Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?
HIi ni hoja nzito sana na sii ya kuchukuliwa kirahisi
Ili Chama cha Siasa kikue lazima kiwe na idadi kubwa ya Wanachama wenye wadhifa mkubwa katika nchi
Mbowe alizalisha viongozi...
Organisation of Islamic Cooperation (OIC), inayojulikana pia kwa Kiswahili kama Umoja wa Ushirikiano wa Kiislamu, ni shirika la kimataifa ambalo linalenga kukuza umoja, ushirikiano wa kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa na kijamii kati ya mataifa wa Kiislamu. OIC ilianzishwa mwaka 1969, na makao yake...
Pamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza kimyaaaaa. Si sawa. Jitafakari sana.
Mchango wako ni mkubwa kisiasa kwa taifa hili. Usiharibu historia...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea kusikilizwa, kwa madai kwamba ukumbi wa mahakama ni mdogo.
Wanachama hao wamelalamika kwamba kitendo hicho...
Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye, amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Manyara kutobweteka kuwa wagombea wao watashinda bila kufanya kampeni na kujitokeza kupiga kura Oktoba 29 mwaka huu.
Fredrick Sumaye, ambaye kwa sasa ndiye mratibu wa kampeni za uchaguzi za CCM mikoa ya Kanda ya Kaskazini...
Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni...
Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi kutoka Wilaya moja kwenda nyingine, tunatoa ndani ya Wilaya hiyo hiyo,,,siyo aibu kwa Chama...
Wakuu
Wanachama wa CCM wameandamana huko Sirari Tarime hadi Kituo cha Polisi wakitaka diwani wao Sinda Geteba aliyetekwa aachiliwe.
Soma > SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda
Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni sijui ndo mtapewa afu tatu ya maji 😂
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao.
Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili, secretariat yote ya chama chake ikafukuzwa.
Kadhalika, Monalisa Ndala ameshitaki ACT kwa msajili...
Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai kuna mambo yanayoendelea na yanachangia kukipunguzia nguvu chama hicho.
Wameyasema hayo August 19...
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimefanikiwa kupata wanachama wapya katika ziara ya kisiasa ya mtiania wa nafasi ya urais kupitia chama hicho, Salum Mwalimu, iliyofanyika leo Jumatatu, Agosti 18, 2025 mjini Makambako.
Miongoni mwa waliojiunga na chama hicho ni wanachama kutoka vyama...
Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu?
My friends, ladies and gentleman,
Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
Yanayoendelea sasa kwa Yanga na ambayo pia yamekuwepo Simba kwa baadhi ya viongozi wao kuwa wanachama waandamizi wa vyama vya siasa (hususani CCM) na kuleta mgongano wa kimaslahi kwa kulazimisha milengo yao ya kisiasa kuwa sehemu ya mienendo ya klabu wanazoziongoza, nadhani inapaswa liwe sharti...
Heading Isomeke ..Kuichukua, na siyo kuichukia
Vyanzo vikuu vya mapato vya CCM, kwa kiasi kikubwa, siku zote imekuwa ni uovu na ukosefu wa maadili. Kwa CCM, uovu huipatia mapato makubwa, ila hili la Yanga kuifanya chanzo kimojawapo cha mapato yake, linashamgaza sana.
Siku za nyuma, CCM...
Wagombea 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge mstaafu na Mbunge wa jimbo hilo, Hayati Job Ndugai. Tukio hilo limefanyika jana, Agosti 12, 2025.
Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.