wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Vyombo: Mnasubiri ya Zimbabwe na sisi Tanzania yatufike?

    Kilio changu na kupeleka kwa wakuu wa vyombo tunashindwa Nini? Mbona Zimbabwe waliweza kumuweka pembeni Mzee Mugabe. Tanzania ni kubwa sana kuliko kumlinda mtu Mmoja tukafikishana kununua mkate kwa Shilingi laki Moja tuanze kujikuta tunatumia Shilingi ya Kenya kwenye uchumi wetu ni vyema tu...
  2. JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani? Au ni mawe tu ya kawaida maana yametoka Mererani

    Kwa ushahidi zaidi napost video za hayo madini,ushauri wenu wakuu
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso? King La Jr
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii naweza kutumia bati na tofali ngapi. Nina Milioni 3 hapa

    Habari wakuu Hii ramani naweza kutumia bati ngapi na tofali ngapi? Kwa ujumla naweza kutumia tsh ngapi maana Nina million 3 hapa kibindoni
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

    Mimi ni winga wa electronics za aina zote. AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer. Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu. Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu. Niungeni mkono wakuu🙏 Nipo kariakoo 📍 For quick response Whatsapp 0617129135
  6. JamiiForums Tanzania Hii nchi imekosa wafikiriaji wakuu!

    Unataka watu wasigome ikiwa bado mnafanya siasa zakishamba!, mahitaji ya watu yapo serious we ndo kwanza unaleta wabunge wakununua gari la harusi!.. Hivi Tanzania yasasa ndo kusema wafikiriaji mmeshindwa kabisa kabisa..? Kama hivi ndivyo mnavyoendesha basi hili lazima liwalalie tu!, mnashindwa...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kulikoni sioni tena vitisho vya polisi na wakuu wa mikoa juu ya D9

    Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona. Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji. Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Genz wanazidi kutoa uchambuzi wa maadui wa Taifa tutoe maoni kama wako sahihi wakuu

  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

    Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili? Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa? Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania imeunga mkono ajenda zote katika Mkutano wa tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

    Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) Jijini Kinshasa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kushiriki nje ya mipaka ya Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tangu alipoapishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wazalendo na wakuu mlioko juu kabisa

    Nchi ikiwa imegawanyika..na raia wengi hawapendi mambo yanavyokwenda..na.wanakandamizwa..je? Haiwezi kua mwanya mzuri kwa maadui wa nje kupitia Humohumo kupitia kwa wananchi kuja kuingia nchi yetu kiulainiii kabisa huku wakipata sapoti ya wananchi?? Wa Tanzania hatuna mambo mengi..wala...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanasema waandamanaji Wana wivu na matajiri, mbona Mo Dewij na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao?

    Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo...
  14. JamiiForums Tanzania Orodha ya mawaziri wakuu wa Tanzania tangu mwaka 1961

    Hii ndiyo orodha ya Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Tanzania imekuwa na jumla ya Mawaziri Wakuu 12 hadi sasa, na hii leo, Novemba 13, 2025, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajiwa kupokea jina la Waziri Mkuu mpya, ambaye...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada; Nchi gani rahisi kupata uraia na kazi ukapata katika ukanda wa southern asia na nchi za Oceania

    Habari wakuu naombeni mnijuze nchi gani kati ya hizi zina uhaba wa watu na hasa watalaam wa fani mbalimbali na ukienda tunaomba uraia ni chap tu unapewa Kati ya Australia, Papua New Guinea, New Zealand, Fiji, Solomon Islands, Vanuatu, Vietnam, Laos, Brunei, Thailand, Myanmar, Philippines...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu hamna mtu mwenye connection ya mwanajeshi mtanzania yeyote wa nchi ya ulaya au marekani

    i
  17. JamiiForums Tanzania Tazameni hii Video wakuu: Gen Z Mbeya wanasherekea kumzika mwenzao , kwa Afrika Waasi ni Wazalendo waloamua pigania Haki zao

    Najaribu tu kuwazà, Kwa Hawa Vijana wenye Mzuka, wanaofurahia kuzika mwenzao, hawatishiki Tena na Kifo. Ongezea Silaha za Akina Abdul wanazonunua kwa Magendo . Daah wasengee wa CCM wameamua kulipasua Taifa Kwa Gharama ya Damu !!.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni link au nitagini na ule uzi wa vitabu vya hadithi

    Wakuu nisaidieni link ya uzi wa vitabu mbalimbali vya hadithi.au mkinitag nitashukuru pia.
  19. JamiiForums Tanzania kuna mchongo nausikilizia apa wakuu

    kuna mchongo nausikilizia apa wakuu
  20. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasaliti Wakuu Wa Taifa la Tanzania Waliolitumbukiza Kwenye Machafuko ya Mwaka 2025!

    Kwa maoni yangu, wafuatao ndio wasaliti wakuu waliolitumbukiza taifa letu kwenye machafuko lililomo hivi sasa. Wapo wengi, lakini mchango wa hawa ndio mkubwa zaidi. 1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Samia Suluhu Hassan 3. Hamza Johari (Attorney General) 4. Francis Mutungi (Msajili, Vyama Vya Siasa)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…