wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yafanya Mjadala na Wazazi wa Wanafunzi Shule ya Msingi Feza kuhusu mbinu za kuwalinda Watoto Mtandaoni

    Oktoba 26, 2024 baadhi wa Watendaji wa JamiiForums walifanya Mjadala na Wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Feza na kujadili mbinu za kulea watoto katika nyakati Dunia ya Utandawazi na Digitali. Timu ya JF ikiongozw ana Mkurugenzi Mtendaji, Maxence Melo ilifanya majadiliano ya...
  2. Massawejr

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya upendeleo

    Kwa upande wangu natamani sana kuona wanafunzi hasa kwanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita wanapewa elimu ya kutosha ya kujitegemea. Kwamfano nchi yetu kuna washauri na watu waliobobea kwenye masuala ya teknolojia ya mtandaoni, pia watengeneza maudhui
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya usajili wa wanafunzi chuo cha NIT baada ya mfumo wa ulipaji ada kubadilishwa

    Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo Wanafunzi wengi tunapata shida kufanya usajili kwasababu ya hali ngumu za kimaisha za familia zetu...
  4. Faana

    JamiiForums Tanzania Bandari College: Je ni sawa script za wanafunzi kutupwa zikawe vifungashio mtaani?

    Swali kwa nia njema tu, je kwanini script za wanafunzi zisirudishwe kwa wenyenazo ziwasaidie kujua makosa yao kwenye mitihani badala ya kuzi discard zinaishia kuwa vifungashio mtaani?
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima, wanafunzi kufukuzwa shule sababu ya picha za utupu siyo suluhisho na haiwasaidii, wanatakiwa kupewa mwongozo na kuelewa athari zake

    Waziri Dkt. Gwajima D salam, Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa. Katika kushughulika na suala hili busara inahitajika zaidi kuliko kukurupuka. Kwanza tuelewe hawa na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

    Wakuu habari zenu! Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima. Wanafunzi wawili wa kike kutoka...
  7. Katurido

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 19,345 wapangiwa mikopo ya TZS 59.49 Bilioni awamu ya tatu

    WANAFUNZI 19,345 WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 59.49 BILIONI AWAMU YA TATU Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu leo (Jumapili, Oktoba 20, 2024) imetangaza Awamu ya Tatu (Batch Three) yenye wanafunzi 19,345 wa shahada ya awali waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 59.49 bilioni kwa mwaka wa...
  8. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanafunzi vyuo vikuu wamekosa mikopo, hasa vyuo vya private; wapo nyumbani

    Ndugu watz baada kufanya utafiti wa muda mfupi, vyuo vikuu vingi hapa Tanzania wanafunzi wa first year wamekosa mikopo hivyo wanasuasua kureport vyuoni. Sijajua wizara inalengo gani na swala hili maana vyuo vingi wanafunzi hawajareport! Wizara shughulikieni haraka ili wadogo zetu wakasome.
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 UVCCM yataka upinzani kuacha kulalamikia uandikishaji wa wanafunzi

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kuacha malalamiko yanayohusiana na uandikishwaji wa wanafunzi wenye umri wa miaka 18 katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Kauli hiyo ameitoa alipokuwa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa: Hakuna Uthibitisho wa madai ya Uandikishaji Wanafunzi Kupiga Kura

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa ameeleza kuwa hajapata uthibitisho wa madai kuwa kuna vituo vya Uandikishaji Wapiga Kura nchini vimeandikisha baadhi ya watu (Wanafunzi) ambao hawajakidhi vigezo kikanuni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Akizungumza na waandishi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kama umati unaokuja kukusikiliza ni kwa vitisho na kukandamiza watumishi na wanafunzi, nini faida ya umati huu?

    Siasa za Tanzania zimekuwa za ajabu sana, yaani kiongozi mkuu analazimishiwa umati ili aonekane amejaza watu na ipeleke picha kwamba anakubalika kumbe kiuhalisia ni uongo mtupu. Jiji la Mwanza linahitimisha shughuli za mwenge wa taifa tarehe 14/10/2024. Lakini cha ajabu maandalizi yote kwa...
  12. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya wananchi wasombwa kwa mabasi kupelekwa kwenye shughuli za mwenge na ziara ya Rais

    CCM wanalazimisha sana kukubalika Hapa Mwanza leo daladala kibao zinasomba wananchi wale wajinga wajinga na wanafunzi na kuwapeleka kwenye shughuli za mwenge na ziara ya rais hii yote waonekane CCM wanakubalika sana kwa wananchi Barabara zinakuwa na jam kwa sababu ya masuala yao ya mwenge na...
  13. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mifumo ya kurusha wanafunzi wasimalize miaka 7 ya darasa la saba, tujue kuna mifumo ya kuchakachua mahitimu wa Chuo kikuu!

    Huko nyuma kabla ya Jiwe JPM, kulikuwa na tabia mbaya ya kitapeli eti unamrusha darasa mwanafunzi. Unakuta mwanafunzi kasoma mpaka darasa la pili alafu unamrusha mpaka darasa la tano au yuko darasa la nne unamrusha darasa la sita. Nashukuru JPM kwa kutengeneza mfumo ambao ukisajiliwa na mfumo...
  14. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale SOFTWARE Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi

    Huduma za Printing, Scanning, na Photocopy kwa Wanafunzi 📢 Wanafunzi wa Vyuo Mnakaribishwa! 📢 Unahitaji huduma za haraka na nafuu za stationery? Karibu Dodoma Mjini kwa huduma za: ✅ Printing za miradi, makala, na nyaraka mbalimbali ✅ Scanning ya hati muhimu kwa ubora wa juu ✅ Photocopy ya haraka...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Dawati awaasa wanafunzi kuhudhuria Masomo kikamilifu, awasihi walimu kufuatilia mienendo ya watoto

    Katika kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusikilizwa kero zao zinazowakabili wanafunzi katika Wilaya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Mkuu wa dawati la jinsia na watoto wilaya hiyo ameendelea kutoa Elimu ambapo amefika katika Shule ya Msingi Kanindo ambapo amewataka wanafunzi kuhudhuria kikamilifu...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kasirwa ya Rombo wanazurura tu mtaani kwa sasa

    Hii ni Shule ya Msingi Kasirwa ipo Rombo, kwa sasa asilimia kubwa ya Wanafunzi wanashinda nje ya Madarasa, wanazurura tu nje kwa kuwa madarasa yao yapo kwenye maboresho. Hivi tunajiuliza uongozi wa Shule, Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa wapi muda wote hadi madarasa yanakuwa katika hali...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema CCM inazalisha Wanafunzi Mazuzu ambao wanaligharimu na wataligharimu Taifa letu mnatuchukia

    Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Mchepuo wa Kiingereza, Chief Zulu mkoani Ruvuma wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan Sh1,800 kama zawadi. Baada ya tukio hilo, Rais Samia amesema atawanunulia ng’ombe wawili, mchele kilo 500 na mafuta ya kupikia kwa ajili ya kula shuleni hapo. Leo...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbowe alivyokimbiwa na wafuasi wake ni kama Yesu alivyoachwa solemba na wanafunzi wake akakamatwa na jeshi la Rumi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna watu wanauliza Wafuasi wa Mbowe(Wanachadema) walikuwa wapi wakati kiongozi wao anakamatwa na Askari pale kwenye Magomeni. Wapo wapi anaowapigania? Wapo wapi waliopatwa na madhila, majanga ambao Mbowe na viongozi wenzake anawasemea na kuwapigania? Yesu...
  19. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania Serikali irejeshe saikolojia ya wanafunzi wa shule ya msingi Mbezi Juu ili wendelee vyema na masomo yao

    Siku ya alhamisi tarehe 19.09.2024 katika shule ya msingi ya Mbezi juu palitokea tukio la mwanafunzi mmoja wa kiume wa darasa la tatu kutumbukia ndani ya shimo la choo wakati alipokwenda kujisaidia majira ya mchana. Shule ya msingi Mbezi juu ipo katika kata ya Ndumbi mtaa wa Mbezi mtoni ndani...
  20. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Je, ni lini wanafunzi wa vyuo wataacha kujamiiana kwenye dabo deka?

    Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi? Ikumbukwe kule vyuoni Kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakifanya mapenzi kiholela katika vitanda vya...
Back
Top Bottom