wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hatimaye waandamanaji Nigeria wafanikiwa kuivunja SARS

    Baada ya siku kadhaa za maandamano ya kutaka kuvunjwa kwa kilichokuwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Wizi (Special Anti-Robbery Squad maarufu kama SARS) nchini Nigeria, IGP wa Polisi jana Jumapili ametangaza rasmi kuvunjwa kwa kikosi hiko. SARS, ambacho kilikuwa kitengo maalumu chini ya jeshi la...
  2. JamiiForums Tanzania CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa. Uwanja sasa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano imeshughulikia maslahi ya Wananchi

    Maoni na ushauri wangu kwa wananchi ni kuwa pamoja na Ukinzani wa hoja potofu kuwa Serikali ya Dr. Magufuli imefanya mambo mengi yanyohusu maslahi ya watu. Kwa mfano tumeshuhudia Rais na mawaziri wakitatua kero za wananchi kwenye ziara zao. Lakini pia miradi iliyoanzishwa imeelekezwa kwenye...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 ANGALIZO: 28/10/2020 tumchague Rais anayeshaurika na anayetimiza matakwa ya Wananchi

    Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake. Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye. 28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli kuwatishia wananchi kuwa hataleta maendeleo kwenye maeneo watakayochagua wapinzani, hivi hiyo siyo kuwabagua wananchi hao?

    Kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi nanukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi itakayofuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Tumekuwa tulimsikia mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli, Mara kwa mara katika kampeni zake...
  6. JamiiForums Tanzania Muda pekee kwa wananchi kuwatumbua wanasiasa wao ni sasa

    Fursa pekee aliyonayo mwananchi kwa mujibu wa katiba yetu wa kumuondoa na kumuweka madarakani mwanasiasa Ni huu Basi. Baada ya uchaguzi hakuna fursa hiyo Tena. Baada ya uchaguzi wanasiasa wanasahau kuwa watarudi Tena kwa wananchi kwa kusema na kufanya vitendo bila kujali vinakubalika au la kwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha. Zaidi soma; Uchaguzi 2020 - Polisi waondoa kizuizi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, kwa kuwa CCM imekataa kutupatia katiba mpya wananchi wanayoitaka, njoo upinzani ili usaidie katiba hiyo ipatikane

    Ndugu Polepole Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora kabisa ya katiba al-maarufu rasimu ya Jaji Warioba. Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Wananchi mchagueni mgombea mwenye uwezo wa kumshinda Magufuli

    Akiwa huko Mihambwe Zitto amewataka wananchi wachague mtu mwenye uwezo wa kumshinda Magufuli. Ndugu Zitto amewaambia wananchi kuwa lengo kuu ni kumshinda Magufuli na amewataka wananchi wasigawe kura, maana wakifanya hivyo Magufuli atapita katikati kiulainii. Katika mahesabu makali ya upinzani...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa bariadi mmekopwa pamba na hamjalipwa pesa zenu hadi leo hii sio haki. Nipeni kura Oktoba 28, niwe Rais nitatue tatizo hili "Pro. Lipumba"

    WANANCHI WA BARIADI MMEKOPWA PAMBA NA HAMJALIPWA PESA ZENU HADI LEO HII SIO HAKI.NIPENI KURA OKTOBA 28, NIWE RAIS NITATUE TATIZO HILI "PRO.LIPUMBA" BARIADI- SIMIYU Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Lipumba amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha wakulima...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura, yahakikisha usalama, usawa na uwazi

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 utakuwa wa huru, haki na wenye kufuata katiba na hiyo ni pamoja na kuruhusu watazamaji wa ndani na nje ya nchi ambapo hadi sasa Tume imetoa vibali kwa Asasi za kiraia na Taasisi 97 za ndani ya nchi na makundi 16 ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Wananchi walivyojitokeza kwa wingi Korogwe kumlaki Lissu wakiimba mkombozi amerudi

    Inakuwaje wanaJF! RAIS anayesubiri kuapishwa kalakiwa kiaina yake Korogwe huku umati wa watu wakirukaruka na kuimba mkombozi amerudi
  13. JamiiForums Tanzania je! ikitokea nusu ya wabunge wakatoka upinzani na raid CCM itabidi Kodi za wananchi wote zihudumie nusu ya nchi?

    Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe) Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi wakachagua ubunge upinzani. Kisha Kodi ya nchi nzima ikapelekwa kwa nusu ya wananchi licha ya ukweli kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

    Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma. MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo. Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI? Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

    Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake. ====== Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shabani...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mwaka huu kubalini kuwa Wananchi wamewakataa

    Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea Mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu...
  18. JamiiForums Tanzania Ubunge unatafutwa kwa hali na mali, Kuna maslahi si kuwa taarishi wa wananchi tu

  19. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

    Dah mambo magumu jamani!
  20. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, ACT Wazalendo vyapigwa marufuku kunadi wagombea wasio wa vyama vyao. Waambiwa kufanya hivyo ni kuwachanganya Wananchi

    Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili. Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku. Yani hii ofisi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…