wakongwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BIG BROTHER ALEX

    Dawa za kulevya na Zanzibar, huyu member alisema, wakongwe mnakumbuka?

    Sikumbuki yule member alikua anaitwa nani? Iko hivi HUYU member ni WA shinyanga alienda zenji KUTAFUTA MAISHA, miaka hiyo ZAMANI SANA, alikua anafanya KAZI KWA wahindi. SIKU MOJA alifuatwa na MMOJA WA wahindi akamwambia ANATAKA afanye NAYE KAZI, AMPE MAISHA Yani HUYO member awe anafuata SAA...
  2. Mad Max

    Mrithi wa Lewis Hamilton, Kimi Antonelli, anawapelekea moto wakongwe kwenye F1 Championship. Dogo atafika mbali!

    Baada ya Lewis Hamilton kuhama Mercedes Benz na kwenda Ferrari wengi tulitegemea maajabu mengi ila hamna kitu. Ata podiums tu huu msimu za kuhesabika. Move ya MB kumtoa Kimi Antonelli kutoka Mercedes Benz Junior Racing kuja F1 kumreplace Hamilton wengi walijua wamebugi. Ila dogo ni wa moto...
  3. Chachu Ombara

    Wale wakongwe, haya magari mliyabatiza majina gani shule uliyosoma?

    Zile shule kongwe kidogo zilikuwa na magari aina ya malori ambayo yalisaidia katika shughuli za shule kama kusomba vyakula, kuni na kusafirisha wanafunzi kwenye matukio. Magari haya yalijizolea umaarufu lakini pia kila shule ilibatiza jina la utani lori.
  4. funaku

    Endorsement kutoka Wana CCM wakongwe muhimu kwa Rais Samia

    Hadi sasa nimewaona wakongwe muhimu ndani ya chama wakimuunga mkono Rais Samia na Dr Nchimbi. -Philip Mangula -Adam Kimbisa -Bashiru Ally -Joseph Butiku
  5. BigTall

    GE2025 Wakongwe wa muziki Arusha waahidi makubwa Tanzania Samia Connect

    Tanzania Samia Connect inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 21- 23, 2025 inatarajiwa kuwakutanisha katika jukwaa moja wasanii zaidi ya 50 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Arusha, ikiwemo wakongwe wa muziki kutoka Jijini Arusha Fido Vato anayetamba na wimbo wa 'Chuga hiyo' pamoja na JCB aliyevuma...
  6. M

    Wakongwe wa Coding Wanaogopa AI — Lakini vijana wanaikumbatia na kuwapita kwa Kasi

    Katika dunia ya sasa, Artificial Intelligence (AI) imeleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya teknolojia, hasa kwenye coding na software engineering. Kwa kutumia AI, tunaweza sasa kuandika, kurekebisha, na hata kupima code kwa haraka zaidi, kwa usahihi zaidi, na kwa gharama ndogo. Hii imefungua...
  7. Bei Rahisi Electronics

    Hawa wakongwe JF wapewe heshima

    Nyani Ngabu mzee wa kijiji Hawa wakongwe umu wapewe heshima
  8. D

    WAKONGWE WA DISCO: Bosco Cool J alifariki mwaka 2018. Mlipata taarifa??

    https://www.youtube.com/watch?v=YW3ri4d3HQc
  9. A

    Forum maalum kwa wakongwe wa JF

    Wana JF na JF moderators forum hii iwe maalum kwa kiwatambua wakongwe wa jf kwa kuwataja Ili kujifunza kutokana na michango Yao kama wananafasi wajitaje humu au watajwe Ili wale watoto wa 2020 walipopata kujua mitandao 2020-2025 wajue na wajifunze Naombeni msifute uzi huu na ikiwezekana uwe...
  10. N'yadikwa

    Kwa wajuvi wa mambo tunajua wanaJF wakongwe wengi wamekuja na ID/Avatar mpya wakijaribu kukaa na GenZ

    Kuna miandiko humu jukwaani unaiona kabisa huu ni mwandiko wa mzee, ila anajifanya joined 2024. Hata uvae kaptula, ushazeeka. Sledi pendwa!
  11. Waufukweni

    Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traoré akionesha ufundi kwenye Soka akiwa na Jay-Jay Okocha na Adebayor

    Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel Adebayor na wengine.
  12. Mshana Jr

    Kwa wakongwe tuu. Kumbukizi zenye simanzi

    Tuliyaishi haya maisha.. Leo yamebaki kuwa simulizi za vitabuni.. Hakuna uhalisia tena Hakuna urafiki wa kweli tena.. Marafiki wa siku hizi ni mazombi ya mitandaoni.. Ni urafiki gani huo hamjuani wala hamjawahi kuonana?
  13. Anastasia21

    Wakongwe wa hii platform JF mkuje na shout out kwenu

    Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi muendelee kuepo 💯.
  14. N

    Wakongwe tumeamua kurudi JF

    Hodi hodi JF Wakongwe tumeamua kurudi JF, vitoto vya 2000's mtupishe. Ngoja niifufue na ID yangu ya wakati JF inaitwa Jambo forum. Uzi tayari toka kwa wazee wenu wa JF. 😀😀😀😀
  15. and 100 others

    Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

    Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje.. Hii marafiki, juu hapo kuna kitangazo cha Buzz, miaka ya 2005/2006 kama sijasahau... mwanzoni iliitwa darchat kama...
  16. Mwanadiplomasia Mahiri

    Huu mchoro unamuhusu mchezaji gani? Wakongwe karibuni

  17. MSAGA SUMU

    Ukimya wa wanasiasa wakongwe Erythrocyte na Salary Slip wazua gumzo.

    Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani. Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao. Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja...
  18. Brojust

    Kati ya Whitney Huston na Tshala Muana, nani katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka?

    Eti wakongwe tukiweka playlist za hawa wamama wawili nani anajua katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka. Mimi naanza uchambuzi kati ya Kokola ya tshala muana na Greatest love of all ya Whitney Huston. Kokola naipa asilimia 75% na Greatest love of all naipa asilimia 25%. Ila...
  19. GENTAMYCINE

    Kwanini hawa Wanamuziki Wakongwe wa Miziki ya Dansi na waliofanya vyema Kipindi chao tukionyeshwa Wanaumwa wanaonekana 'Wamedhoofu' mno?

    Mwezi Mmoja uliopita huko Mitandaoni tulionyeshwa Picha Mjongeo ya Marehemu Mzee King Kikii na hali yake ya Kiafya na wenye Maono tukajua ni suala la muda tu Israeli atafanya yake na imekuwa. Muda si mrefu tena (yaani leo) kuna Picha Mjongeo nyingine inamuonyesha Mwanamuziki mahiri kipindi chake...
Back
Top Bottom