wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwalimu wa field

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na wanafunzi wamebeba fimbo na wameagizwa na mwalimu wao.

    Kwanza WAALIMU tunawapenda sana ndio maana tumewaamini kuwafundisha Watoto/wadogo zetu. Lakini hii imekaaje unatoa oda zaidi ya wanafunzi wa 5 wakuletee fimbo za kuwaadhibu? Hatukatai adhabu lkn mara kadhaa tumeshuhudia waalimu mkilemaza Watoto wetu na kuwatia kilema Cha maisha! Wanafunzi...
  3. Darkish

    JamiiForums Tanzania KIWANDA KILICHOTOKANA NA WANAFUNZI WA CHUO HUKO UGANDA

    Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuposti thread nikihoji kwa nini wanazuoni wetu UDSM mtaala wa Uhandisi (Mechanical Engineering) hawajiongezi na kuunda hata mfano wa gari. Majibu niliopata toka kwa wanazuoni hao, mimi mwenyewe nilikoma kuendelea na hiyo hoja. Sasa angalia wanafunzi wa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

    Wanafunzi 1,230,780 wamesajiliwa na wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu Elimu ya Msingi kuanza leo Septemba 11, 2024, kati yao Wavulana ni Asilimia 46 na Wasichana ni Asilimia 54 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Dkt. Said Mohamed amesema masomo yatakayotahiniwa ni Sita...
  5. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Ni mfumo wetu wa elimu mbovu au wanafunzi uelewa upo chini? Nchi nyingi duniani vijana waliosoma ICT ndio matajiri ila kwetu wanazunguka na bahasha

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply. Mfano wa kijana wa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mtoto wa miaka 14 avamia shule, aua kikatili wanafunzi wenzake na walimu

    Huko kwenye jimbo la Georgia nchini Marekani, mtoto wa miaka 14, Colin Gray alivamia shule aliyokuwa anasoma ya kuitwa Apalachee High School. Mtoto huyo ambaye insadakika kuwa alichukua bunduki ya baba yake alifanya unyama huo shuleni hapo na aliweza kuua walimu wawili na wanafunzi wawili...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moto waua Wanafunzi 16 wa Shule ya Hillside Endarasha, 14 wajeruhiwa

    Wanafunzi 16 wameripotiwa Kupoteza maisha baada ya ajali Moto kutokea katika moja ya Mabweni ya Shule ya Hillside Endarasha iliyopo Kieni, Nyeri usiku wa kuamkia Septemba 6, 2024. Msemaji wa Huduma za Polisi Kenya, Resila Onyango amethibitisha tukio hilo na kueleza "Tuna wanafunzi 16 wamekufa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Wanafunzi wote wa kutwa wapate chakula shuleni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kuhakikisha wanafunzi walio katika shule zote za kutwa za umma na binafsi wanapata chakula bila kujali ni wa madarasa ya mitihani ama lah na kamati za shule...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rorya: Wanafunzi sita wafariki baada ya kunasa kwenye tope wakiogelea kwenye bwawa.

    https://x.com/MwananchiNews/status/1827665660110872878?t=M10MpOscMBz7jcfQEB0_ig&s=09
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichonitokea kutibiwa na mwanafunzi wa udaktari, Siwezi kuja kukubali tena kuwa mwili wa kujifunzia matibabu kwa wanafunzi wa field

    Kuna kipindi nilikuwa ninahisi maumivu kwenye jino la mwisho, nikaenda hospitalini kupiga xray ikaonekana nina jino chini ya fizi, inabidi litolewe. Nikaweka appointment ili niende kesho yake kulitoa. Asubuhi na mapema nikawahi hospitalini, Daktari nilekutana nae ni kijana mdogo mwenye rika la...
  12. jodac

    JamiiForums Tanzania Kero ya kuchelewa kuhuishwa kwa kadi za NHIF kwa wanafunzi wanufaika wa Mkopo toka HESLB.

    Habari. Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia lakini kadi haziko activated. CHANZO CHA TATIZO Kosa linalofanywa na HESLB ni kulipa hela hii moja kwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa: Tumesikitishwa Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na kadi ya CCM ili wasaidiwe kupata mkopo

    YAH: TAARIFA KWA UMMA. Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo. Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la Chuo Kikuu Dar es Salaam ndugu Goodluck Evarist la kuwataka wanafunzi ambao...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Abdul kortini kwa mashtaka ya kubaka na kulawiti wanafunzi watano

    Mkazi wa Mtaa wa Kyamaizi, Kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba, Abdul Suleiman (30), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Bukoba akikabiliwa na kesi mbili za kuwabaka na kuwalawiti wanafunzi watano wa shule za msingi. Kesi hizo zenye jumla ya mashtaka saba, zimesomwa jana Jumatano Agosti 14...
  15. J

    JamiiForums Tanzania RC Sendiga avaa sare za shule akiwakaribisha wanafunzi kwenye shule mpya

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara (RC), Queen Sendiga amewakaribisha rasmi wanafunzi 110 wanaoanza kidato cha tano katika Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Manyara iliyopo mjini Babati. Katika ukaribisho huo DC Sendiga amevaa sare za shule kama wavaavyo wanafunzi hao kwa lengo la kuwapa morali ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania HESLB yafafanua madai ya Wanafunzi UDSM kutakiwa kuwa na Kadi ya CCM ili wapate mkopo

    Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ Wanafunzi UDSM tuliokosa mikopo 2023 na waliopata mikopo kidogo tunaambiwa lazima tuwe na Kadi ya CCM ndio tutahudumiwa UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO Jumanne, Agosti 13, 2024 Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Madaktari wanafunzi (Intern)

    wasaidiwe
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Kuna matatizo ya Kiufundi, Mtaala mpya wa Kidato cha 5 utaanza Mwaka 2025, kutakuwa na masomo mawili mapya kwa Wanafunzi wote

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara wakati Mamlaka zikijiandaa kwa ajili ya utekelezaji wa Mtaala mpya ngazi ya Kidato cha Kwanza kuna tatizo la kiufundi limetokea na hivyo Mtaala huo unatarajiwa kuanza 2025. Licha ya kutofafanua ttizo hilo, Waziri amesema...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wa International schools wao huwa hawatolewi Darasani kwenda kushangilia watawala

    Jiji kama Arusha limejaa Internatiinal schools zilizo karibu karibu sana tena zingine jirani kiasi na Shule za wanao soma wajinga wa hili Taifa kama radius ya km 5 hadi 10 hivi. Ila hizi International School wao kwa sababu wana jua what is Education huwezi watoa Darasani kwenda kushangilia...
  20. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu waliosoma shule binafsi yani private ni waliofeli

    Tunakumbushana tu, ndivo ilivokuwa. Shule private maarufu enzi zetu kulikuwa Jitegemee, Vituka na sait Antony Mbagala huku tarime kulikuwa na Shirati sec school. Je wewe unakumbuka lipi? Gen Z mtupishe.
Back
Top Bottom