Habari za jioni wakuu, Kuna gari moja katika pita zangu nimekutana nayo, ni subaru Forester SH9 (S-edition ) Engine yake ni Turbocharged 2500cc , kwa wanaoifahamu gari hii nilipenda nipate details kama vile Drivability, Maintenance (je, spare kama inaingilianana Sh5 XT) , engine Reliability...