wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi walalamikia kupigwa na Askari wawanyama pori huko ruvuma

    Ni kutoka Kijiji cha mbagamawe wamedai kupigwa na kuchomewa nyumba zao kwa miaka zaidi ya mitano Sasa Huku wakilalamikia watu wanaodaiwa ni Askari wawanyama pori maarufu Kama game Chanzo Cha habari ni radione tz
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kimbunga JOBO kimepita, lakini je, serikali na wananchi tunajiandae kwa vimbunga vijavyo?

    Historia inatuonyesha mara ya mwisho kimbunga kilichowahi kuikumba nchi yetu kilitokea mwaka 1952(miaka 69 iliyopita).Hii maana yake vimbunga kama hivi bado vinaweza kuja kutukumba tena huko mbeleni. Vimbunga vinavyoendelea kutokea miaka hii ya karibuni kikiwemo hiki cha JOBO kilichotokea siku...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi serikali bunge na mahakama pateni mipesa yote ila wananchi wanyonge wanachoangalia ni mumewasaidiaje?

    Kama kichwa kinavyojieleza lipaneni mipesa yote kama mishahara na miposho mtakula na mtakufa hamtaishi milele kumbukeni wanyonge walio wengi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, Taifa ambalo Wananchi wake wanapongeza 'copy and paste Speech' ya Rais wao wa sasa kutoka kwa Rais mwingine linaitwaje?

    Kuna Hotuba nimeiona kaitoa Makamu wa Rais wa Marekani ( Mwanamama ) ambayo kumbe 'ameikopi' kama ilivyo ( bila kubadili lolote ) kutoka kwa Hotuba ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump. Inabidi hawa Marais wa Marekani waje Kujifunza Kuandika Hotuba zao wenyewe bila 'Kuiga' za Watangulizi...
  5. JamiiForums Tanzania Mji mdogo wa Himo usipopewa hadhi ya Halmashauri chini ya Rais Samia wananchi watamkumbuka sana Hayati Magufuli

    Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa)...
  6. JamiiForums Tanzania Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

    Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K kwa siku na posho ya kujikimu 120K, jumla 360K. Bunge la bajeti litakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote atapata 32M, wastani wa 10M kwa mwezi. Kwahiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Taarifa juu ya Miradi ya Mendeleo iliyotekekezwa awamu ya tano ilijaa upotoshaji mkubwa kwa Wananchi

    Wananchi wengi walikuwa hawaambiwi ukweli na uhalisia wa miradi iliyotekelezwa awamu ya tano. Kiasi cha Wananchi kuwa taarifa zisizo sahihi juu ya miradi hiyo huku wengi wakidhania ilikuwa imekamilika kwa 100%. Mfano ni kweli vituo vya afya 460+ na Hospitali za Wilaya zaidi ya 65 zilijengwa...
  9. JamiiForums Tanzania Sioni faida ya Bunge hili kwa Wananchi, sio kwa uwakilishi wa kero zao wala kuisimamia Serikali, livunjwe tusipoteze muda

    Ni dhahiri hili bunge linaweza kuwa Bunge lisilo na tija kwa wananchi tangu nchi yetu imepata uhuru. Hata bunge la Chama kimoja enzi hizo wala halikuwa kama hili la sasa Kitendo cha kufanyia 'figisu' wapinzani na kuwabeba wagombe wa Chama kimeleta madhara makubwa sana kwa Taifa letu ...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie; DED Monduli na RC wa Arusha wametupora fidia ya ardhi Makuyuni

    DED wa Halmashauri ya Monduli pamoja na RC wa sasa wa Arusha Idd Kimanta wamepora fidia ya ardhi kwa taasisi za dini ya Kikristo na Kiislam pamoja na mwanamke mmoja waliopitiwa na umeme wa Kilovolt 400 kutoka Singida -Namanga katika Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha. Mwaka...
  11. JamiiForums Tanzania Wananchi waishio ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro waomba washirikishwe katika kutafuta suluhu ya kudumu ndani ya eneo hilo

    Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mama Samia Suluh Hassan, wakati wa kuwapisha makatibu wakuu na baadhi ya wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali aliagiza wizara ya maliasili na utalii inayongozwa na mhe.Dr Damas ndumbaro(MB) watafute suluhisho la kudumu ndani ya wenyeji waishio ndani ya mamlaka ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mijadala haipo kwa ajili wananchi - wanakula hela zetu tu

    Hata siku moja hutasikia kamwe kuna Mpango au Bajeti imepingwa na imesababisha mjadala mzito na wenye manufaa kwa wananchi. Jana usiku nikaamua kufuatilia kilivyokuwa kipindi cha bunge - yaani kupitisha Bajeti - nilicheka sana sana yaani (kwa sauti ya Mtumishi Magembe). Yaani alianza Shangazi -...
  13. JamiiForums Tanzania Mradi wa Mwendokasi Mbagala umekuwa kero kwa wananchi

    Moja kwa moja kwenye dhumuni la mada hii, huu mradi wa mwendo kasi kutoka Kariakoo mpaka Mbagala umekuwa kero sana. Si asubuhi, mchana ama usiku ni kero mtindo mmoja, kero yenyewe ni kujitokeza foleni. Yaani huu mradi umefanya iwepo kamba ya maana si mchezo. Hivi hiyo kampuni ama serikali haioni...
  14. JamiiForums Tanzania Nanyamba: Wilaya inayotegemea zao la Korosho, wananchi wapo hoi kiuchumi

    Wakuu Salam, Nipo wilayani Nanyamba huku kusini maisha ya wananchi kiuchumi yapo hoi sana. Wilaya ya Nanyamba hutegemea korosho pekee kama zao la biashara. Hata hivyo kabla ya 2017 zao hilo liliweza kuwa mkombozi wao kiuchumi. Mwaka 2017 serikali ya CCm bila kufanya utafiti wa kutosha waliingia...
  15. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aibua bungeni sakata la tembo kuvamia kuua wananchi, ataka wafugaji walioshinda kesi Mahakamani watendewe haki warudishiwe ng’ombe

    MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu kutoka serikalini. Amesema wananchi wanavamiwa na tembo mazao yao yanaliwa yakiwa shambani na hata...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma asitake Kuhalalisha kuwa wenye Elimu ndogo wapendelewe, wasikilizwe sana na waonewe mno huruma na Watu kwa gharama ya kuwananga wasomi

    Ni kweli nakubali kuwa kusoma ( kuelimika ) sana siyo Kutusua ( Kufanikiwa ) Kimaisha kwani kama ingekuwa hivyo basi Mimi Generalist nisingekuwa na Maisha haya Duni ( ya Dhiki ) niliyonayo sasa kwa Elimu yangu hii ya haka ' tudigrii ' kangu Kamoja tu ninakokamiliki huu mwaka wa 12 sasa. Lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbogwe amtaka Naibu Waziri wa Maji kuacha majibu ya kwenye makaratasi, ahoji vilipo visima 26 alivyotaja

    Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amemtaka Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi kutofuata mambo ya kwenye makaratasi, na kufuatana naye ili akamuoneshe visima 26 ambavyo amesema vipo. Katika swali lake, Mbunge huyo alihoji Serikali ina mpango gani wa kupeleka maji ya Ziwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna mkataba wa mradi wowote wananchi tumewahi kuhusishwa kuupitia. Huu wa Bandari ya Bagamoyo hawawezi kuuweka wazi

    Mjadala uliyoshika akili za watu kwa sasa ni faida na hasara za kuendelezwa kwa Ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo. Maneno hofu imekua kubwa juu ya yaliyomo katika mkataba wa mradi huu wengi wakitaka UWAZI na USHIRIKISHWAJI kwa wananchi wauone mkataba. Taifa hili halina utaratibu huo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata CCM ni majuto - Wabunge wengi sio chaguo la wananchi.

    Sasa tunasikia hata CCM wana...nya mbovu,kila kitu wanaponda na zaidi wanadai wabunge wale na madiwani wale waliopita uchaguzi mkuu wa 2020 si chaguo lao na yote yanayoanikwa na kuzidi kuanikwa sio ya kwao. wanadai mbona siku hizi hatumsikii tena Bwana Polepole amekuwa Bwana Kimyakimya na yule...
  20. JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa watanzania ni CCM imejaza wanasiasa wanafiki wanaojali kujitarisha kwa ufisadi na huku wakiona wananchi ni wajinga.

    Angalia maisha ya watanzania wa kawaida yalivyo duni, maisha ya kukosa maji ,elimu bora na hata chakula cha uhakika. Lakini ni mara chache sana kusikia mwanaCcm akisema tuwe na sera nzuri ambazo zitahakikisha mwananchi wa kawaida wa chini kabisa anaweza kunufaika kiuchumi. Angalia hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…