Haya tuambie kwenye pitapita zako ulipokutana na Loose Ball nini kilikupata au ulifanyaje?.
NB: Loose Ball ni kitendo au tukio ambalo linatokea kwenye uwanja wa Basketball sasa kuna kipindi mpira huo unakua hauna mtu wa timu yeyote anaeumiliki yaan unazagaazagaa tu uwanjani yeyote anaweza...
BBC.
1. Uhuru Kenyatta (Kenya)
Uhuru Kenyatta Rais mstaafu wa Kenya. Alifunguliwa mashitaka Machi 2011 kwa makosa matano ya uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Kenyatta alidaiwa "kulidhibiti kundi la Mungiki" na kulielekeza kufanya mauaji, uhamisho, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa...
Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote!
Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
Habari wakuu wa JamiiForums,
Kwa heshima na taadhima, napenda kushiriki nanyi taarifa njema kwa wale wote wenye magari na ambao wamewahi kupata huduma kutoka Jerry Spare Parts & Services, kampuni inayopatikana Makumbusho, Dar es Salaam. Kama sehemu ya shukrani kwa wateja wao waaminifu, kampuni...
Happa ndipo tunaona umuhimu wa kuwa na strong independent Judiciary, Bunge and other governing institions to be independent of the executive.
Kwa mwendo wa trump, huyu ni dictator wa kutupwa kms wa hapa kwetu
Most Americans Describe Donald Trump as 'Dangerous Dictator'—New Poll
Published May...
Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani na kusomewa shitaka la uhaini, kumekuwa na hisia tofauti kuhusu kosa hilo, hasa ikizingatiwakuwa kiongozi huyo amekamatwa akiwa kwenye mikutano ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiiliko Hakuna Uchaguzi), inayofanywa na Chadema...
Ni mashine ya kukaanga karanga.
Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi.
Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
1: Kutoa virus kwenye computer
2: Usambazaji wa Vifaa vya solar
3: Internet cafes
4: Uzaaji wa vocha jumla
5: Kusomea na kufahamu lugha nyingin (eng, frnc, chinese,etc)
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Kwema wana JF,
Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa...
Habari za asubuhi waungwana......
Wakati mwingine kukaa bila kazi ya kufanya inafanya kichwa kizurure kifikra na kupitia mawazo mbali mbali.......
Katika kuzurura huko kimawazo nikajikuta nimewakumbuka baadhi ndugu, jamaa na marafiki ambao imetokea wameangukia kwenye pendo la hawa wadada wa...
Naombeni msaada mfano wa maswali kwenye written interview kwa waliowahi kufanya interview kama data analyst, pia system developer angalau tupate pa kuanzia
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili.
Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
Kwa mtu aliyewah kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu aje atoe experience. Nikiona mtu anatangaza kupotelewa na ndugu ua nashikwa na uchungu sana mpaka najiuliza nduguze hali ikoje.
Wakuu habari,
Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu?
Natanguliza shukrani
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga
Ukristo kwenda uislam
2. P Funk - Producer
Ukristo kwenda uislam
3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira
Uislam kwenda Ukristo
4. Barnaba - Msanii wa Muziki
Ukristo kwenda uislam
5. Mwijaku - journalist infuencer
Ukristo kwenda uislam
6. Young killer -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.