wanafamilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Unaweza kumsamehe mtu aliyekuibia na kukuulia wanafamilia wako?

    Naombeni tusaidiane Unaweza kumsamehee mtu aliyekuibia haki yako ya kupiga kura,na bado akakuulia wanafamilia wako waliokuwa wanadai haki na bado asikukabidhi mili yao akaitupa kama mizoga Haki ya Mungu sitakuja kumsamehe mtu kama huyu, mbona Tundu Lissu hamkumsamehe kipindi kile
  2. Pakome

    Idadi kubwa ya Wananchi inalinda wanafamilia pamoja na mali zake sababu kubwa iliyopelekea kupuuzwa kwa maandamano

    Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano, idadi kubwa inasema haitaki kupoteza urithi wake wa watu na mali uliotafutwa miaka kenda iliyopita...
  3. Jackal

    Madhara Ya Pager:Karibu Magaidi Elfu Tatu Wa Hezbollah Au Wanafamilia Wao Wamekuwa Vilema Sababu Ya Mashambulizi Ya Pager Yaliyofanywa Na Mossad

    Source:Alarabiya TV
  4. issac77

    Wanafamilia wa JF, Jana tarehe 13 mimi na shemeji yenu tumefanikiwa kuijaza Dunia kwa mara nyingine

    Asante mama la mama kwa ZAWADI hii ya kidume #no reform no election
  5. Ojuolegbha

    Rest in Peace dear Brother Charles. Ninatoa Pole kwa Wanafamilia wote. Balozi Mahmoud Kombo.

    Rest in Peace dear Brother Charles. Ninatoa Pole kwa Wanafamilia wote. Balozi Mahmoud Kombo.
  6. GENTAMYCINE

    Wanafamilia wale ambao huwa Mnafiwa tafadhali mkiwa mnahojiwa acheni kuchanganya Kiingereza na Kiswahili kwani Mnaboa japo mnadhani ni Sifa

    Sasa kama mnajua Kuzungumza Kiingereza kwani huwa hamkizungumzi moja kwa moja badala yake mkikwama katika Mahojiano yenu huwa mnarejea katika kuzungumza Lugha ya Kiswahili ambayo naamini ndiyo mnaimudu zaidi na ingeweza kuwafanya mkaeleweka vyema na Waombolezaji kuliko hicho Kiingereza ambacho...
  7. The Burning Spear

    Je, CCM imebaliki Hayati Magufuli kuzalilishwa na kuleta fedheha kwa wanafamilia wake?

    Najua Chini ya uongozi dharimu wa CCM Raisi analindwa akiwa hai hadi kaburni. Sasa huu utaratibu wa kumsimanga hyati umeamzia wapi. Je, CCM inapata faída gani na haya yanayoandikwa au tuamini Kweli CCM huwa wanaua watu ikulu. My Big concern ni kwa wanafamilia ya Magufuli maana Naona Mzee...
  8. matunduizi

    Wanafamilia wanaopiga magoti kusali pamoja wanauwezekano mdogo sana wa kugombana hovyo

    Kugombana kwa wanandoa ni jambo la kiroho na linamalizwa kiroho. Baba na mama wanaosali pamoja kabla ya kulala au asuhubi kabla ya kutawanyika wanajiweka katika uwezekano mkubwa wa kutogombana hovyo. Kuna majini maalumu kwa ajili ya kuchafua ndoa (demons of strife). Unapoendelea kuchochea onbwe...
  9. B

    Barabara ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami?

    Natoka Mwanza kwenda Mbeya, Kwa private drive. Wenyeji wa njia ya Tabora kwenda Mbeya Kuna lami? Wanafamilia msaada kwenye tuta.
  10. Suley2019

    Sekeseke kati ya Polisi na Wanafamilia laibuka katika harakati la kufukua mwili wa marehemu kupimwa DNA

    Mwili unaogombaniwa na familia mbili ambao ulizikwa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, umefukuliwa leo kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya vina saba (DNA). Mwili huo unaodaiwa kuwa wa Richard Shoo, (31)aliyefariki Juni 16,2024 na kuzikwa...
  11. B

    Nimewagomea Wanafamilia tusichangie Harusi ya Kaka bali tuchangie mdogo wetu masomo na Nyumba tumalizie. Wamefura nimelikoroga

    Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani. Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge. Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka. Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka...
  12. G

    Family business: Mke wa kamshika masikio kaka, anazidi kuingiza ndugu zake, ndio mwanzo wa hostile takeover ??

    kuna family business ya close relatives naona inakoelekea sio kuzuri and i am so concerned, Binafsi nimepewa huu mkasa na moja wanafamilia ila nikaona mawazo yangu pekee yanaweza yasitoshe. OK ipo hivi.... Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie. Kaka mwenye nafasi kubwa...
  13. BARD AI

    Ajali ilivyoua wanafamilia watatu wakienda kuzika Dar

    Watu watatu wa familia moja wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana mkoani Mtwara huku ikibanikia watatu hao ni familia moja waliokuwa wanakwenda kwenye maziko jijini Dar es Salaam. Dereva aliyekuwa anaendesha gari iliyokuwa imebeba wanafamilia hao anadaiwa...
  14. M

    TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

    Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu. Dunia tunapitia ama kweli😭😭😭
  15. J

    Rais Samia aagiza Wazazi waliofiwa na watoto 4 kwenye ajali watibiwe kwa VIP Class Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote nchini!

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa sana na vifo vya wanafamilia 4 waliofariki kwenye ajali huko Mbwewe Chalinze. Chalamila amesema Rais Samia anajua kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea watoto wao hawa waliofariki, hivyo ameagiza wazazi hawa wawe...
  16. R-K-O

    Kwa hawa watu wanaobadili dini, Ndugu na wanafamilia wa dini tofauti wajiandae kwa lipi kwenye mazishi yao?

    MKASA WA BINTI MKRISTO ALIEBADILI DINI: Nimeshawahi kushuhudia mvurugano wa hali juu kwa suala hili kutoka kwa familia za wanandoa, Bint wa kimakonde Mkristo alikubaliwa na wazazi wake abadili Dini ili aolewe na kijana Muislam, Shida ikaja pale bint alipofariki, ndugu za mume wanataka kumzika...
  17. sky soldier

    Kwanini watanzania wanapuuza ndugu zao kwenye shida zinazowaua, lakini huwa na umoja misibani?

    Inaweza kuwa mtu hana chakula, kaomba msaada wa chakula kwa kaka, dada au ndugu zake lakini bila bila, afe sasa !! hata kama msiba upo mtwara, ndugu waliopo kagera watafika na kuchangia . Inaweza kuwa ni ugonjwa, mgonjwa kaomba msaada wa matibabu lakini anafungiwa vioo, ni mpaka afe ndio ndugu...
  18. BARD AI

    Auawa na Wanafamilia akidai Tsh. 6500/-

    MKAZI wa Mtaa wa Nyakabungo, Nyamagana mkoani Mwanza, Peter Domini, ameuawa kwa kushambuliwa na kupigwa na kitu chenye ncha kali wakati alipokwenda kwa jirani yake kudai Sh. 6,500. MKAZI wa Mtaa wa Nyakabungo, Nyamagana mkoani Mwanza, Peter Domini, ameuawa kwa kushambuliwa na kupigwa na kitu...
  19. Sultan MackJoe Khalifa

    Leo ni Real Madrid Vs Man City wanafamilia wa soka mpo?

    wapenzi wa soka leo ni Madrid Vs Man City wanaanza rasmi safari ya kumaliza ubishi ipi timu bora kwenye michuano ya champions league msimu huu 2023/2024. kuna wanaosema bingwa wa champions msimu huu atatoka kwenye moja ya hizi timu za awa majini! haya sasa washkadau tupieni hints chache kulekea...
Back
Top Bottom