wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Siku Bima ya Afya kwa wote ikianza ndiyo utagundua wananchi wengi walikuwa wanatibiwa kwa Mwamposa na kwa waganga!

    Sina hakika kama wananchi wengi huwa hawaugui, ila ninachofahamu ni kwamba wananchi maskini walio wengi hutibiwa kwa akina Mwamposa, kwa waganga wa kienyeji au hunywa tu mwarobaini. Hivyo Bima ya Afya kwa wote itaimarisha afya za Watanzania kwa sababu wote watatibiwa hospital kwa huduma za...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana, viongozi kuacha Tril. 360 za makinikia na kukomaa na tozo za line za simu kwa wananchi

    Hivi tunakwenda wapi jamani? Kwa nini msikomae na hawa wawekezaji wakubwa ili tupate matrlioni kuliko kukomaa na vijisenti vyetu?
  3. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Iran: Wananchi waandamana kuunga mkono mfumo wa Kiislam

    Mkusanyiko wa mamilioni ya watu wa Iran; kufukuzwa wafanya ghasia na Umma wa Mtume Mtukufu (saw) ======== Wananchi wa mikoa tofauti ya Iran siku ya Jumapili, ambayo ilisadifiana na siku ya kukumbuka kifo cha Mtukufu Mtume (saw) na mkuu wake Imam Hassan Mujtaba (as), walifanya mkusanyiko wa...
  4. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Waliofanya pati ya kusamehe Trilioni 360 ni viongozi au wananchi masikini?

    Mambo yamekuwa Mambo kumbe kuna Kundi lilisheherekea.
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Wananchi waandamana kupinga ongezeko la bei ya vyakula

    Mamia ya Wananchi wameandamana katika Mji Mkuu, Tunis kupinga bei ya juu na uhaba wa baadhi ya vyakula na bidhaa Muhimu kama Sukari na hivyo kuzidisha shinikizo kwa serikali ya Rais Kais Saied, huku nchi hiyo ikikumbwa na mzozo wa kiuchumi na kisiasa. Tunisia inakabiliwa na mfumuko wa bei...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Serikali imepiga chenga kwa wananchi kuhusu tozo

    Salama wandugu, Kwanza kabisa tujipongeze wana JF kwa maoni na makelele tuliyopiga hapa mpaka kupelekea sheria kurudishwa bungeni ,nampongeza Samia na Mwigulu japo kwa usikivu ila mlichofanya siyo sahihi japo baadhi wanasifia kama mazuzu vile Ipo hivi kilichotolewa tozo ni miamala ya bank to...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kubadilisha Polisi isikilize wananchi kwanza!

    Raisi Samia ameunda Team ya kujadili na kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa jeshi la Polisi. Ni vizuri team hii ikasikiliza wananchi hasa kwenye mambo makubwa haya 1. Polisi kuingilia chaguzi. Tumeona Kenya mfano mzuri wa kuiga 2. Rushwa 3. Unyanyasaji 4.kupendeleana kwenye vyeo 5. Mafunzo
  8. J

    JamiiForums Tanzania Marekani kubadili vikwazo kuwawezesha wananchi wa IRAN kupata taarifa.

    Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata taarifa. Hatua hii ya Marekani imekuja kufuatia kifo cha mwanadada wa Kikurdi nchini Iran...
  9. Fukua

    JamiiForums Tanzania Wananchi hatuna mashaka na Rais wetu Samia mpaka sasa, nchi imefunguka

    Nawasalimu woote Kwa jina la JMT Moja Kwa Moja KWENYE mada Mauzo ya bidhaa zetu nje ya nchi yameongezeka sana. Kilio Cha tozo serikali imekisikia na Sasa tuna Ari ya kuchangia maendeleo yetu maana hayupo wa kufanya Kwa ajili yetu. Demokrasia Na utawala Bora nchini Sasa sawa kabisa na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni msikivu sana kwa Watanzania ndio maana anaendelea kupendwa na kukubalika kwake na Wananchi

    Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania limekosa viongozi kama hayati Julius Nyerere na hayati John P Magufuli. Wananchi wanyonge watakandamizwa mpaka wakione cha moto

    Hivi mbona ni aibu kubwa sana kwa taifa kubwa lenye rasimali nyingi na utajili wa maliasili kama Tanzania kufikiria juu ya kukamua tozo toka kwa wananchi wanyonge badala ya kufikiria kutumia rasimali kama madini, uvuvi na kilimo kupata mapatoa ya kuendesha nchi. Hayati Mwalimu na hayati Julius...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia Bunge letu naona wachekeshaji na sio watetezi wa wananchi

    Wakuu, Mimi hua nikiangalia bunge letu naona wachekeshaji tu na watu wenye vioja na mzaha mwingi yaani ile dhana ya wawakilishi inafia hapo. Hua najiuliza hawa jamaa wanaenda mule ndani na mawazo yao au mawazo ya wananchi? Haiwezekani tozo ipitie kwao wapitishe sheria baadae wananchi...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Zungu madaraka yamekulevya. Unataka wananchi wakatwe tozo zipi za intaneti wakati tunanunua salio na kukatwa tozo?

    Msigeuze wananchi kama kiwanda cha kulisha matumbo yenu 👇
  14. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika wa Bunge Musa Zungu alaumu tozo kukataliwa. Wananchi, makampuni ya simu na benki zahusishwa

    "Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].” "Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tunaomba taarifa rasmi kama Wananchi wa Kunduchi tunatakiwa kupisha mradi wa Mwendokasi

    Dear Serikali, kuna tetesi kuwa wananchi wako wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi. Tatizo wananchi hatujawekwa wazi kuhusu huo mradi. Taarifa zinakuja kienyeji. Mfano mimi jana ndo mjumbe ananipigia simu kunieleza kwamba watu wa kuthaminisha maeneo...
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tozo wanazotozwa wananchi zinatumika kulipa mikopo wanayochukua Zanzibar?

    Kumekuwa na hii tabia ya kuchukua mikopo kwa ajili ya shughuli mbali mbali zinazoitwa za kimaendeleo; ila kinachoshamgaza ni jinsi mikopo hiyo inavyogawanywa kwa usawa baina ya Watanzania wa Bara na Wazanzibari as kanakwamba idadi ya Zanzibar na Bara ni sawa. Hivi uwe na maandazi 10, halafu...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wengi wa dini wanahubiri wananchi tudumishe amani bila kuwahimiza kwanza watawala watende HAKI?

    Imeandikwa Katika Biblia, kitabu cha Mithali 14:34 nanukuu "HAKI HUINUA TAIFA, BALI DHAMBI NI ADUI WA WATU WOTE" mwisho wa kunukuu. Pamoja na kuwa Mimi siyo Askofu wala Sheikh, lakini nafahamu kuwa AMANI na HAKI ni pacha na huwezi kuvitenganisha vitu hivyo viwili, yaani AMANI na HAKI...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Shirikianeni na TIRA kukinga wananchi dhidi ya majanga

    SHIRIKIANENI NA TIRA KUKINGA WANANCHI DHIDI YA MAJANGA. Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga amewataka Makatibu wakuu nchini kuhakikisha wananchi wanakingwa na huduma za bima. Balozi Kattanga ameyasema hayo alipokuwa akifungua mafunzo maalum ya umuhimu wa sekta ya bima katika...
  19. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Ulinzi Shirikishi/ Polisi Jamii ni kuwasumbua Wananchi

    Katika mambo ya kipuuzi ambayo jeshi letu la polisi linayafanya ni hiki kitu kinaitwa ulinzi shirikikishi. Sote tunajua maisha ya watanzania yalivyo, unakuta kijana anayejishughulisha na shughuli za kilimo jioni anarudi nyumbani hoi halafu unamtaka aingie mtaani eti kufanya doria ili kukomesha...
  20. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tozo kuwa mwiba kwa Wananchi

    Kila nchi duniani hukusanya kodi kutoka kwa wananchi kwa ajili ya kuendesha serikali, na kodi ni chanzo kikuu cha mapato ya serikali.Lengo kuu la kodi ni kwaajili maendeleo ya nchi kwa maana kujenga huduma za kijamii kama shule hospitali, barabara, huduma za maji,reli na kadhalika. Katika nchi...
Back
Top Bottom