wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Simba mjifunze kuheshimu wakubwa, Msipobadilika mtajua hamjui hii ni code nawapa

    kuna msemo wa zamani unasema Mla miwa husahau ila mtupa maganda hasau! Salam Haitii mimba; Huu msemo unamaana tu kwa watu wenye nidhamu; Haiwezekani unasalimiwa na mkubwa katika birthday yako huitikii na kibaya zaidi unazomea! Sasa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu! NAIMANI wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Usiingilie ugomvi wa Wakubwa! Ndicho kinachoenda kuliza wengi

    Hallelujah! Bado nakusanya ripoti. Bado najifunza na nitaendelea kuwafundisha. Kuna msemo maarufu usemao, usiingilie ugomvi wa wazazi, msemo huo upo kwenye level ya kifamilia. Watoto wengi wanaoingilia ugomvi wa Baba na Mama hujikuta katika maisha magumu hapo baadaye kwa namna waijuayo au...
  3. JamiiForums Tanzania Sababu ya kupenda wanawake wakubwa ni hii

    They are soo emotional mature Mwanamke mkubwa hawezi kuteseka na vitu vidogo vidogo kama kuchelewa kurudi kazini, kuuliza kama una date na mtu kisa amekutext, kufanya upekenyuzi usio na maana They're so romantic, (sensual) Wanahisi zaidi in terms of intimacy, na kwa kufanya hivyo humplease...
  4. JamiiForums Tanzania Jukwaa la wakubwa (JLK):Gharama za ukorofi

    Ujana ni kujaribu kila kitu, lakini utu uzima ni kuchagua amani ya moyo kuliko mabishano yasiyo na tija. Nani ameshafika level hii?"
  5. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wakubwa ni miongoni mwa wadau wanaochangia mataifa mengi kuwa na viongozi wa juu vilaza.

    Katika ulimwengu wa siasa kuna watu wanaitwa wazee wa mfumo,hili ni kundi la watu linalojumuisha wafanya biashara wakubwa katika taifa ,hapa kwetu mfano mzuri ni Rostam Aziz,Mohamed Dewdji,GSM,Kiziga,na wengineo. Sifa kuu ya hawa watu ni kuwezesha wanasiasa na chama cha siasa ili kishike dola...
  6. JamiiForums Tanzania Wanafiki wakubwa Tanzania ni wakaguru wanapatikana Kijiji cha Berega

    Harakati zangu za kilimo juzi kati zilinifikisha Kijiji cha Berega wilaya ya kilosa mkoani morogoro.. Oya wajuba !, huko Kuna kabila la wakaguru Hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha lami afu ignorance level Yao ni kiwango cha mchanga. Niliwahi kifikiri wasukuma ni wabaguzi mpaka nilipokutana na...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Taswira ya Kisiasa ya Tanzania Inawafukuza Wawekezaji Wakubwa?

    Ndugu wanajukwaa la siasa, huu ni mjadala wa kitaifa: Tunapojadili kwa nini miradi mikubwa ya kimkakati inaweza kwenda nchi jirani, tusitazame tu bandari, ardhi au soko. Tujiulize pia kuhusu ubora wa taasisi zetu za kisiasa na utawala. CCM imekuwa chama tawala kwa muda mrefu na ina wajibu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Walioumbwa kushirikiana kwa karibu sasa wamegeuka maadui wakubwa!

    Haiwezekani gari aliunde mwingine halafu wewe ujifanye unajua kuliendesha bila kumuuliza muundaji linaendeshwaje. Nachelewa kusema utasababisha maafa tu. Si ajabu kuona wimbi la 'vita' Kati ya Wanawake na Wanaume likizidi kupamba Moto siku hadi siku kwa sababu wengi wamechagua kuishi kwa...
  9. JamiiForums Tanzania "Omba omba" na WAsoha Vioo vya Magari wa Dar ni Mradi wa "wakubwa?"

    Omba omba wengi tiulizoea wakitoka mikoa ya Dodoma. na Singida , sasa wanatoka Mwanza na mikoa mingine kasoro Kilimanjaro na Arusha, yaani Hakuna Mchaga omba omba! WAOSHA MAGARI: Hawa watu wanasimama kwenye mata na foleni, pale morroco -kinondoni, hata liwe gari la wanaojulikana ama wasio...
  10. JamiiForums Tanzania Hii Retro Tour inadhihirisha Diamond Plutnumz ni moja ya performers wakubwa sana Africa

    Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake. Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune. Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au...
  11. JamiiForums Tanzania Swali kwa wazazi wenye watoto wakubwa

    Nimekaa hapa nikiwaza baada ya siku kwenda ndivyo sivyo! Soon naelekea kwenye utu uzima mkamilifu, nika waza siku mtoto wangu akiwa mtu mzima wa kujitegemea akisha kuwa na maisha na familia yake , hivi kwenye contact nita m save kwa jina gani . Jina lake la kuzaliwa , ama title yake kwangu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wadau hawa Wakubwa wa elimu wamepotelea wapi ?

    Wadau hawa Wakubwa wa elimu wamepotelea wapi? By Hata Mimi JF member Salaam alaikum, Zamani kabla ya 2010 kurudi nyuma huko tulizoea kuona vitabu vya namna mbalimbali kwa maudhui moja. Namaanisha somo husika kwa darasa fulani linakuwa na matoleo kibao ya vitabu (waandishi na wachapaji) Hii...
  13. JamiiForums Tanzania Mwalimu Jambau wa Singida apewe tuzo ya heshima na NCHI kwa kuvumbua vipaji vya watoto na kuhakikisha wanakuwa wanariadha wakubwa duniani

    Kuna watu wachache sana duniani ambao pesa sio kipaumbele chao cha kwanza maishani. Yaani wanaweza fanya kitu bila kuzingatia maslahi yoyote ya kifedha. Mwalimu Jambau wa shule ya msingi Lighwa huko Singida ni miongoni mwao. Hauwezi kuzungumzia mafanikio ya wanariadha wakubwa toka mkoani Singida...
  14. M

    JamiiForums Tanzania mikopo Kwa wafanyabiashara wakubwa

    habar Kwa wale wote ambào ni wafanyabiashara Wanaohitaji pesa Kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya ki biashara, naomba kuwatangazoa kuwa kuna mikopo ya pesa inayoanzia milioni moja mpaka bilioni Moja. mdhamana ni KADI ya gari, hti ya nyumba au hati ya Kiwanja Toka serikalini. RIBA ni asilimia...
  15. JamiiForums Tanzania AI yaanza kuchukua nafasi za watu Marvel na Disney; wasanii wakubwa wapigwa chini

    Nchini Marekani mwigizaji maarufu wa filamu ya Ant Man and the Wasp, Evangeline Lilly(pichani), amefunguka kuhusu hali ya sintofahamu inayoendelea studios kubwa za filamu kupunguza wafanya kazi na nafasi zao kuchukuliwa na AI. Inadaiwa kuwa Disney sasa imeanza kutumia teknolojia ya AI kuchukua...
  16. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Watawala wakubwa wanajihisi wao ni WATAKATIFU, Wananchi na wakosoaji ndio tatizo

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Bwana Misosi akiwa bado underground aliwezaje kuwapata wasanii wakubwa walioonekana katika video yake "Nitoke vipi?"

    Kati ya matukio ya kisanii ya Bwana Misosi ambayo hatakuja kusahau, akiwa bado mchanga kisanii na ndio ametoa hit song yake ya kwanza "Nitoke Vipi." Ni love aliyoonyeshwa na wasanii wakubwa wa wakati huo ambao wengi aliwataja kwenye ngoma yake na wakajitokeza kwenye video. Kwa msanii...
  18. JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa Taifa hili kwa sasa

    Kama hukupoteza ndugu yako 29 Oct mwambie Mungu asante, ile siku kwa kifupi ni siku mbaya ni siku ambayo shetani na majeshi yake walivuna haswa damu za Watanganyika. Endeleeni kupumzika kwa amani makamanda, leo mnazingiziwa kila kitu, mlikua na Bunduki, Mabomu, Vifaru, Air to Air missiles, Land...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini dini inauzika sana Kwa wanawake? Maana ndio wahanga wakubwa wa Dini

    Shalom akhbar! Katika ulimwengu wa Leo Ukiangalia wahanga wakubwa wa manabii,waganga na wahanga na kuolewa wanne wanne ni wanawake...unadhani ni kwanini? Simple. Wanawake ni Viumbe wa hisia kuliko logic, na dini inatumia hisia zaidi kukamata watu kuliko logic, kwasababu ukitumia logic ndogo...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa jamaa wa upande wa pili wengi wao ni mashabiki wakubwa wa mamlaka zenye hurka ya ugaidi na uminyaji wa haki za binadamu?

    Eti Echolima1 MK254 loose Nut kwani wale vijana wanachukizwa na ustaarabu wa magharibi na maendeleo yake huku wakishabikia vikundi vinavyohatarisha maisha ya watu duniani kisa vikundi hivi vinasali kama wao? Je ni upumbavu au ulimbukeni? Au vyote kiujumla?😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…