This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Ukweli ni kwamba hali hairidhishi kijijini Msaranga wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kutokana na upungufu wa chakula
Anayelalamika hali iliyotawala, Pulceria Marandu, mkazi wa Kitongoji cha Kwasuva kijijini Msaranga, anatumia kauli: "Ukipika ugali, ukienda chooni au kutafuta sahani chumbani au...
Habari wakuu...Katika hali ambayo kwa upande wangu nimeiona siyo ya kawaida Askofu mstaafu wa kanisa la Tanzania assemblies of God(TAG) Mch.Glorious shoo ameiomba serikali kuwazuia wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kutoendelea na uzalishaji wa pombe za asili na badala yake mazao yanayotumika...
HALMASHAURI ya Wilaya ya Meatu kama ilivyo maeneo mengine ya
Serikali za Mitaa inasimamiwa na kuongozwa kwa kuzingatia
Sheria mbalimbali za nchi ikiwemo Sheria ya Serikali za Mitaa ya
mwaka 1982 na Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya
Meatu za Mwaka 2014 ambazo zinaelekeza mambo...
Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende!
Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu!
Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea!
Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa...
Serikali haistahili kupokea salamu za rambirambi kwa namna yeyote ile. Licha ya kukumbwa na majanga kama haya lakini serikali imejaa anasa tupu badala ya kufanya maandalizi ya vyombo vya uokozi.
Samia akiwa makamu wa rais serikali iliiwaambia wana Kagera serikali haikuleta tetemeko. Haikutosha...
Wananchi wanapopoteza imani kwenye taasisi za serikali huwa kuna uwezekano mkubwa kwa nchi husika kuingia kwenye korongo. Haijalishi idadi ya hao wananchi, madhara ni lazima yawepo tu. Ukisoma historia, mifano iko mingi mno. Wananchi wakikata tamaa kuna kitu huzaliwa ambacho wengi kifalsafa...
Kwa taarifa zilizoonekana wazi, wananchi ndio walikuwa mstari wa mbele kwenye uokoaji wa ndege pale Bukoba hasa kwenye hatua za mwanzo za uokoaji hawa ni watu wa kupongezwa sana.
Mara kadhaa kumekuwa na majaribio ya kujiandaa na dharura viwanja vya ndege natumaini mengi wanajifunza, matukio...
Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba.
Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao.
Hili limenigusa sana maana...
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo...
Mwenyekiti wa jumuiya ya wakulima wa parachichi Tanzania (ASTA), Rebeca Hesewa amesema changamoto inayowakabili wakulima kunufaika na masoko ya nje ni kukosekana kwa ubora wa mazao wanayozalisha.
Kukosekana kwa ubora huo, alisema kunatokana na aina ya viuwatilifu wanavyotumia wakati wa...
Tuambiane tu ukweli. Kwa sasa Serikali ya CCM imeishiwa ubunifu wa maendeleo kwa wananchi. Imechoka sana. Miaka 60 haina ambacho imefanya cha maana. Ubunif umeisha imekuwa business as usual.
Maji bado ni tatizo pamoja na mito na maziwa yote tuliyo nayo. Umeme nao tatizo....vyakula tatizo pamoja...
Anaanza kwa kukaribishwa na "Hangaya" kwa sauti nyororo ya Kizanzibari...
Lakini all in all, nasema..;
Huyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...!
Lakini ndo hivyo tena. Ukweli uliofichwa kwa nia ovu, ukifichuliwa na kuwekwa wazi, huwaudhi waliokuwa...
Mbunge CHADEMA Songwe Viti Maalum, Stella Fiyao akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi anabainisha kuwa mswaada huu ni muhimu na utakwenda kutatua changamoto ya mamlaka kuingilia kwenye akaunti za watu mbalimbali.
Akifafanua hoja yake anasema kuwa Muswada...
Taarifa zinadai kuwa kuna zoezi la ukusanyaji wa kodi ya mifugo linaendelea wilayani Ukerewe. Inadaiwa kuwa Mbuzi na Ng'ombe sasa wanalipiwa kodi. Yaonekana, kuna kodi nyingi zinarudishwa.
Nasema kodi tena kwa sababu tulikuwa na kodi ya kichwa, ikaitwa kodi ya maendeleo baadaye Utawala wa Mkapa ukaifuta. Mifugo pia ililipiwa kodi na kwa wale wakongwe, kulikuwa na kodi ya baiskeli mitaani.
Taarifa niliyorushiwa, kuna zoezi la kodi ya mifugo inaendelea wilayani Ukerewe. Mbuzi na...
Hii ni kupigana midongo ya nguvu
"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza kupambana na janga la umasikini wa watu wetu na kutengeneza uchumi unaozalisha ajira kwa vijana wetu?"
👇
Barabara alizosimamia zinasaidia kila sekta ya uchumi hapa nchini.
Hospital, Zahanati na Mashule aliyojenga yanawasaidia watanzania kujenga uchumi.
Misingi ya kusimamia rasilimali za umma aliyoiweka inawasaidia Watanzania leo hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.