wamachinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya Wamachinga, Nahisi mlioko Bondeni mtabomolewa. Jiandaeni!

    Wamachinga sasa wanataabika, Bondeni mtabomolewa muda siyo mrefu, jiandaeni. Tafuteni mbadala mapemaaaaaa.
  2. Utatuzi wa wamachinga ilikuwa ni kuwatoza kodi. Hiyo ndo ingeleta Win-Win kwa machinga na Serikali

    Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
  3. Viongozi wa machinga Dar wakumbana na vurugu wakiwapanga wenzao

    Viongozi wa Machinga Dar es Salaam walijitolea kuwapaga wamachinga wenzao wa Msimbazi, Kariakoo ili kutii amri ya Serikali ya kutofanya biashara maeneo yasiyo rasmi. Baadhi ya machinga wameonesha upinzani kiasi cha kuzua vurugu ambapo polisi walilazimika kuingilia kati ili kuwaokoa viongozi...
  4. Vyombo vya habari vinewasaliti Wamachinga na Watanzania

    Kwa taarifa zilizopo ni kwamba serikali imeviziba mdomo vyombo vya Habari visimulike zoezi la kuhamisha wamachinga. Hili suala linafanyika kimyakimya huku ndani yake kukiwa na maumivu makali sana juu ya Maisha na mitaji ya wamachinga. Lililopo Nyuma ya pazia ni kwamba: Wengi wanapoteza...
  5. M

    Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar

  6. Je, Utulivu wa wamachinga katika msimu huu wa kutolewa, ni matokeo ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli?

    Zamani ilikuwa ni ugomvi. Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita. Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa. Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa. Aliyebuni hii mbinu anaakili...
  7. Tamko la kuondoa wamachinga mijini liende sambamba na kuwaondoa watoto wa vigogo kwenye ajira Serikalini

    Inasikitisha mno, Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake. Wakati haya yakiendelea. Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini. Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna. Lakini wanapotaka...
  8. F

    Historia inapiga king’ora kwa suala la Wamachinga duniani, nani anasikia?

    Dunia iko kwenye mapinduzi ya nne ya viwanda (4th Industrial Revolution) ambapo matumizi ya teknolojia ya kisasa yanachukuwa nafasi kubwa kwenye uzalishaji na ubora wakati hasara ya mapinduzi haya ya nne ni rasilimaliwatu kukosa fursa za ajira ambazo zimechukuliwa na teknolojia (mashine na...
  9. Serikali iangalie kuhusu kufukuza wamachinga walemavu

    Kama Mama Samia ameamua kuondoa watafutaji wa mitaani yani wamachinga. Ni sawa. Ila nafikiri angewatzama kwa jicho la huruma wamachinga wenye ulemavu ambao hawawezi kubeba mizigo wala kulima. Kuwaondoa watu wa namna hii ni ukatili mkubwa sana. Naiomba serikali ya Mama Samia iwawekee utaratibu...
  10. F

    Tuwauze Wamachinga ughaibuni.

    Kama taifa, ninashauri tutengeneze mkakati mzuri wenye tija tuwauze Wamachinga nje ya nchi kama #nguvukazirahisi (wakafanye kazi zile ambazo ni labour intensive/mitulinga lakini wanaretain uraia wao wa Tz) ikiwa hatuna mpango maalum wa kuwatumia hapa nyumbani. Mbona Wachezaji wanauzwa! Korea...
  11. F

    Uamuzi wa kuwaondoa Machinga mitaa ya Dar es Salaam urejewe upya

    Uamuzi wa kuondoa wafanyabiashara wadogowadogo almaarufu Machinga 18 Oktoba, kwa maoni yangu una gharama kubwa kuliko faida/manufaa na kwamba unastahili kupitiwa/kudurusiwa upya. Gharama ziko kiuchumi, kijamii, kiusalama na kisiasa. Sipingani na uamuzi huo, ni mzuri tu, isipokuwa nadhani...
  12. Ni vita kati ya Wapigakura na Walipakodi. Mwamuzi anawataka wote, ila mmoja zaidi

    .
  13. DC Jokate, ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO

    TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga...
  14. J

    Temeke gulio kutoa fursa adhimu kwa wadogo (wamachinga) wilaya ya Temeke

    TEMEKE GULIO KUTOA FURSA ADHIMU KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO (WAMACHINGA) WILAYA YA TEMEKE - MHE.JOKATE MWEGELO Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe.Jokate Mwegelo ,Leo Oktoba 13 ametangaza rasmi kuja na kampeni ya TEMEKE GULIO itakayotoa fursa adhimu kwa wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kuweza...
  15. Suluhisho la msongamano wa magari na changamoto ya wamachinga jijini Mwanza

    Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere. nini kifanyike? Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
  16. P

    Usumbufu wa malori Kariakoo unazidi wa wamachinga

    Malori yanekuwa msaada mkubwa kwa usafirishaji wa bidhaa mbalimbali kutoka Dar kwenda sehemu mbali mbali za Tanzani na nje ya Tanzania. Tatizo ni jinsi yanavyohudumu hapo katikati ya mji yaani kariakoo, ni shida kiasi mitaa mingine huwa inafungwa tena kuanzia asubuhi hadi usikua kulia lori...
  17. Suala la Wamachinga limefika Pabaya

    Kama kaawaida kuna ambao wanataka kutumia huu kama mtaji wa kisiasa. Wamachinga walikuwa bad handled before tusiendelee kukosea. Hakuna Jiji au Mji ambao hauna mipango au utaratibu. Kuwaacha tu wakae au wafanyanye watakavyo si sahihi. Mnaopiga kelele hebu ruhusuni waje waweke nyumbani kwenu...
  18. M

    Siku hayati Magufuli aliposimama imara kutetea wamachinga, mbele ya Samia

    Siweki neno: Lakini ukitaka kujua kwa nini wamachinga walimlilia sana, kujitokeza kwa wingi njiani kumzika ni hii hapo juu Hata Rais wa awanu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi wakati akisoma Tanzia yake huko Chato, alimsifu Hayati kwa kutowasumbua wamachinga kwenye utawala wake! Wamachinga...
  19. Waandishi msiwachonganishe wamachinga na Serikali

    Wamachinga ni watoto wetu, wajukuu zetu, wapwa zetu, kaka, dada zetu, na jamaa zetu, wanatoka makabila yote na mikoa yote nchini Tanganyika na Zanzibar, hivyo hakuna mwenye chuki nao binafsi. Wamachinga wamejikuta pale walipo na kufanya vile wanavyofanya kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo...
  20. Polepole na Musukuma tuacheni na machinga wenu nasi tupumue

    Kumejitokeza wanaccm wanaoamini kuwa nchi hii ya wanaccm na wao wakisema sisi watwana tufuate. Musukuma anashiriki biashara za machinga Kariakoo amekuwa akiwatetea wamachinga akimtumia Polepole kumuunga mkono na kumshambulia Mkuu wa Mkoa Makalla. Suala la wamachinga limeanzishwa na sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…