wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira?

    Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira ambayo ni financial security Na kwenda kwenye mifumo mingine ya kusaka fedha yenye uhuru Zaidi wa kifedha yaani financial freedom Unashauri kijana akifika kiwango gani Cha fedha anaweza ku escape game ya mshahara wa kila mwezi kama yupo...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu

    Wadau wa elimu, naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa. Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization. Ni ipi program kwa halmashauri ninayoweza kupata recategorization kwa urahisi kati ya hizi. 1.Bachelor of social work(OUT)...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu mambo ni matatu tu: Uligongewa, Unagongewa, au Utagongewa!

    Shalom shalom Wakuu, hebu tuweke uswazi pembeni leo tuambiane ukweli kama wanaume. Hili jambo la kugongewa limekua kama janga la kimya – halionekani, halisikiki lakini linatokea kila kona, kila siku, kila dakika. Unajua kuna level tatu mtu unapitia kwenye hii ishu: Uligongewa – Kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wakuu wa CHADEMA leo hawajahudhuria kesi ya Lissu Mahakama Kuu?

    Nimeangalia video kadhaa za kesi hiyo leo tarehe 11.07.2025. Sijamuona Heche, wala Mnyika, je na wao wameanza kumchoka?
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mwongozo nataka kununua vipande vya hisia NICO

    Kuna mil 20 inazaga zagaa hapa nataka niwekeze kwenye hisa za NICO... Wajuvi mwongozo wenu tafadhali
  7. JamiiForums Tanzania Huu Mtungi wa gesi uko sawa wakuu?

    Siku za karibuni nimegundua gesi inaisha haraka Sana nyumbani Wakati matumizi ni Yale Yale na watu ni wale wale Sasa Leo nimenunua Nimefunga Tu mshale unasoma hivo Hii ni sawa wakuu?? Maana kwenye bili za maji ndo usiseme Naona kama watanzania tunaonewa kila mahali jamani. Wale wataalamu...
  8. JamiiForums Tanzania Nawaelewa Wapentekoste/Walokole wanapofurahia kuketi moja meza na wakuu. Free Pentecost

    Wapentekoste waliingia Tanganyika zamani sana miaka ya kati ya 1900's. Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) walianza kuwepo Tanzania mwaka 1932, hata hivyo hawakuweza kupata mafanikio makubwa mpaka miaka ya mwishoni ya 1980 na mwanzoni miaka ya 1990. Walipoanza kuingia kwa nguvu katika...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa mikoa taarifa zenu zitaje pia changamoto zilizopo

    Tangu juzi tumeona Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali ikiwaleta Wakuu wa Mikoa kueleza kilichofanyika katika mikoa yao katika kipindi cha miaka minne ya uongozi uliopo madarakani. Ni wazi kuwa katika kila mafanikio changamoto hazikosekani. Sasa mimi hupenda kufuatilia mawasilisho hayo, lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu , Natafuta Shule ya kufundisha Zanzibar kwa secondary au primary

    Wakuu Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kufundisha Kiswahili na kiingereza. Natafuta Shule ya kufundisha kwa maeneo ya Zanzibar Unguja au Pemba. Kwa upande wa primary naweza kufundisha vilevile kwa upande wa secondary. Masomo ya social studies yote. History Civics Kiswahili English...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu hili taarifa ya ajali iliyotokea mpakani mwa wilaya ya kiteto na kongwa ina ukweli gani?

    Good morning! Jana usiki nilipewa taarifa ya ajali iliyotokea kwenye maeneo ya mpakani mwa wilaya ya kiteto (manyara na )na wilaya ya Kongwa. Inasemekana gari lile lilikuwa linaelekea mkoani Dar es salaam ambapo lilipinduka na kuwaua watu watano palepale na baadhi yao kujeruhiwa. Sasa kwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakuu

    Wakuu naishi Morogoro mjini hapa na nilikuwa natafuta sehemu ambapo kuna msaada wa kujifunza meditation, ni hilo tu wakuu mwenye kujua anijulishe
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri wenu nichukue hii simu au imekaa kishamba

    Infinix hot 50 pro+ Sifa zake; Display, Amoled Resolution, 1080x2436 pixels OS, Android 14 Chipset, mediatek helio G100 (6nm) CPU, (2x2.2 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55) GPU, Mali G57-MC2 Memory, 16GB RAM - 256GB ROM BETTERY Type, 5000mAh Charging, 33 wired 50% in 26min Sijawahi kutumia...
  14. JamiiForums Tanzania Eti wakuu, kweli bado nchi za Kiafrika katika uongozi thabiti zina nafasi ya kufikia prosperity? au muda umeisha tukimbia, tutakuwa tunafukuza upepo?

    Ni dhahiri kwamba miaka 60 kurudi nyuma chi kama singapore na malaysia zilifanana umasikini wa kwetu Afrika. Ila leo ni nchi ambazo zinakimbiza kimataifa. Sisi tumebakia na tabu ambazo hata babu yako aliekufa akipigana na wakoloni kwa ajili ya ukombozi wa taifa lake atashangaa sana. KARIBUNI:
  15. JamiiForums Tanzania Mimi ni mlizi, leo siku vizuri kiafya sasa bosi wangu alinikuta nimelala akanipiga picha na kuweka kwenye group

    Mimi nafanya kazi ya ulinzi Siku ya Leo sikua vizuri nilikuwa najisika vibaya kiongozi alinikuta nimemlala nakunipga picha mi nachojua ukikutwa nakisa kama ilo unakatwa pesa lakini Cha kunishangaza amefungua group wasap nakupost picha yangu je ni sahihi Ii wakuu?
  16. JamiiForums Tanzania Part 2. Unabii kuelekea October: CCM itashinda kwa 85% , Makonda atakuwa miongoni mwa viongozi wakuu

    Habari! Kuna nyuzi kadhaa za kisiasa huenda nimeandika humu ndani. Moja ambayo niliitoa mwaka jana ndiyo nilisema unabii maana niliongea kitu ambacho Roho wa Bwana alisema, na nyuzi zingine zilikuwa personal view. Hii ya pili naandika UNABII. Thread 'Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025' Soma...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba msaada nikifungua X (Twitter) inanipa option ya ku verify na nikibofya haikubali?

    HABARI WAKUU NAOMBA MSAADA WA KUFUNGUA TWITTER KILA NIKIFUNGUA INALETA NI VERIFYING ILA NIKIJALIBU HAIKUBALI SHIDA NINI WAKUU HAPO?
  18. F

    JamiiForums Tanzania MSAADA WAKUU MWENYE KUFAHAMU HILI

    Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  20. JamiiForums Tanzania RAIS afanya uteuzi mpya na uhamisho wa wakuu wa milaya na mikoa 24 june 2025

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…