wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Magari ya wakuu wa mikoa na wilaya wanayaacha wakistaafu au wanaondoka nayo?

    Habari, Zile Gari za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanaziacha wakistaafu au wanaondoka nazo? Kuuliza siyo ujinga naomba majibu ya swali hilo hapo juu.
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu mdogo wangu anasaidikaje kwa haya matokeo?

    Kama tumavyojua matokeo ya kidato cha nne yametoka jana, Dogo amemaliza Moja ya shule za Ufundi yaani Technical School kwa matokeo yafuatayo; Div. III Pt 22 CIV - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'B' ENG SC - 'F' B/MATH - 'D' BLD CONSTR - 'D' ARCH DRAUGHT - 'D' BRI & MAS - 'D' Shule...
  3. JamiiForums Tanzania Kikao cha mbunge wa jimbo na wakuu wa shule (sekondari 27) za Musoma vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameomba kufanya KIKAO MAALUM na Wakuu wa Sekondari zote 27 za Jimboni mwetu. SEKONDARI 27: *25 za Kata/Serikali *2 za "private" (KATOLIKI & SDA) SIKU/TAREHE YA KIKAO: *Ijumaa, 3.2.2023 MUDA: *Saa 3 Asubuhi MAHALI: *Busambara...
  4. JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Alichondika Mdude kwenye ukurasa wa twitter. "Moja ya mapungufu ya katiba iliyopo ni kwamba, mtu kutokea Bara-Tanganyika hawezi kuwa mkuu wa wilaya Zanzibar lakini mtu kutokea Zanzibar anaweza kuwa mkuu wa wilaya Bara. Sasa huu ni muungano wa namna gani? Ndio maana tunahitaji #KatibaMpya kuondoa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi za msingi zilizosababisha Wakuu wa Wilaya wengi kiasi hiki kuhamishwa vituo vyao vya kazi?

    Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi. Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi? Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakuu wa Wilaya wengi vijana wameshindwa kuuweka ujana wao kwenye matendo?

    Tulitegemea uteuzi wa vijana uwe chachu ya mabadiliko lakini imekuwa kinyume chake; most of them it's like wakishateuliwa wakaingia ofisini wanaanza kujiandaa kutumbuliwa au kustaafu. Hatuoni kasi ya viongozi vijana kwenye maeneo yao ya utawala. Leo Rais amewatumbua baadhi nakuweka sura mpya...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya wanalipwa Tsh ngapi?

    Habarini. Naomba kufahamu mtu mwenye cheo cha mkuu wa wilaya analipwa pesa ngapi kwa mwezi. natanguliza shukrani?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wakuu wapya wa Wilaya

    Ndugu zangu watanzania, Kwanza niwapongeze Sana kwa dhati ya moyo wangu wakuu wote wa wilaya walioteuliwa na mh Rais wetu mpendwa mzalendo wa kweli Jasiri shupavu na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassan,Ni heshima kubwa Sana na Imani kubwa Sana mliyopewa na mh Rais, mmepata heshima hiyo Kati ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika leo, Januari 25, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika - Dakar chini Senegal leo tarehe 25 Januari, 2023
  10. JamiiForums Tanzania Uchafu kwenye bia ya Serengeti Lite imekaaje?

    Hii ndio tunanyweshwa uchafu
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100 ambao ni kama ifuatavyo: A)...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi waongoza msafara wa viongozi wakuu asubuhi hii walipowasili uwanja wa ndege wa Mwanza.

  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizungumza na Wawekezaji, Wadau wa Maendeleo na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023. Katika mkutano huo...
  14. JamiiForums Tanzania Rekodi mbalimbali za Mawaziri Wakuu wa Tanzania

    Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964. 1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980. Kwa mara pili...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ukuta huu uliopo Kikuyu Dodoma ni wa taasisi gani?

    Wakuu, huu ukuta upo Kikuyu Dodoma, Ni wa taasisi gani?
  16. JamiiForums Tanzania Tuinuane wakuu

    Habari,I hope mu wazima wa afya Mimi ,ni new member pia mfanyabiashara wa simu, haswa Samsung (refurbished) tutafutane kukiwa na mahitaji,nitapost thread ya aina za simu nilizo nazo pamoja na bei zake 🙏
  17. JamiiForums Tanzania Kikao cha Mbunge wa jimbo na wakuu wa shule (headmasters) za Musoma Vijijini

    KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE (HEADMASTERS) ZA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina jumla ya Sekondari 27 ambazo: Shule za Sekondari 25 ni za Kata/Serikali Shule za Sekondari 2 ni za Madhehebu ya Dini (SDA & Katoliki) Mbunge wa Jimbo ataitisha KIKAO cha...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma(Mwana FA) akutana na Wakuu wa Idara Muheza

    Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (MwanaFA) amekutana na Wakuu wote wa Idara na vitengo ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Muheza katika kikao alichokiitisha kwa wilayani humo. Lengo kuu la kikao ilikua ni pamoja na kuweka mikakati ya pamoja na kujadili changamoto zinazojitokeza kwenye Majukumu...
  19. JamiiForums Tanzania Nadhani wakuu wa mikoa na wilaya wa awamu ya tano walikuwa na kazi zaidi ya kazi zao

    Iweje wengi wahusishwe na uporaji, unyanyasaji, upokaji ardhi, mali, magari na mengi mabaya kinyume na katiba yetu? Kwa haya inanishawishi kuona ya kwamba viongozi hawa huenda walikuwa chini ya agenda maalumu na mkakati madhubuti wa sirini including illegal cash collections na kadhalika.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada kutoka kwa mwenye uelewa wa kozi hizi

    Habari wakuu nilikua naomba kujua kozi ya B. Com in Human Resources Management vs B.com in Marketing znahusiana na nini na ipi iliyo marketable kidogo? Naomba kuwasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…