Katika jamii kama hizi, fedha imepewa thamani kubwa kuliko Familia, Pesa ndiyo inayopima heshima. Pesa ndiyo inayofungua milango. Pesa ndiyo inayokufanya uitwe ndugu.
Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini
Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina mabilioni, wengine wapo mbioni kununua ndege, wengine wana magari ya mamia ya maelfu ya madila, n.k...
Nimeota kama kilivyou kuwa kifo cha Rais wa Iran kwenye ajali ya helikopta na vifo vya viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah vilivyoanza kufuatia ndio itakuwa Malawai
Naombeni tusaidiane
Unaweza kumsamehee mtu aliyekuibia haki yako ya kupiga kura,na bado akakuulia wanafamilia wako waliokuwa wanadai haki na bado asikukabidhi mili yao akaitupa kama mizoga
Haki ya Mungu sitakuja kumsamehe mtu kama huyu, mbona Tundu Lissu hamkumsamehe kipindi kile
Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano, idadi kubwa inasema haitaki kupoteza urithi wake wa watu na mali uliotafutwa miaka kenda iliyopita...
Sasa kama mnajua Kuzungumza Kiingereza kwani huwa hamkizungumzi moja kwa moja badala yake mkikwama katika Mahojiano yenu huwa mnarejea katika kuzungumza Lugha ya Kiswahili ambayo naamini ndiyo mnaimudu zaidi na ingeweza kuwafanya mkaeleweka vyema na Waombolezaji kuliko hicho Kiingereza ambacho...
Najua Chini ya uongozi dharimu wa CCM Raisi analindwa akiwa hai hadi kaburni. Sasa huu utaratibu wa kumsimanga hyati umeamzia wapi. Je, CCM inapata faída gani na haya yanayoandikwa au tuamini Kweli CCM huwa wanaua watu ikulu.
My Big concern ni kwa wanafamilia ya Magufuli maana Naona Mzee...
Kugombana kwa wanandoa ni jambo la kiroho na linamalizwa kiroho.
Baba na mama wanaosali pamoja kabla ya kulala au asuhubi kabla ya kutawanyika wanajiweka katika uwezekano mkubwa wa kutogombana hovyo.
Kuna majini maalumu kwa ajili ya kuchafua ndoa (demons of strife).
Unapoendelea kuchochea onbwe...
Mwili unaogombaniwa na familia mbili ambao ulizikwa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, umefukuliwa leo kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya vina saba (DNA).
Mwili huo unaodaiwa kuwa wa Richard Shoo, (31)aliyefariki Juni 16,2024 na kuzikwa...
Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani.
Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge.
Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka.
Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka...
kuna family business ya close relatives naona inakoelekea sio kuzuri and i am so concerned, Binafsi nimepewa huu mkasa na moja wanafamilia ila nikaona mawazo yangu pekee yanaweza yasitoshe.
OK ipo hivi....
Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie.
Kaka mwenye nafasi kubwa...
Watu watatu wa familia moja wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana mkoani Mtwara huku ikibanikia watatu hao ni familia moja waliokuwa wanakwenda kwenye maziko jijini Dar es Salaam.
Dereva aliyekuwa anaendesha gari iliyokuwa imebeba wanafamilia hao anadaiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa sana na vifo vya wanafamilia 4 waliofariki kwenye ajali huko Mbwewe Chalinze.
Chalamila amesema Rais Samia anajua kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea watoto wao hawa waliofariki, hivyo ameagiza wazazi hawa wawe...
MKASA WA BINTI MKRISTO ALIEBADILI DINI:
Nimeshawahi kushuhudia mvurugano wa hali juu kwa suala hili kutoka kwa familia za wanandoa, Bint wa kimakonde Mkristo alikubaliwa na wazazi wake abadili Dini ili aolewe na kijana Muislam, Shida ikaja pale bint alipofariki, ndugu za mume wanataka kumzika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.