  12. JamiiForums Tanzania Sauti ya Wananchi inapogeuka kuwa Dhoruba

    My people, Utangulizi Maandamano ni mojawapo ya njia kuu ambazo wananchi hutumia kueleza maoni yao, kudai haki, au kupinga maamuzi ya serikali. Kihistoria, maandamano yamechangia mabadiliko chanya katika jamii nyingi. Hata hivyo, kuna nyakati ambapo maandamano, badala ya kuwa daraja la suluhu...
  13. JamiiForums Tanzania Ila ndugu zetu serikali muangalie jamani, muwajengee DAWASA jengo la bilioni 48, ila wananchi wa Dar wachote maji kwenye madimbwi kweli?

    Embu muangalie waungwana...Kuna vitu vingine hata MABEBERU watakua wanatucheka na kutudharau sana na kutuita we are so poor.. Kuna vitu jamani mbona vinafanyika tukiamua? Haya basi mnakula mapesa ila tukumbukeni na wananchi , tunakosa hata maji ya kutawaza, wakati mwingine mtu unabana mavi mda...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpoki: Suala la wasanii na wananchi ni kama mpangaji na mwenye nyumba, wasanii sikilizeni wananchi

    " ukifuatilia sana hili sakata la wasanii na wananchi kwanza huwezi kugombana na mwenye nyumba, wewe msanii ni mpangaji na mwananchi ni mwenye nyumba. Alafu hata sisi watu wazima tunakuambia unaanza kulamaba uzi ndo upitishe kwenye tundu haulambi tundu ndo upitishe kwenye uzi na kuna muda hata...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hufurahia vifo vya viongozi wao au watawala wao?

    Msiba wa binadamu ni jambo la kuhuzunisha na kusikitisha hata kama aliefariki humjui. Kwanini? Kwasababu binadamu tofauti na viumbe wengine tumepewa upeo wa kuona uzito wa kuondokewa na binadamu mwenzetu, imefikia hatua hata baadhi ya watu wakiona msiba unapita karibu yao basi husimama hii ni...
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi wanalaumu kuhusiana na kauli ya dharau iliyotolewa na Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz, Jux na Marioo na siyo masuala ya kisiasa

    Ni makosa makubwa kuwashutumu Wananchi kuwa wanachukizwa na matendo ya Wasanii kujihusisha na Siasa Swala la kujihusisha na Siasa ama Chama cha Siasa ni haki ya kila Mwananchi na Mwananchi hapangiwi au kulazimishwa kuchagua Chama cha Siasa na wala sio kosa Kisheria au Kikatiba kuchagua chama...
  17. JamiiForums Tanzania Kwamba tangu tumepata uhuru huyu ndie Rais ambae wananchi wanamchukia na hawamkubali?

    Nimefuatilia mijadala ya watu sehemu mbali mbali na kugundua kuwa huu wa utawala wa Mama watu wanasema hawaukubali. Mbaya zaidi wanasema tangu tumepata uhuru huyu ndie mkuu wa nchi anayechukiwa na raia wake ! What is going on?
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yaomba wananchi watume taarifa za uvunjifu wa amani zilizotokea wakati wa uchaguzi

    Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32). Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo yatakayosaidia kufahamu ukweli wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  19. JamiiForums Tanzania Nahisi kuna Project ya wanamtandao kutumia Manabii kutoa tabiri zenye lengo la kuipooza Mioyo ya Wananchi

    Nianze Kwa kuwataka Wananchi, Hakuna Kupoa , Hakuna Kumwachia Mungu, tupambane ,tukimuomba Mungu ,Maandamano yakiendelea bila Kikomo. Ninahisi, Msululu wa Hizi Nabiii, lengo lake ni Kupooza mionyonya Watanzania, Wahisi kwamba Wao kama Watanzania hawana Wajibu wa Kupigania Nchi yao, Wananchi...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majizo, wasanii wanapaswa wawajibike kwa Makosa yao. Masuala ya kuajiri sijui kujiajiri hayana maana kama hawako upande wa wananchi

    Hamjambo wote! 1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin. 2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…