waliopewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Mapokezi waliopewa Yanga Zanzibar yatawatoa mchezoni na kupoteza mchezo dhidi ya Far Rabat

    Nimeshangaa wale watu wa bandarini pale Zanzibar wakiwafanyia harassment wachezaji wa Yanga na kuwaweka juani muda mrefu Wale walinzinwamegoma kuwaruhusu kupita ati hawana vitambulisho Yaani hapo Zanzibar napo wachezaji wagonge passport Zanzibar mnajikuta nani awamu hii? Yaani mnamgomea...
  2. U

    Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
  3. M

    Wale Waghana Waliopewa Uraia hawakutufaa CHAN?!

    Mapema mwaka huu kuliinukantaarifa kuwa Kuna Waghana waliokiwa Singida Bug Star wamepewa Uraia ! Hivi Kati Yao hakuna hata Moja aliyetufaa kucheza CHAN ? Naona Timu yetu ina First Eleven ,kweli kweli nje ya hapo ,ni majanga! Kila nikiwangalia Waarabu wa Morocco naogopa fedheha!
  4. funaku

    Vijana wa late 70s na 80s waliopewa fursa za Uongozi lakini wamekengeuka

    Ni wazi lipo rika la vijana ambalo ndio tunalitarajia lituvushe katika kipindi cha miaka 30 hadi 40 ijayo. Wapo waliobahatika kuingia kwenye korido za Chama na Serikali...ingawa baadhi yao hawana vifua vya chuma. Hapa naongelea uropokaji wa vijana hawa both ndani ya CCM na ndani ya vyama vingine...
  5. M

    Maalim Seif na Tundu Lissu, wanasiasa waliopewa vipaji vikubwa

    Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita. Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam mwenye akili sana Tanzania, asiweza kukata tamaa na Licha ya madhila makubwa aliokumbana nayo ni mtu...
  6. The Dictator

    Kwa nini binadamu tulinyimwa uwezo kama waliopewa viumbe hivi?

  7. The Palm Beach

    Matendo ya polisi Mahakama ya Kisutu jana, yanafanana kundi la vichaa waliopewa marungu na kuachiwa watembee mitaani kumpiga kila waliyekutana naye..!

    Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..." Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi.... Ikitokea kuna...
  8. Determinantor

    Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

    Yale MASHETANI YA CCM KWA KUTUMIA MASHETANI YA POLISI YAMEAIBIKA THOUGH KWA KUCHELEWA Wanachama wa CHADEMA, Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga, wakazi wa kata ya Dutwa, Wilaya ya Bariadi, walihukumiwa kitumikia kifungo cha maisha gerezani. Katala Kikaja na Ng'hulima Lilanga walikuwa mawakala wa...
  9. N

    Magambo kutoka Geita, kawafunika wote waliopewa mikopo na serikali

    Nipo hapa nafuatilia mkutano mkuu wa CCM. Magambo ndie msanii peke yake aliyeimba vizuri, msanii asiyebana pua, rapper kutoka mchangani lakini amewafunika wote jukwaan, kawafunika woote hao wasanii walipewa mikopo na serikali. Amewazid wote mpaka huyo almas, na tembo na kiba APEWE mkopo haraka...
  10. Waufukweni

    LGE2024 Tundu Lissu awakalia kooni Maaskofu waliopewa pesa na Rais Samia, ataka warudishe "Hana tofauti na Yuda, hiyo pesa ina laana"

    Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu. Pia, Soma: Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Ndugu Covax ninawajua wanaume wengi waliopewa mitaji na wake zao lakini wakashindwa Kufanya biashara. Hiyo dhana yako sio sahihi

    Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika. Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa asilimia 99%. Soma pia: Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara...
  12. R

    Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

    Salaam,Shalom, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi. TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Waliopewa dola ili kudhibiti rushwa na dhuluma wanakiri hadharani kuwa dhuluma imezidi. Hii ni aibu kubwa

    Maana yake ni kuwa watu wanadhurumiwa haki zao kila mahala. Polisi wanabambikia watu kesi, wanyonge wanadhurumiwa ardhi, bila kuwa na connection hupati kazi. Hii ni tafsiri tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao. Rais ajiuzulu na uchaguzi halali uitishwe
  14. excel

    Waliopewa hii elimu hawawezi kushindwa kujitegemea.

    Kwa kweli enzi hizo maisha yalikuwa bam bam.. unapewa maelekezo na wazazi kibabe sana.. wahenga mnakumbuka?
  15. R

    Waliopewa kazi ya kupiga picha za Mikutano ya CCM kwanini wanapiga watoto(wanafunzi) picha badala ya watu wazima?

    Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima? Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga...
  16. Allen Kilewella

    Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  17. GENTAMYCINE

    Tanzania imekuwa na Wakuu wa Majeshi wengi kwanini waliopewa Magari na Rais ni Waitara na Mboma tu?

    Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
  18. funaku

    Wafanyabiashara wasitake kutumia uhuru waliopewa vibaya, walipe kodi

    Kamwe kama Taifa tusijaribu kuentartain upuuzi wa kukwepa au kutolipa kodi. Mhe. Rais Samia amelegeza masharti ya ufuatiliaji wa ulipaji kodi kwa kundi hili ili kuondoa manung'uniko yaliyotokea katika awamu ya Magufuli. Wengi wa wafanyabiashara walilalamikia mfumo wa ukusanyaji wa kodi kwamba...
  19. Nyankurungu2020

    Tangu tupate Uhuru, leo hii Taifa letu limefika pabaya. Waliopewa madaraka kulinda na kutetea rasilimali za umma ndio wanatuibia na kuteteana

    Ibara ya 27 ya Katiba ya JMTinatamka wazi kabisa kuwa kila kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda rasilimali za umma. Lakini tofauti na hilo kila kona ufisadi umetamalaki. Tunadokezwa kuwa kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia Tanesco wahusika wanajulikana ila ndio hivyo wanabebana na...
  20. HIMARS

    Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
Back
Top Bottom