Kwanza sifa zote ziende kwa mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunipa pumzi, Alhamdullilah.
Tulidharauliwa sana.
Kipindi naenda kusoma ndugu walikaa kikao wakawa wanasema "unapoteza muda tu, hiyo kozi hailipi."
"Kwanza kuna ajira huko?"
"Mishahara yao midogo sana"
"Kwanza kazi ya kukimbia...