Wakuu; Kuna nguvu katika midahalo. Tusipuuze!
Ni wazi kwamba kila tukijaribu kuwasikiliza wagombea mbali mbali ni rahisi sana kugundua kuwa wametusahahu sisi kama wananchi wamekuja na ya kwao.
Na mara zote ya kwao si ya kwetu. Vipaumbele vyao si vyetu. Ni wazi kuwa ya kwao ni kwa faida yao...