wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi kukabidhiwa maghorofa ya Magomeni kota, wamlilia Magufuli

    Katibu mkuu wa wizara ya ujenzi na uchukuzi ametembelea maghorofa ya Magomeni kota na kukuta ujenzi wake umekamilika kwa 100% na muda wowote kuanzia sasa wananchi watakabidhiwa makazi yao mapya bora kabisa. Ikumbukwe wakati hayati Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015 alikuta mgogoro mkubwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi na wananchi tushirikiane kukomesha mauaji yanayoongezeka nchini sasa

    Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia! Mfano wa matukio kwa uchache! I) Jana tu watu watano huko bahi Dodoma wameuwa! ii)Wiki hii wanzoni wanawake watatu huko mwanza miili yao iliokotwa wakiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan...
  4. JamiiForums Tanzania Moshi Masama: Shule ya kiislam na mashamba ya wazungu yadaiwa kuuziwa maji ya wananchi, wananchi hawana maji kwa miaka 8

    Masama Kilimanjaro inasemekana kuna shule za kiislam mbili zimeuziwa maji ya wananchi yote jambo ambalo limesabibisha wananchi kukosa maji tokea 2014 na kwasasa ni mwezi maji hayatoki Katika tarafa ya masama kuna kijiji kinaitwa Kijiji cha Mudio ambapo eneo lijulikanalo kama kijiji cha Kimira...
  5. JamiiForums Tanzania Polepole mlivuruga uchaguzi ili kutokomoa wapinzani, sasa unaona yanayoendelea? CCM wenzako wamepanda kichwani wananchi

    Mlipotaka muwe na Bunge la WanaCCM kwa asilimia tisini na nane hamkujua umuhimu wa wabunge wa upinzani? Hili bunge lingekuwa hata na wabunge wa upinzani 40% hii dharau ya WanaCCM kulifanya bunge kibogoyo isingekuwepo. Mliharibu uchaguzi na kumbe mlikuwa mnaharibu maisha ya Watanzania...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakayekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania

    Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema serikali ina akiba ya chakula inayokidhi mahitaji ya wananchi watakaokuwa na upungufu wa chakula...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, "nakuamuru" uwajengee Kivuko Wananchi wa Ipatikana na Nzoka Mkoa wa Songwe

    Salaam Wakuu. Kwa mjibu wa Katiba, rais ameajiriwa na Wananchi kuwatumikia. Hivyo kama Mwajiri, namtaka au namuamuru rais Samia awajengee kivuko hawa Wananchi. Ziara yake moja inatosha kuwawekea kuvuko hawa wananchi. Nimefika Nzoka Momba, Wananchi wanavuka kama Makomandoo unaweza hisi ni...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee Bunge husimama na Serikali na kuwaacha Wananchi

    Kwa maneno ya Naibu Spika Tulia Ackson na Ndugai inaonesha Bunge halina meno na ni chombo kisichoweza kuisimamia serikali. Kwa tafsiri rahisi ndio maana hua kazi kubwa ya wabunge ni kupiga makofi na kusema ndioooooooo na kusema naunga hoja mkono asilimia mia moja na kazi yao nyingine ni...
  9. JamiiForums Tanzania Loyalty ya wabunge wetu ipo kwa chama au kwa wananchi?

    Kwa sheria zetu mbunge anachaguliwa na wananchi lakini lazima adhaminiwe na chama. Chama kikimuondolea udhamini mbunge, hata kama alichaguliwa na 100% ya wananchi wake, anapoteza haki ya kuwawakilisha. Kama zipo, naomba kujulishwa faida za wagombea kulazimika kudhaminiwa na vyama vya siasa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi wengi wanadai Masoko yanayoungua hayaungui kwa bahati mbaya bali yanachomwa?

    Dhana hii ndiyo inayozungumzwa na Watu wengi mno, kutokana na mazingira yalivyo inaaminika kwamba masoko haya yanapigwa kiberiti, japo haijatajwa hasa ni yupi anayefanya unyama huo. Lengo langu si kufanya uchochezi, nilichozingatia ni ile methali isemayo MFICHA UCHI HAZAI au MFICHA MARADHI...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Suala la Tume Huru au Katiba hatma yake ni Madaraka na si maslahi ya wananchi. Tuweni macho

    Habarini wakuu, Tangu mjadala wa wapinzani wengine kudai tume huru ya uchaguzi na wengine katiba mpya kuingia katika taswira mpya baadhi yetu tumeingiwa na mashaka. Je, kwa nini wasimamie kitu kimoja? Je, wanaofanya hivyo ni kwa maslahi ya nchi au wananchi? Nimejipa muda wa kusikiliza pande...
  12. JamiiForums Tanzania Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Chadema mlituambia mtaleta maendeleo ya watu; wananchi wanataka mtekeleze ahadi yenu Kwa vitendo. Mbinu nawapa

    Njia ya Mpinzani kuwaletea wananchi maendeleo nikumshinikiza mwenye dola aelekeze nguvu kwa wananchi na asilale. Njia ya mwenye dola yakuwasaidia wananchi nikuwapelekea mahitaji Yao kama walivyoomba na kama ulivyoahidi. Uchaguzi wa 2020 hatujui kama mlishindwa au mlishinda ila tunachojua ninyi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Wananchi wameichukia CCM ilishazoea kuwaona wajinga, wananchi wa leo sio wa 2015

    Walishazoea kufanya ufisadi na kuiba mali za umma na wakati wa uchaguzi wanawalaghai wananchi. Sasa watanzania walishawashutukia. Mwaka 2015 baada ya kuona kuwa walishachafuka kwa ufisadi wakafanya ulaghai kujifanya wanawakataa mafisadi, kumbe ndio walewale. Mwaka huu na kuendelea watanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Kitakachowafanya CHADEMA kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za Magufuli

    Kitakacho wafanya CDM waweze kukubalika kwa wananchi ni kufuata sera za JPM. Kwenye hotuba zenu ni nzuri sana ila mnakosea sehemu moja na hapo ndio mnapata negative feedback kutoka kwa kundi kubwa la watanzania. Badirikeni, kama hamkumpenda JPM subirini mpaka muichukue hii nchi. Saivi nendeni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jipangeni 2025 hii CCM haikubaliki kwa wananchi, mtapata upenyo mkubwa sana na kupiga bao

    Ni dalili kubwa sasa hii ni CcM ya wapigaji na wajanja aka wazee wa kupiga madili kama ya Lugumi, kagoda na Escrow. Mpaka tunafika 2025 wananchi watakauwa wameshachoka na kuikataa mioyoni mwao. Mjipange na kufanya kweli.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Shutuma dhidi ya ndugai zilitakiwa kuibuliwa na bunge, na msamaha ulitakiwa kuombwa kwa bunge na wananchi.

    Kongole wanaJF.......kutokana na spika kuwajibika kwa bunge na wananchi, ikiwa matamshi yake yalikiuka mwenendo, sheria na taratibu za bunge, shutuma hizo zilitakiwa kuibuliwa na bunge lenyewe na kama ni kuomba msamaha ndugai alitakiwa aombe huo msamaha kwa bunge au moja kwa moja kwa wananchi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi na ahadi za kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Ardhi na Makazi William Lukuvi ni fundi sana wa kujitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa ahadi keme kem za jinsi Wizara yake itakavyotatua kero za wananchi. Lakini ukichunguza sana ahadi zake ni maneno tu na hazitekelezi. Mara nyingi hujitokeza wakati kama hivi sasa ambapo Rais...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Afrika ni bora kuwakosea wananchi lakini si kumkosea Rais

    Tulinganishe hizi kauli "Kama Hutaki kukatwa KODI, HAMIA BURUNDI"... tukilinganisha na kauli ya Jobu ni nani alipaswa kujiuzuru kwa maslahi mapana ya wananchi.... Hivi wananchi tunajielewa kweli?? Au tunapelekwa na mvumo Wa upepo unapoelekea.... Kiongozi gani au mwanachama gani CC alijitokeza...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na Katiba ya wananchi unazidi kujitokeza.

    Ili nchi yetu ipate maendeleo ni lazima kuwe na muendelezo wa mipango kutoka Awamu moja kwenda kwenye Awamu nyingine. Iwapo kila Awamu mpya inapoanza kutawala itayatupilia mbali yale yaliyoanzwa na waliowatangulia basi kasi ya maendeleo itapungua!! Haya yamejitokeza sana katika utawala wa nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…