walinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    UDOM: Madai ya Walinzi wa geti la kuingia chuo kuchukua fedha kwa Bajaj na Bodaboda yanafanyiwa uchunguzi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Maafisa Usalama wanaosimama katika geti la kuingia Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuwasumbua wanaopita hapo hasa Boidaboda na baadhi kuwataka watoe fedha taslim, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo hicho. Mdau alihoji uhalali wa fedha...
  2. A

    KERO Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

    Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa. Ni uonevu mkubwa sana hilo suala...
  3. A

    DOKEZO Walinzi wa getini Msamvu Bus Terminal wanalazimisha kulipa Sh 300 hata kama una tiketi ya mtandaoni

    Ukilipitia tiketi online, automatically utabakiwa na muamala wa malipo, unapofika stendi uendako kama huna risiti utatakiwa ulipie shilingi mia tatu getini. Kwani kulipia ticket online na kulipia ofisini kuna tofauti gani? Ukionesha SMS ya malipo hawataki, wanataka risiti ya tiketi ya EFD...
  4. M

    Ikitokea makomandoo wa Marekani na Israel wakitaka kumkamata kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika Mashariki walinzi wake wataweza kuzuia?

    Trump anatumia sana ubabe. Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo. Nini kitatokea?
  5. R

    Bashiru afanya ziara ya kushtukiza mnada wa Igunga akuta walinzi hawalipwi

    Akiwa safarini kuelekea mkoani Singida, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mnada wa mifugo wa Igunga mkoani Tabora ambapo amebaini changamoto ya aliyekuwa mzabuni wa mnada huo kwa upande wa ulinzi kampuni ya Emma Security kutowalipa wafanyakazi wake.
  6. ELI COHEN

    VIDEO: Trump akielezea kwa kina namna alivyokabiliana na walinzi waki-cuba waliokuwa wanamlinda Maduro ikulu

    MCHEKE BASI KIDOGO NA NYIE.. 🤣🤣
  7. mcTobby

    Kuna muda nikiwatafakari Walinzi wa karibu wa baadhi ya Marais, huwa nawakosea majibu

    Leo nilikuwa napekua historia ya dunia huko mtandaoni katika kuilisha ubongo chochote kitu , nikajikuta nawatafakari sana Marais ambao mwisho wao ulikuwa mbaya sana. Tukianza na Gaddafi , Huyu alikutwa kwenye Calvert peke yake hana mlinzi wake wa karibu ambaye tuseme angesimama naye hadi...
  8. Waufukweni

    Kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka Tanzania kuendeleza operesheni DRC

    Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
  9. Lord Denning

    JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

    Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya. Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi...
  10. Chui mnyama

    Walinzi wa uwanja wa Mkapa ni mzigo

  11. Echolima1

    Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: Abwabwaja kuishambulia Israel bila kusita!

    Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: "Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu." “Mytake” Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi...
  12. Kibo10

    Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    PART 1 Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
  13. U

    Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz,

    Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na...
  14. A

    KERO Walinzi wa viwanja vya Mnazi Mmoja wamekuwa kero

    Siku moja natoka kazini (4 June 2025) nikakutana na mpenzi wangu maeneo ya mnazi mmoja hospital, kutokana na kelele zilizokuwepo pale nje ikabidi tusogee uwanjani kwakuwa kuna mwanga na usalama zaidi. Kitendo cha kufika pale, walikuja vijana wawili ambao wamevaa kiraia, walifika kwa matusi na...
  15. L

    PICHA: Tazama Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Umakini Kumlinda

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya...
  16. Waufukweni

    VIDEO: Wasiojulikana wavamia Chumba cha Waamuzi, sintofahamu yazuka na Walinzi wa Simba baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho

    Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
  17. GoldDhahabu

    Nineamini na viongozi wa dini nao wanastahili kuwa na walinzi binafsi!

    Jana kuliripotiwa kutekwa kwa Mchunhaji mmoja jijini Arusha, .Mwl Steven Jacob na kisha kuja kupatikana baadaye kule West Kilimanjaro. Tukio hilo likenifikirisha, na kunifanya niutengue msimao niliokuwa nao siku za nyuma kuhusu ulinzi wa viongozi wa dini kama Wachungaji, n.k. Kabla ya hapo...
  18. mdukuzi

    Kwa jinsi alivyojibadilisha, nusura walinzi wa Chelsea wamzuie Ramirez

    Ramirez amezua balaa huko Stanford bridge Nusura walinzi wamzuie uwanja wa mazoezi wakidai soo yeye Kumbuka chelses na liverpool zimewakusanya malegend wao kukipiga mechi ya kirafiki Chelsea mlikuwa mnamlisha mihogo
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
Back
Top Bottom