wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Mkopo kwa wafanyabiashara wadogo, wakati na wakubwa

    Habari Tunajihusisha na utoaji wa mkopo Kwa wafanyabiashara kuanzia million Moja Hadi SHILING MILLION 40 Muda wa kurejesha MIKOPO ni miezi mitatu Hadi miaka Tano lakini Kwa mkopo unaoishia Milioni Tano muda wa kurejesha mkopo ni miezi 12 means maximum F Riba ni asilimia 3.5 Kwa kila mwezi...
  2. JamiiForums Wateja wakubwa wa waganga na manabii uchwara ni wanawake

    Wanawake wamejawa na uovu mwingi kuliko wanaume na ndio vinara hata kwenye ushirikina hata kwenye maombezi wanawake huwa wanaoongoza kuanguka mapepo kutokana matendo yao yanavutia zaidi pepo wachafu , fanya tafiti wateja wakubwa wa waganga au hata manabii uchwara ni wanawake
  3. JamiiForums Maimartha: Jux na Diamond wana urafiki zaidi ya tuujuavyo, Wakubwa mtanielewa

    Mai wa Jesse anasema haiwezekani Mond huyu aliejenga Brand yake kwa Gharama kubwa eti aende tu Nigeria kujichoresha kumfuta machozi na kamasi Jux katika harusi😂😂👋🏼. Hata mimi nimefikiria sana hili jamani, anyways anamalizia kwakusema urafiki wao sio wa kawaida ila neno kawaida mtaelewa wakubwa...
  4. JamiiForums Asili ya nyoka wakubwa imegundulika huko India

    Fosili mpya iliyogunduliwa ya Vasuki indicus huko India imeleta mwanga mpya kuhusu ukubwa halisi wa nyoka huyu wa kihistoria. Inakadiriwa kuwa na urefu wa hadi futi 49 (sawa na mita 15), sampuli hii inapendekeza kwamba Vasuki huenda alikuwa mkubwa zaidi kuliko ilivyodhaniwa awali—akiizidi...
  5. K

    JamiiForums Mitume na Manabii walikuwa maadui wakubwa wa selikari za kipindi hicho, hawa wa leo?

    Ukisoma historia za Dini toka enzi za Mitume na Manabii,Viongozi wote wa Dini walikuwa tofauti na selikari zao za kipindi hicho, sababu ya kuwa na Imani ya Muumba wao, wakazisimamia jamii walizokuwa wanaziongoza na wakakinai ya dunia ,yaani kutokuvithamini vitu vya dunia mali na anasa zake...
  6. B

    JamiiForums Nina ujuzi wa quantum geographic information system (Q. G. I. S), naombeni kazi wakubwa

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) . naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide...
  7. JamiiForums Je wewe ni kama mimi unawasiliana na watu wakubwa kama hivi ?.

  8. JamiiForums MSAADA WAKUBWA

    Habari zenu wakubwa zangu, Nanyenyekea sana nikiamini JF uwa hakuna tatizo linalokosa msaada. Wakubwa nahitaji msaada wenu ni kwamba kuna company flani kubwa tu staki kuitaja ila department niliyokua nafanyia kazi ni Huduma kwa wateja nilikua nafanya kama customer service representative kitengo...
  9. JamiiForums Ndoa sio Gereza. Wanaosema Ndoa ni Gereza na ndoano ni wapotoshaji Wakubwa

    NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO. Unapotafuta mwenza wako wa maisha huwezi uruka Wala kuupuuza MSINGI huo. Mtu ambaye hufanani naye hawezi kuwa Mkeo au Mumeo...
  10. JamiiForums Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

    Kama tunajua Nyeti za Mzanzibari Myemeni ndiyo tushindwe kuzijua zenu tena za hapo jirani tu Karume Ilala? Hovyoooo!!!
  11. JamiiForums TFF yampa onyo kali Rais wa Yanga Hersi Said

    TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili. Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
  12. U

    JamiiForums Calvin Marambo anafanya kazi na Bill gate kwa sasa na ni marafiki wakubwa

    Calvin Marambo mhitimu wa Ilboru sec 2014 ambaye alipata scholarship havard university kwa sasa anafanya kazi kwa bilgate na ni marafiki wakubwa ,wazungu wanamkubali sana pesa nje nje kwa sasa.
  13. JamiiForums Mbinu za Siri Wafanyabiashara Wakubwa wa Kitanzania Wanazitumia Kupata Utajiri!

    Wadau wa JF, Karibuni! Wadau wa JF, habari za siku? Poleni na pilika pilika za maisha, najua mitaa imewaka, wengi wanahaha huku na kule kutafuta mkate wa kila siku. Lakini si wote wanahaha – wapo wale waliotoboa, wanadunda bila stress, huku wengine wakibaki wakiwatazama tu kwa mshangao. Swali...
  14. N

    JamiiForums Afrika sio wanufaika wakubwa wa USAID kama tunavyodhania

    Ukiangalia hiyo chart hapo juu utaona zaidi ya Egypt hakuna nchi nyingine ya Africa iliyonufaika missada ya US kupitia USAID kama nchi za mabara mengine mfanonUlaya. Lakini toka rais Trump asaini executive order ya kusitisha USAID. Watu mbali mbali wamekuwa wakitoa malalamiko na kuitolea mfano...
  15. JamiiForums Mkijijua kuwa Mmeoa Watoto wa Wakubwa (Viongozi) Barani Afrika kuweni makini mno kwani mkikengeuka tu Mnatumbuliwa na Kukomolewa

    Ninaomba kujua ni Vivutio gani vikubwa na vizuri naweza kuvikuta Rufiji kwani GENTAMYCINE nataka kwenda Kutalii huko.
  16. I

    JamiiForums Wanufaika 5 wakubwa wa misaada ya USAID barani Afrika.

    Ethiopia ndiyo mnufaika mkubwa zaidi wa USAID barani Afrika, ikipokea msaada wa dola bilioni 1.20. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafuatilia kwa karibu kiasi hicho cha dola bilioni 1.20. Kuangaziwa kwa misaada ya nje ya Marekani kumeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, huku nchi hiyo...
  17. JamiiForums Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

    Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha. Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na...
  18. JamiiForums DRC iwaangukie "mabeberu" wakubwa wa Magharibi kumaliza vita nchini kwake, mabeberu wanahitaji kubembelezwa kidogo tu na kuheshimiwa kumaliza mgogoro

    Vita vya muda mrefu na ukosefu wa amani mashariki mwa Congo(DRC) nyakati hizi kwa kiasi kikubwa vinachangiwa na udhaifu wa dola ya DRC kudhibiti nchi pamoja biashara ya madini adimu mbalilmbali yenye mahitaji makubwa duniani kwa sasa. Baada ya Waafrika wenyewe kuushindwa huo mgogoro bila shaka...
  19. U

    JamiiForums Waziri wa usalama itamar ben gvir chama chake kujitoa Serikali ya mseto Israel apinga mkataba kusitisha vita utakaoruhusu magaidi wakubwa kuwa huru

    Wadau hamjamboni nyote? Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
  20. JamiiForums Ijue mikono ya bandia wanayotumia walinzi au protection details za viongozi wakubwa pamoja na personal details wa VIP

    Wengi tumezoea kuona walinzi wa viongozi wakubwa wakitembea so humbly, lakini hatuelewi ni kwanini. Principle kubwa ya protection details ni kutumia macho, macho hutumika kuscan, kiwasilisna kati yao walinzi na kutoa warning kwamba pita kushoto, hasa Kwa Wana Habari wanaorekodi. Mfano hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…