wanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CHAKUHAWATA wajibu tuhuma za viongozi wao kugawana Tsh. Milioni 400 za michango ya Wanachama

    Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) kimejibu tuhuma kuwa kuna baadhi ya viongozi wa juu wa chama hicho wanafuja fedha za michango ya Wanachama kwa kugawana zaidi ya Tsh. Milioni 400. Kufahamu zaidi kilichosemwa kuhusu tuhuma hizo, soma hapa - CHAKUHAWATA wawageuza...
  2. JamiiForums Tanzania Chanzo cha matatizo ya Chama cha Walimu (CWT) sio Japhet Maganga

    CWT ilianza kupata mapengo muda mrefu hata kabla ya katibu Japhet Maganga. Kwa Japhet Yeye anaamini wanaomuhujumu ni viongozi waliopita, hasa katibu. Wapo wanaoamini siasa ya CWT inaathiri sana siasa za vyama vya siasa. Binafsi sioni kabisa hata ushawishi ilionao CWT kwa walimu. Wanachama wake...
  3. JamiiForums Tanzania Siku wanachama wa CCM watakapojitambua

    Kuna siku wanachama wa ccm watakapo jitambua kuwa:- 1. Watoto wao wamesoma wanazurura hakuna ajira. 2. Huduma za jijamii hazipo kulingana na mahitaji yao 3. Raslimali zipo ila zinamilikiwa na wachache 4. CCM ni familia ya watu wachache wanao ongoza mamilioni ya watu wasio na walio wanachama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ruzuku na pesa wanazopata ACT Wazalendo nilitegemea hawa wanachama wao walio na umasikini mkubwa wajengewe nyumba

    Huu ni umasikini uliokithiri
  5. A

    JamiiForums Tanzania Comrade Mwenezi Makonda karibu Kanda ya Ziwa

    Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima. --- Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul Christian Makonda atakuwa na ziara mahususi mkoa kwa mkoa kuanzia tarehe 9 hadi 14 Novemba 2023. Mikoa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama wake

    Ukimya sio Jibu, Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama. Ni miaka zaidi 20 Serikali na wanachama hawajatulia na CWT wanatoa majibu mepesi. Nakumbuka CWT ilijinasibu kuwatekelezea walimu mahitaji yao ikaahidi mambo mengi sana kama benk yao, majimbo yao, nk. Katika vikao...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

    Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe. Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Maandalizi muhimu kabla ya uchaguzi ili kuepuka kusema umeibiwa kura Chama chako kinaposhindwa

    Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili. Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Chama cha siasa kisichotofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilichokufa

    Yes, kama kichwa cha uzi kinavyosema" Chama cha siasa kisicho tofautiana mitazamo baina ya wanachama ni chama kilicho kufa". Chama chochote cha siasa hapa duniani ambacho wanachama wake wote wanakubalina kila kitu anachosema sema mwenyekiti au katibu bila pingamizi lolote hata katika mambo ya...
  10. JamiiForums Tanzania TLS, wanachama wenu wanafuata maadili ya uwakili au wanajiendea tu?

    IV. LAWYER AND JUDGE Lawyers and judges owe each other respect, diligence, candor, punctuality, and protection against unjust and improper criticism and attack. Lawyers and judges are equally responsible to protect the dignity and independence of the Court and the profession. l. I will...
  11. JamiiForums Tanzania Wanachama wa vyama vya siasa wafanyiwe 'recruitment' kabla ya kupewa uanachama

    Vyama vya siasa vinahitaji watu ili viwe hai bila kujali ni aina gani ya wanachama inao wapata, ndio maana hata mambumbu wakutupa wamekuwa wanasiasa na mbaya saidi wanapewa nafasi nyeti kuongoza jamii. Sheria ya vyama vya siasa ifanyiwe marekebisho kidogo kwamba kuwe na utaratibu maalumu...
  12. JamiiForums Tanzania Timu bora imepoteza mechi kwa penalti, mashabiki na wanachama msihuzunike mnayo timu bora msimu huu

    Najua wanachama na mashabiki mmehuzunika kupoteza ngao leo lakini huzuni yenu itakwisha siku sio nyingi! Yanga wameonyesha bado wanacho kikosi bora sana kuanzia beki na viungo but tatizo lipo kwenye final third, ambalo nafikiri kocha gamond anatakiwa alifanyie kazi, na aanze kumtumia Hafidh...
  13. JamiiForums Tanzania Mashabiki, wanachama wa Yanga wajitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Mloganzila

    Rais wa Klabu ya Soka ya Yanga Mhandisi Hersi Said amesema klabu hiyo katika kuelekea wiki ya wiki ya mwananchi imeamua kuwahamasisha mashabiki na wanachama wake kujitokeza kuchangia damu katika vituo vilivyoanishwa nchi nzima ikiwa ni sehemu ya mchango wa klabu hiyo kwa jamii. Mhandisi Hersi...
  14. JamiiForums Tanzania NHIF yakamata kadi 1,346 zinazotumika na wasio wanachama wake

    Kumbe si kila anayekwenda hospitali na kadi ya bima ya afya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kupata huduma ni mwanachama wa mfuko huo. Wapo wanaofanya janjajanja ya kuazima kadi za wanachama na hatimaye kwenda kupata huduma ilhali si stahiki yao. Hilo linathibitishwa leo Jumanne Julai...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati tukiendelea kujadili mkataba wa DP World, wanachama wa Chadema tunataka iweke hadharani mkataba wa ununuzi wa jengo la Ofisi

    Mimi mwanachadema, na kwa muda Sasa tunapiga mdomo kuhusu mkataba wa Bandari na DP. Katikati ya mjadala, Kuna jengo limenunuliwa na chama chetu kwa mabilioni. Chama hakijatueleza nani alifanya uthamini wa jengo akapata thamani hiyo, nani katuuzia, fedha imelipwaje, na mkataba wa ununuzi uko...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Zaidi ya wanachama 500 wapya wajiunga CCM Jimbo la Kawe

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt. Josephat Gwajima (MNEC) ameandikisha zaidi ya wanachama 500 Wapya wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Bunju Mtaa wa Boko Chama 02-07-2023
  17. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaingia makubaliano na Klabu ya Yanga kusaidia Usajili wa Wanachama na Mashabiki

    Benki ya CRDB imeingia mkataba wa makubaliano na Yanga kutoa kadi kwa wanachama wa klabu Yanga katika kuongeza ufanisi wa usajili na masuluhisho ya kifedha. Akizungumza wakati hafla kusaini makubaliano hayo iliyofanyika Julai 1, 2023, Afisa Mkuu wa Biashara Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Simba mnakwenda na bajeti ya bilioni 13 iliyopitishwa na wanachama kwenye mkutano mkuu au mnaenda na bajeti ya bilioni 24 ya kwenye hafla ya ubwabwa?

    Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza leo bwana CEO kajula anawadanganya wabunge eti bajeti wametenga bilioni 24!!!??? Baada ya yanga...
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Chillo - Wanachama wa SADC ni Vyema kuwa na Sauti ya Pamoja

    NAIBU WAZIRI KHAMIS CHILLO AHIMIZA WANACHAMA WA SADC KUWA NA SAUTI YA PAMOJA Tanzania imezihimiza nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuendelea kushirikiana katika utekelezaji wa Mkataba wa Biashara ya Kimataifa wa Wanyama na Mimea iliyo hatarini kutoweka (CITES) ili...
  20. JamiiForums Tanzania Mifuko ya Hifadhi ya Jamii yapewa siku 60 kuwalipa Wanachama wake

    Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, imetoa agizo hilo ikiwa ni siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanachama wake. Wizara hiyo imeagiza Majina ya Waajiri wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…