wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango

    Afisa Mtendaji kata ya Lulembela, wilaya ya Mbogwe, mkoa wa Geita amekuwa Mungu mtu kwa kutisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango wa maendeleo bila staha na kuzingatia utu wa mtu. Anamtumia balozi wa nyumba kumi anayeitwa Benard Gwanguru ambaye amekuwa akiambatana na mgambo...
  2. JamiiForums Tanzania Katika ziara zake, Hayati Magufuli alikuwa akigawa pesa kwa ajili ya maendeleo, Sasa hivi wananchi wanakamuliwa

    Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
  3. JamiiForums Tanzania Ukabila/ubaguzi wazuia wananchi waliyopokwa mashamba kwa matumizi ya jeshi kulipwa fidia monduli

    Eneo la lolkisali monduli awali lilitengwa kwa matumizi ya jeshi enzi hizo waziri mkuu akiwa edward sokoine. Baada ya miaka kadha ikaonekana na serikali wananchi wanaweza kupewa eneo hilo kwa kilimo. Wapo wananchi walipewa rasmi na kupewa hati za umiliki ili kufanya kilimo kikubwa kwenye eneo...
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali tayari imeshaingiza chanjo ya Johnson & Johnson ili wananchi wapate chanjo kujikinga na maradhi ya Covid-19

    Waumini waliojitokeza kuitekeleza Ibada ya sala ya Ijumaa katika Masjid Noor, Muyuni wakimskiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alipowasalimia mara baada ya kutekeleza Ibada ya Sala ya Ijumaa. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwasalimia waumini mara baada ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaomjua Hamza wanasema alikuwa mtu mzuri, mwana CCM kindakindaki na Mmiliki wa mgodi

    Polisi wametoa ripoti kuwa Hamza hakuwa mmiliki wa mgodi, lakini wananchi wanaomjua huko Chunya mkoani Mbeya, wanasema alikuwa ni mmiliki wa mgodi na alitoa ajira kwa baadhi ya watu katika mgodi huo. Hii ripoti ya Polisi dhidi ya Hamza haina credibility yoyote, kwa sababu haiwezekani chombo...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi kuweka Mageti ya ukaguzi mitaani ni ishara ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi

    Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa, ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani . Pamoja na pongezi hizi kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

    Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea" Kwa kauli hii Spika na...
  8. JamiiForums Tanzania Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

    Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona. Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika...
  9. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba usiwaadhibu wananchi wa kawaida kwa tozo lukuki, tueleze hali ya uchumi wa nchi ikoje?

    Kwa kifupi serikali ya sasa imerudisha mambo yote yasofaa ambayo mwenzao hayati Magufuli aliyaongelea kuwa ndiyo yalorudisha nyuma nchi hii. Kwa utafiti mdogo ambao mtu yeyote aweza kuufanya hadi sasa ni kwamba; 1. Wafanyabiashara wote wakubwa na walipa kodi wakubwa wote wamesamehewa kulipa...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi wazuiwa kusikiliza Kesi ya Mbowe, Mageti kuelekea mahakamani yafungwa

    Hivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la.
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba jiuzulu; ulilazimisha wananchi wanyonywe kupitia tozo kubwa

    Uliwadharau Watanzania na ukatoa kauli za kebehi kuwa hii ni sheria ya bunge hivyo kila mtanzania anatakiwa kulipa tozo za kizalendo ili kujenga shule, zahanati na vituo vya afya. Watanzania wakakuona hufai maana ulibuni chanzo cha mapato kisichofaa na kinachowanyonya watanzania wanyonge. Maana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepoteza ushawishi kwa wananchi

    Huu ndiyo ukweli, bila kumung'unya maneno rais Samia hana ushawishi mkubwa kwa wananchi. Nimezunguuka mitaani na kutaka kujua maoni ya wananchi juu ya Rais Samia, wengi ninaozungumza nao ni kama wamepoteza hope kwa rais Samia. Lakini kitu kingine nilichonotice ni kuwa wananchi wako aware sana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Amos Makalla kwa kazi nzuri, kikao chako leo hukutukana mtu, hukumkebei mtu, hukumdhalilisha mtu, hukuonyesha ubabe wala majigambo

    Nilikuwa nikimfuatalia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Amos leo kupitia tv, kwangu nimemfananisha mkuu huyo na wale watumishi wa Mungu wachungaji wa zamani wakitatua matatizo au migogolo ya wahumini wake. Amekuwa veri hambo sana. Tofauti na aliyewai kuwa mkuu wa mkoa huo ambaye nadhani hatokuja...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga ina kikosi imara sana

    Kikosi cha yanga kwa Muda waliokaa kambini ni Mchache sana na ukizingatia Safari za hapa na pale! 1st Goalkeeper, Djigui Diarra ni bonge Moja la Mchezaji, hata uwe mnafiki vipi Lazima kazi yake utaikubali tu, Magoli aliyofungwa ni Makosa ya kimpira tu Tumpe Mechi Tano tu Then ndio tuanze Lawama...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Goli la Kelvin Kapumbu Yanga day

    Umeshaambiwa Wananchi wapo katika Siku yao na Wewe tena Kelvin Kapumbu bila Huruma unapiga Bao la nguvu na la Ushindi hapo hapo.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Igp Sirro: Wananchi toeni ushirikiano

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama pindi wanapoona jambo lisilo la kawaida ili liweze kuchukuliwa kwa uharaka zaidi kabla ya kuleta madhara kwa jamii.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi wana chuki kubwa na Jeshi la Polisi?

    Wanadhulumu raia mali zao? Wanabambikia raia kesi? Wanachukua rushwa kwa nguvu? Wanapiga raia hovyo hovyo? Wananachukua wake za watu kwa nguvu? What' s wrong with PT?
  18. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lazuia kongamano la wananchi la katiba lililokuwa lifanyike Dar es Salaam

    Hii ndiyo Taarifa waliyoisambaza usiku huu, sasa ni dhahiri Jeshi la polisi linapaswa kuvunjwa na kuunda upya ama IGP afukuzwe kazi. USA pamoja na Ugaidi wa kweli uliofanyika Kabul bado wanaendelea na kazi waliyoianza , ndio iwe suala la Hamza ?
  20. JamiiForums Tanzania Kongamano la Wananchi la Katiba kufanyika Lamada Hotel tarehe 28/8/2021

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…