wanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM Yawazuia Wanachama Wake Kuvaa Sare za Chama Katika Mkutano wa Katibu Mwenezi,Amos Makala.

    Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo mjini Bariadi. Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa wanachama imeeleza kuwa walioalikwa...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zanzibar: Wanachama zaidi ya 200 na viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA

    Wakuu, Wanachama zaidi ya 200 wakiwemo viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA Zanzibar, wakilalamikia kile walichokiita ukandamizaji na upotevu wa mwelekeo ndani ya chama hicho. Uamuzi huo umetangazwa mbele ya waandishi wa habari na Atafat Hamad Ali, aliyekuwa Katibu wa Baraza la...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA wapokea wanachama wapya 3,000 pamoja na kuzindua kampeni mpya ya C4C

    https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kataa ubaguzi ndani ya CHADEMA yazidi kupuputisha maelfu ya wanachama

    Maelfu kwa maelfu wanakikimbia Chadema kwasababu ya sera za kibaguzi zinazo fanywa na Lissu na Heche. Wanachama wamekerwa sana kiasi kwamba wanajutia kuchaguliwa kwa Lissu na Heche kuwa viongozi. Siri za ndani ya Chadema zinafichuliwa na waliotoka ndani, hakuna siri tena chama kimebaki...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wanaoondoka CHADEMA ni waliokuwa Viongozi peke yao, Vipi Wanachama?

    Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea. Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi. Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanayo endelea CHADEMA ni matokeo ya kutodhibiti nidhamu ya wanachama wake

    Niende Moja kwa Moja kwenye hoja. Ili uweze kujenga jamii ya Heshima na Nidhamu kwenye taasisi yeyote ni lazima kuwe na miiko ya taasisi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema, kilifanya kazi kubwa ya kujijenga kisiasa kika sahau kujenga nidhamu kwa Wanachama wake. Ndani ya chama kila mtu...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

    Wakuu, Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bunge la Ulaya: Pesa zetu za Umoja wa Ulaya zinatumika kusaidia Serikali kandamizi Tanzania

    MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Brenda Rupia :CHADEMA inawatakia Kila la Kheri Wanachama Walio jihudhuru

    Chama kinawatakia kila la heri waliokuwa viongozi na wanachama waliotangaza kujiondoa leo. Tunatambua na kuthamini mchango wao katika kipindi walichokuwa nasi." "Chama kitaendelea kusimamia misingi yake na kuwatumikia wanachama waliobaki kwa kuendeleza juhudi za kujenga taifa letu. Milango ya...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kanda ya Victoria: Viongozi na wanachama waliohama ni makapi tu

    Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Kanda ya Victoria kimesema kipo imara na hakiwezi kuyumba kwani viongozi na wanachama waliohama hivi karibuni kwao ni kama makapi tu Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria Zacharia Obadi amesema viongozi hao walikuwa na makosa ya usaliti na kwamba...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM mna matatizo gani kwa nini mnalazimisha watu wawe wanachama wenu kwa kisingizio cha daftari la wapiga kura

    Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa. Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari. Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunduru: Wanachama 44 wa CUF na CCM wajiunga ACT

    Wanachama 44 wa CCM na CUF katika Kijiji cha Namiungo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamejiunga na Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu jana tarehe 1 Mei 2025. Wakizungumza baada ya kujiunga na chama hicho wamesema kuwa wamevutiwa na uzalendo wa Ado Shaibu...
  14. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnawaaibisha wanachama na chama chenu

    Hivi inakuwaje leo wale walikuwa wanajiasibu kwa mbwembwe za kuleta upinzani, ndio wanaokiita G55. Wanatoka wapi?? Dhamira yao ni ipi?? Si uchaguzi uliisha? Ni aibu sana kupingana viongozi wa Chadema kwa maslahi ya matumbo yenu. Hata huko mtakapohamia G55 hamtakuwa na Audacity ya kuleta...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songea: Viongozi watatu CHADEMA, Mwimbaji nyimbo za chama na Wanachama wawili wakamatwa na Jeshi la Polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kusini kimesemea viongozi wake watatu, mwimbaji nyimbo za chama na wanachama wawili wameshikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Songea Mjini. Taarifa ya awali iliyotolewa leo Aprili 21,2025 na CHADEMA makao makuu, imewataja viongozi hao kuwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joketi apokea zaidi wanachama 100 kutoka vyama vya upinzani

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Chama cha Mapinduzi Joketi Mwegelo amepokea baadhi ya Vijana kutoka vyama vya upinzani na kujiunga na Chama cha Mapinduzi kwenye Uzinduzi wa #samiafirsttimevoters kwenye Ukumbi wa Mikutano JNICC Posta Dar es Salaam Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa Simba tunapumbazwa na viongozi

    Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu Mwekezaji mkuu Mo mwenye 49% ameweka 20 billions ( hewa) miaka 10 haijawahi kuingiza kwenye account Muuza jersey J Rutty...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaomba siku 21 kujibu hoja zilizowasilishwa Mahakamani na wanachadema wanne kusimamisha shughuli zote za kisiasa za chama

    CHADEMA kimeomba muda wa siku 21 kujibu hoja za kisheria zilizowasilishwa Mahakamani na Saidi Issa Mohammed na wenzake watatu, waliowasilisha kesi Mahakama Kuu ya Tanzania, wakitaka Mahakama isimamishe shughuli zote za kisiasa za chama hicho hadi shauri lao la msingi litakaposikilizwa. Kuhusu...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche awataka wananchi kuunga mkono msimamo wa 'No Reforms No Election'

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa...
  20. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania WANACHAMA WA CCM NI WANAFIKI

    ....
Back
Top Bottom