wakutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Watanzania Waishio Comoro Wakutana na Balozi Yakubu

    Watanzania Waishio Comoro Wakutana na Balozi Yakubu Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoros amekutana na Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Comoros (Tanzania Diaspora in Comoros - TADICO) tarehe 30 Mei, 2024 katika Makazi yake...
  2. Watanzania waishio Comoro wakutana na Balozi Yakubu

    Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amekutana na Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Comoro (Tanzania Diaspora in Comoros - TADICO) tarehe 30 Mei, 2024 katika Makazi yake, Voidjuu. Wakati wa mkutano huo, Viongozi wa TADICO...
  3. Wachawi na waganga wote wakutana usiku huu kuinusuru Geita Gold isishuke daraja

    Moto umeshawashwa,masufuria tayari kwa ajili ya nyama la kafara. Mgeni rasmi kutoka Gambush, anasubiriwa ili kuanza ibada Rais wa wa wachawi lake zone Azam ama zao ana zetu
  4. Wazee wa Jumuiya ya Ahmadiyya wakutana Dar kujadili changamoto za maadili na amani

    Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Kusini kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wamekutana Nchini Tanzani katika Semina ya siku mbili (Aprili 20 na 21, 2024) Nchini Tanzania na kushirikisha washiriki 120 kutoka Nchi 15. Semina hiyo imefanyia Jijini Dar es Salaam na mada kubwa iliyowakutanisha...
  5. Bashungwa na Mavunde Wakutana Kuweka Mikakati ya Kusimamia Utekelezaji wa Miradi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa Malighafi za ujenzi wa miundombinu itakayosaidia Makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati na ubora...
  6. Hamas na Houth wakutana kuratibu mapigo yao dhidi ya Israel

    Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Houth walio kusini ya Israel waktenganishwa na nchi ya Saudi Arabia wamekutana na wenzao,Hamas ambao wako karibu na katikati ya Israel upande wa magharibi wamefanya mktuano wa pamoja ili kuratibu mapigo dhidi ya adui yao. Mkutano huo haukutajwa eneo ulipofanyika...
  7. Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

    Katika kujipanga kutoa huduma bora zaidi, baadhi ya Watendaji wa JamiiForums walikutana Jijini Arusha kwa lengo la kutathmini shughuli zilizofanywa na Taasisi mwaka 2023 pamoja na kupanga Mikakati ya kuboresha zaidi mwaka 2024. Hii ilijumuisha kujengewa uwezo katika maeneo muhimu ya kiutendaji
  8. R

    Marais wa nchi za SADC wakutana kwa dharura kujadili Kipindupindu.

    Viongozi wakuu wa SADC wamekutana kwa dharura kujadili Kipindupindu. Ninapenda kufahamu kipindupindu ni agenda ya head of states au ilitakiwa kuwa chini ya wataalam wa Afya? Kwamba na umaskini wetu ambao ndio chanzo cha kushindwa kukabiliana na maradhi kama haya tunawasha ndege marais wa SADC...
  9. Musoma: CHADEMA wakutana kwa ajenda moja tu ya kuitokomeza CCM

    Wakati wao wanalogana ili kugombea vyeo vya Kinana na Chongolo , Chadema Musoma Mjini imekutana na viongozi wao wa Vijiji, Kata na Jimbo kupanga utaratibu wa kuiua ccm kwenye eneo hilo . Mkakati wa sasa wa CHADEMA ni kuchukua wananchi wote na kuibakishia ccm viongozi pekee pamoja polisi , yaani...
  10. Bunda: CHADEMA wakutana kupanga Mikakati ya kuifutilia mbali CCM kwenye eneo hilo

    Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania (CHADEMA), huko Bunda mjini kimekutana na wanachama wake kwa ajili ya kupanga mikakati mipya ya kuifuta ccm kwenye eneo hilo. Chadema yenye Wanachama hai zaidi ya mil 15 nchi nzima (kwa Mujibu wa Chadema Digital) huku ikiwa na mamilioni ya Wafuasi...
  11. Weah na Boakai wakutana katika Duru ya Pili ya Urais

    Wananchi wa Liberia wanatarajiwa kupiga kura leo Jumanne Novemba 14, 2023 kumchagua Rais katika Awamu ya Pili ya Uchaguzi unaowakutanisha wagombea wawili George Weah anayetetea nafasi hiyo na Joseph Boakai baada ya awali kutofatiana kwa kura chache katika Awamu ya Kwanza. Weah (57) aliongoza...
  12. Nchi za kiarabu na viongozi wa kiislamu wakutana Saudi Arabia na kutoka na tamko moja la kuitaka Israel isitishe vita

    Pamoja na upungufu wa matamko hata hivyo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamesifu namna mkutano huo wa leo ulivyoonesha umoja dhidi ya Israel Katikati ya mkutano huo katibu mkuu wa umoja wa nchi za kiislamu amelaumiwa na wachambuzi hao kwa kutumia sana maneno yenye kuonesha kuna maatumaini kwa...
  13. Askofu Mwanakula, Pd. Kitima, na Askofu Bagoza wakutana na waziri mkuu!

    Post Ofisi ya Waziri Mkuu @TZWaziriMkuu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Maaskofu Emaus Mwamakulwa wa Kanisa la Uamsho la Morovian (Kushoto) Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Benson Bagonza. Kulia ni Padri Dokta Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa...
  14. Wadau wa habari wakutana na Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari na uhuru wa kujieleza kwa jamii. Amesema hayo wakati wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya...
  15. Uongozi wa Muhimbili, Jeshi la Polisi na RRH za Dar es Salaam wakutana Dar es Salaam

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo Oktoba 4, 2023 umekutana na Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Temeke, Amana, Mwananyamala, Waganga Wakuu wa Manispaa hizo, Kamishna Msaidizi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi Jinai (Forensic Bureau), Msaidizi wa Kamishna...
  16. Mapropaganda wa Urusi wakutana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao

    Watu kadhaa ambao hutumiwa na Urusi kueneza propaganda wakiwemo wanahabari wakumbana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao, sijaelewa kwanini itumike kichwa cha nguruwe maana hawa sio wafuasi wa ile dini ya mwarabu ambayo huogopa sana nguruwe......... Hawa mapropaganda ni hatari sana, kuna...
  17. S

    Tetesi: Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wakutana kikao cha dharura baada ya Bunge kutoa mwongozo wa Luhaga Mpina

    KUNA tetesi kuwa baada ya Spika wa Bunge leo 28/6/2023 kumtangaza bungeni Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwa alikuwa sahihi kuhusu kutotekelezwa kwa maagizo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Mawaziri Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wamekutana kwa kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa...
  18. Video: Wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline wakutana na mashambulizi mkali

  19. J

    TANTRADE na Ubalozi wa Hispania wakutana kuangalia fursa mbalimbali za biashara

    TANTRADE NA UBALOZI WA HISPANIA WAKUTANA KUANGALIA FURSA MBALIMBALI ZA BIASHARA _________ 24 Mei, 2023 Dar es Salaam Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) ikiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Ukuzaji Biashara - Bw. Fortunatus Mhambe, Kaimu Mkurugenzi Maendeleo ya Biashara - Bw...
  20. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira na wadau Dar wakutana katika kikao maalum cha udhibiti kelele

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefanya kikao na wadau mbalimbali kujadili kuhusu udhibiti wa uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele. Katika kikao hicho cha Mei 17, 2023 NEMC ilishirikisha wajumbe kutoka Wizara ya Afya, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…