walimu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuchagua walimu kwenye ajira ni VIZURI MNO lakini havifuatwi KIKAMILIFU

    Ajira za walimu ndo vizo zimeshatoka tayari na tunaipongeza serikali kwa kutoa ajira hizo. Vigezo vilivyotumika NAKUBALIANA NAVYO ila kwa bahati mbaya sana HAVIFUATWI kwa ukamilifu wake na nitatoa mifano. Vigezo hivyo ni: 1. Mwaka wa kuhitimu ni kigezo cha kwanza. 2. Waliohitimu mwaka mmoja...
  2. JamiiForums Tanzania Book Keeping, Commerce na Economics yawe masomo ya lazima ili vijana wajiajiri

    Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business. Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa: • Book Keeping • Commerce • economics • Computer Studies Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana...
  3. JamiiForums Tanzania Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    Wana JamiiForums habari za leo Nimeona nilete Uzi huu kwanii yamebaki Masaa machache waziri mwenyedhamana kutangaza majina ya waliopata kazi kulitumikia Taifa katika kada yavualimu na kada ya afya. Hivyo basi wale mtakao fanikiwa njooni hapa tujuzane . ili uweze kupata mwenzio, .au wa njia...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Serikali itolee ufafanuzi iliposema elimu bila ada kwa kidato cha tano, Mbona bado walimu hawajapelekewa fedha wala barua kuhusu jambo hili?

    Hivi majuzi wakati waziri wa fedha akiwasilisha bajeti kuu ya serikali bungeni alisema elimu ya kidato Cha tano na sita nayo itakuwa bila ada. Jambo hili ni jema na la kupongezwa lakini kuna kitu hakipo sawa. Wakati serikali ikitangaza hili jambo wanafunzi wanaokwenda kuanza form five mwaka huu...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mtendaji Kata na Mratibu Elimu Kata ya Kifuru(DSM). Kuhusu uzio Shule ya Msingi Kifuru, wafichieni aibu hawa Watoto na walimu wao

    Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha. Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye Walimu wa kujitolea kuna ukakasi ila Rais nimekuelewa

    Wanabodi nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee.. Kwanza nampongeza mh. raisi kwa maono marefu katika katika eneo la utumishi wa umma hasa kwenye kada ya elimu pamoja na ualimu wenyewe. Raisi ameona mbali sana katika ualimu. Katika kongamano la wanawake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hawa TAMISEMI vipi? Mbona ajira ya walimu ni kimya na akaunti za waombaji zote wamezifunga

    Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Juu wanazidi kukipromoti kiswahili, huku chini walimu sasa wanapewa barua za vitisho za kuhakikisha kiingereza kinazungumzwa mashuleni; imekuwa shida!

    Ilianza rasmi kipindi cha mh. jpm (r.i.p) ambapo kiswahili kilitamalaki kufikia kutumika kisawasawa afrika. Juzi hapa tena mh. Mwigulu alipokuwa anasoma bajeti, alikipromoti tena kwa kusema usaili fulani (nimesahau eneo rasmi alilolitaja) utakuwa unafanyika kwa kiswahili sasa na si kiingereza...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali kuboresha Vituo vya Walimu kwa lengo la kutoa fursa kwa Walimu kupata mafunzo wakiwa kazini

    Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu. Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji walimu wa 3 wa PCM

    Habari wasomi! Kama title linavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu watatu wa PCM ila wale wanawake ambao wanaishi DAR. Kuna project nataka nianzishe so nahitaji TEAM PCM. Hakikisha kuna somo moja wapo uko vizuri sana ili kila mwalimu adili na somo lake. Unaweza comment below uko vizuri kwenye...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Huyu mchungaji anayedharau walimu na kudhalilisha waumini akemewe

    Nimeona video ya huyu dada ambaye anaonekana kuwa ni mchungaji akiwa anahubiri kanisani. Jambo lililonisikitisha ni kitendo cha kudharau taaluma ya ualimu hasa walimu wa kike wa shule za Msingi. Kiongozi ni kioo cha jamii hivyo inatarajiwa kuwa maneno unayoyatoa yatakuwa ya kujenga na si...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Msingi Tandahimba awalazimisha Walimu Wakuu kuchangia mitihani ya utamilifu kwa pesa za mfukoni mwao

    Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
  13. JamiiForums Tanzania Namba za NIDA zitumike kuajiri walimu na wataalamu wa Afya

    Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani. Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
  14. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania wilaya ya Rombo auawa kikatili

    Inasikitisha sana mauaji kama haya kufanyika kwa mwalimu anayefundisha taifa la kesho. --- Picha: Mwalimu Turo Hiza enzi za uhai wake Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Wilaya ya Rombo na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Boma iliyopo Tarafa ya Mkuu Wilayani humo, Turo Hiza amekutwa ameuawa...
  15. JamiiForums Tanzania CWT inashusha ari ya Walimu

    WALIMU TUMEWAKOSEA NINI? Salam Kwanu 1.Mhe.Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan. 2.Mhe.Waziri Wa Utumishi na Utawapa bora..Jenista Mhagama 3.Mhe.Waziri Wa TAMISEMI...Innocent Bashungwa. Kwa miaka Zaidi ya Ishirini Walim wa nchi hii wamekuwa wakiwakilishwa na Chama kimoja cha Wafanyakazi kiitwacho...
  16. JamiiForums Tanzania Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

    ZAIDI ya walimu 50 wenye asili ya Kiafrika kwenye shule ya Sekondari ya The Agha Khan Mzizima wamegoma kuingia darasani kufundisha wanafunzi kwa kile walichodai kuwa uongozi wa shule hiyo umekuwa ukiwanyanyasa na kuwabagua kwa rangi. MwanaHALISI kupitia chanzo cha kuaminika kilipata taarifa...
  17. JamiiForums Tanzania Madhila ya Force Account: Mwalimu afungwa kwa kula pesa ya ujenzi

    Huko Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara, Mwalimu amefungwa kwa kula hela ya ujenzi wa madarasa ya shule yake. Haya ndiyo matokeo ya sra zisizo na mashko katika ujenzi. Badala ya fedha hizo kuonekana kama mtaji wa ujenzi, watu wanageuza kuwa fedha za kula. Hili limetokea sehemu nyingi sana nchini...
  18. JamiiForums Tanzania TAMISEMI:- Idadi kubwa ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa hawako vituoni

    Idadi kubwa ya walimu waliokuwa hawana barua Za uteuzi kutoka Tamisemi , walipangiwa vituo vipya vya kazi hawajaripo kwenye vituo vyao vya Kazi vipya. Walioripoti kwenye vituo vipya walirudishwa tena kwenye Ofisi Za Halmashauri bila maelekezo kutoka Tamisemi. Source: TBC habari
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Nape, mmeamua walimu na wanafunzi wafanye kazi ya anuani za makazi bure baada ya halmashauri kutafuna pesa za kuwalipa waliofanya kazi?

    Hebu soma maagizo hayo hapo chini Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu. Kazi hii ya kuandika no inatakiwa kufanyika kwa siku 2 tu yani Leo Ijumaa hadi Jumapili saa sita usiku ndio mwisho. Ushauri wangu...
  20. JamiiForums Tanzania Taasisi za mikopo Mkoani Shinyanga zadaiwa kudhalilisha Walimu wanaoshindwa kumaliza marejesho

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema ametoa maagizo kwa Jeshi la Polisi kufuatilia na kuwachukulia hatua taasisi za mikopo zinazodaiwa kuwashikilia baadhi ya walimu katika vituo vyao vya kazi wanaposhindwa kulipa madeni yao. Kauli hiyo imefuatiwa baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…