wakristu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Joel Peter kawauliza waislamu na wakristu swali gumu

    Dunia imepitia uongo, utapeli, na propaganda nyingi Sana, ila Uongo mkubwa zaidi ni huu, Hebu fikiria, unaambiwa kuna mungu muweza WA yote, yupo sahihi na hajawahi kukosea, Ameumba dunia kwaajili yetu, na ataiangamiza tena kwaajili yetu, Alijua ataiangamiza dunia kabla hata...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Swali hili wameulizwa wakristu na waislamu

    Kama Mungu anajua kila kitu tangu mwanzo mpaka mwisho (anajua nani ataenda mbinguni/peponi na nani ataenda motoni kabla hata hawajazaliwa), je, kweli binadamu ana uhuru kamili wa kuchagua? Kama Mungu alishajua nitatenda dhambi fulani kesho na siwezi kubadilisha kile Mungu anachokijua tayari...
  3. JamiiForums Tanzania Wakristu wamekumbwa na nini huko Ulaya?

    Makanisa huko Ulaya ambako ndio watu wa mwanzo kupokea ukristo na baadae waliowatuma wamissionari kuja kuwalaghai Waafrica na kuwaingiza kwenye Imani yao ambayo Sasa wameanza kuwapeleka Sodoma na Gomora kwa ajenda kupunguza idadi ya watu duniani. Wanashawishi ndoa ya jinsia Moja kati wanaume...
  4. JamiiForums Tanzania Wakristu waendelea kuchinjwa huko Nigeria

    Makundi ya Waislam wa jamii ya Fulani wanaendelea kuua kwa kuwachinja Wakristu huko Nigeria safari hii Wakristu 52 wamechinjwa huko katika jimbo la Plateau katika eneo la Bokkos. Eneo hili ni lile lile ambalo Wakristu 300 waliuawa na Waislam mwaka 2023...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu : Wakristu na waislamu wote duniani ni ma " Apartheist"

    Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist. Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi concern wala interest kwamba Mungu yupo. Ingekuwa kinyume chake basi kusingekuwa na : wazinzi...
  6. JamiiForums Tanzania Wakristu wenzangu, nyie mnaombaje hadi kujibiwa maombi yenu. Tusaidiane kwa mapenzi ya kristu

    Nimefunga, nimeshirikisha, nimeomba alfajiri lakini bado tabu ninayopitia inaendelea kunitafuna. Tusaidiane wakuu.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu

    Nabii na Mtume namba Moja Nchini mh Mwamposa amesema Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu Source: WASAFI media My take; Chadema wawe Waelewa Mlale Unono 😃😃🌹🌹
  8. JamiiForums Tanzania Raia milioni moja wa Iran wabadili dini na kuwa wakristo

    Wakuu Serikali ya kiislam ya mapinduzi ya iran haina muda mrefu kwa kua wengi wao hawaamini tena katika dini ya kiislam. Wairan kama mnavyojua ni watu wenye Akili sana.Kwao kuendeshwa kwa kulazimishwa kuvaa hijabu,kufuata sheria za kidini ambazo wengi hawaziamini ni kiu kigumu. Kifupi wairan ni...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa kuwauliza wakristu na waislamu swali ambalo Mimi nimeshindwa kulijibu

    Naomba mnisaidie kujibu hoja hii tafadhali.
  10. JamiiForums Tanzania Je Wajua, Japo Christmas Ina Sheherekewa kwa Sharmashamra Sana, Pasaka Ndio Sikukuu Kuu ya Wakristu Kwasababu ya Fumbo la Paska. Happy Easter!

    Wanabodi Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la Paska, hakuna mtu yoyote aliyemshuhudia Yesu Kristo akifufuka, na baada ya kufufuka alikaa duniani...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

    Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu. Kwani ibada ya sanamu nini? Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini? Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Wakristo kitu gani kimewakuta mpaka mmeanza kuwaiga waislamu?

    Moderator naomba msi uunganishe Uzi huu na Uzi mwingine. Ninawaomba hayo kwa jina la Maxence Melo Na declare interest. Mimi ni mfuasi wa dini za jadi za kiafrika. 1. Ukristo ni imani ila Uislamu ni dini( mfumo wa maisha) 2. Uislamu umekaa kisheria na kisayansi zaidi kuliko " imani"...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wakristu wote, imfikie hadi papa, wazo la kuboresha kiapo cha ndoa cha kikristu

    Mambo yanasonga na dunia inabadilika. Kama tuliweza kukaa na kujadili tunafanyeje kuhusu masuala ya ndoa na ubatizo wa watu wale, basi tunaweza kukaa na kujadili kuboresha mambo mbalimbali. Siamini kama maelekezo yote yanatoka top down tu. Naamini yanaweza pia kutoka down up. Maji yakapanda...
  14. JamiiForums Tanzania Mr Beast ajenga visima 100 vya maji barani Afrika

    Kwa project hii ataweza kunywesha maji watu takribani laki tano. Nchi alizozigusa ni Kenya, Zimbabwe, Uganda, Somalia na Cameroon Kwa msiemjua Mr beast, ni youtuber ambae kipato chake huki wekeza katika michezo ya kusaidia watu kifedha na projects za kusaidia jamii. Hongera kwake...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio njia rahisi ya kuwafanya waislamu wote duniani kuwa wakristu au wakristu wote duniani kuwa waislamu

    Duniani kuna dini nyingi ila wakristu na waislamu ndio dini mbili pekee juu ya uso wa dunia ambazo kila moja inajiona ndio dini/imani/ bora, sahihi na yenye haki mbele za Mungu kuliko zote duniani. Waumini wa dini hizi wana share sifa moja inayofanana nayo ni selfishness. Kwa maana ya...
  16. JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

    Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi? Kwa sababu...
  17. JamiiForums Tanzania Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuwa Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Mungu hayapendi lakini Waislamu na Wakristu wamefichwa

    Kabla sija enda kwenye mada nauliza hivi wewe ambae unawaachiaga siti wazee kwenye daladala tangu uanze kufanya hivyo ni mambo mangapi ambayo umeshafanyiwa wepesi kwenye maisha yako? Tafakari! Chukua hatua! HAKI ELIMU. Back to the point. Yapo mambo ambayo kiuhalisia Mungu hayapendi ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…