wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe kemea uhuni unaotaka kufanywa na TCJE, kuwanyima neema wakulima wanaolima kupitia vyama vya msingi mbolea ya ruzuku

    Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada Bashe kupitia wizara yako ulituhaidi wakulima tunaolima kupitia vyama vya msingi kunufaika na mboleo ya ruzuku Kweli mwaka huu tumepokea mbolea zilizo na vifungashio vyenye nembo ya ruzuku, tukakubali kwamba ahadi ya kumuinua mkulima kunufaika na ruzuku...
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa.

    Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa. Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe(Mb) amepiga marufuku kwa wakulima kuuza mazao kwa kutumia lumbesa. Kigahe amepiga marufuku hiyo kwa wakulima na wafanyabiashara desemba 20,2023 wakati wa ziara...
  3. JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania hawapo huru kwa sababu ya siasa mbovu za CCM

    Ero sobhai. Takwenya kokoo wote humu? Mwangaruka wabhabha na mamayo Enewei kama salaam haijawachangamsha haya changamkeni na hii. Serikali ya Tanzania imefunga ndoa isiyo ya kawaida na Chama Cha Mapinduzi ili kukisaidia kisalie madarakani na kuwafanya Watanzania kuwa manamba wa kudumu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya ndugu wa Wakulima waliokamatwa Kiteto, watoa madai ya kuombwa rushwa ili dhamana ipatikane

    Pia soma = Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi = Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi

    Siku chache baada ya baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wanaodai kuporwa maeneo yao ya mashamba kuamua kurejea katika mashamba hayo, baadhi yao wamekamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi wakidaiwa kuvamia sehemu ya Hifadhi...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Polisi Kiteto wamekamata Wakulima, wanawatesa na kuwanyima dhamana

    Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani. Hakuna taarifa yoyote inayoendelea, Jeshi la Polisi mbona mnafanya maamuzi ambayo ni ya kidikteta...
  7. JamiiForums Tanzania Wakulima wa chai na parachichi Rungwe ni wakati wa kuifufua Tukuyu Stars

    Safari ya Tukuyu Stars na Isuzu Lao -Kikosi cha Tukuyu Stars, timu iliyopanda daraja mwaka 1985, katika kituo cha Shinyanga na kuja kucheza Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara wakati huo na kuchukua ubingwa kwa kupoteza mechi tatu tu. -Mwaka huo wa kupanda daraja wa 1985, Tukuyu Stars hadi...
  8. JamiiForums Tanzania Mpanda: Wakulima waomba kuongezewa eneo la kulima

    Wakazi wa Kijiji cha Kiloleni, Kata ya Sitalike Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuongezewa eneo la kufanyiwa shughuli za kilimo na makazi. Hayo yamejiri wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kiloleni ambapo Wananchi wa maeneo hayo walitii wito wa kutoka katika...
  9. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Boko Haram wachinja wakulima wa mchele

    Suspected Boko Haram terrorists, on Sunday, attacked Zabarmari farmers while working on their rice fields in Mafa local government area of Borno State, killing over 15. Awali Casa, a rice farmer, who confirmed the attack on Monday to LEADERSHIP in Maiduguri, said there was palpable fear among...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Wakulima wa Vanilla kutolipwa zaidi Tsh. Bilioni 1 na Kampuni ya Sosaka Limited

    Wakulima wa zao la Vanilla Mkoani Kagera wameendelea kuiomba Serikali kuingilia kati kuwasaidia kupata malipo yao ya zao hilo walilouza kwa Kampuni ya Sosaka Limited. Imeelezwa kuwa Kampuni hiyo ilifuata taratibu zote na kupata vibali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, ikanunua Vanilla...
  11. JamiiForums Tanzania NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  12. JamiiForums Tanzania Taarifa Kuhusu Malalamiko ya Wakulima Juu ya Matrekta ya URSUS kutoka Nchini Poland Yawasilishwa Kwenye Kamati ya Bunge

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepokea na kujadili taarifa ya hatua zilizofikiwa za utekelezaji wa maelekezo ya Spika wa Bunge kuhusu Malalamiko ya wakulima juu ya Matrekta ya URSUS kutoka Nchini Poland. Taarifa hiyo imewasilishwa na Waziri wa Viwanda na...
  13. JamiiForums Tanzania Acheni wakulima wauze mahindi kwa wateja kwa bei ya soko

    Waziri Hussein Bashe alikuwa na msimamo mzuri kuanzia alipoteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo kuhusu kufungua mipaka kwa wageni kuja kununua mazao ya kilimo nchini. Hii ilikuwa ni furaha kwa wakulima wetu, lakini miezi kama 6 tu iliyopita kwa kelele za Watanzania wavivu wakaiyumbisha Serikali mpaka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa vanilla Kagera kutapeliwa na kampuni ya SOSAKA

    Sisi Wakulima wa Zao la Vanilla Kagera tulimuuzia Kampuni ya Sosaka Limited iliyopewa vibali na Ofisi ya Mkoa wa Kagera, vanilla zetu mnamo tarehe 19-23 July 2023 lakini mpaka sasa hatujalipwa hela zetu. Sosaka alikua ananunua vanilla kwa bei ya 15,000 Tsh na alikusanya takribani kilo 80,000...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya atuombe radhi Wakulima na Wafanyabiashara ya matunda

    Kauli ya Waziri wa Afya kuwaeleza Watanzana kuacha kula matunda mchanganyiko si ya kitaalamu bali imejaa hisia yenye lengo la kuharibu soko la matunda ambalo linashamiri Tanga ni wakulima wazuri sana wa matunda hivyo kama mbunge anayetoa Tanga tulitegemea ahakiki taarifa aliyopewa na wataalamu...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania: Kila anayeteuliwa anaitwa "Kitengo" hivi Wakulima na Wafanyakazi hawawezi kuteuliwa?

    Hii Nchi ni dhahiri sasa kwamba Wananchi wake wamechoka kuwaza , nadhani hali hii inatokana na dhiki zinazowakabili raia ikiwa ni pamoja na umasikini wa kutupwa pamoja na mgawo kabambe wa umeme . Yaani kila mtu ambaye siyo Mtoto wa kiongozi akiteuliwa kushika wadhifa wowote anaonekana ni...
  17. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye itikadi za kidini (Boko Haram), wachinja wakulima 10 na kuteka 9

    Hawa ni waafrika ambao wanaamini kwamba wameelekezwa na 'mungu' wao muarabu kuchinja maskini Waafrika wenzao................ Marauding Boko Haram insurgents, Saturday, killed 10 farmers and abducted a few others in Mafa Local Government Area of the state. Aside from this attack which occurred...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
  19. V

    JamiiForums Tanzania DC Kiteto anafumbia macho suala la wafugaji kulisha mashamba ya wakulima wilayani

    Ugomvi wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto unachangiwa kwa kiasi kikubwa na Viongozi wa Wilaya kuwasadia jamii ya wafugaji kulisha Mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima. Na wanapata nguvu kubwa kwa DC Wa Kiteto ameweka wazee upande anauoupendelea kwenye sakata hili. Mwaka huu wakulima wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Bashe hakina dira yoyote, ni porojo tu. Sasa anataka wakulima waisajili mikorosho ili iweje?

    Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini? Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima? Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…